Maandamano ya waislam shinyanga, kunani?

Polisi

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,082
640
Kuna gari linapita mitaani likiwataka waislamu wote wakusanyike uwanja wa shycom kwa ajili ya kuanza maandamano yatakayopita katika mitaa mbalimbali ya shinyanga, naomba mlio na taarifa kuhusdu maandamano haya utupe taarifa
 
Kwa usalama wako kaa ndani, waulize polisi kama wanataarifa.
 
Back
Top Bottom