Hivi upo Tanzania au upo diaspora? Usituhamasishe wakati wewe upo ughaibuni.Kama UKUTA wakinywea na mwishowe kutokufanya hayo maandamano yao ambayo wamepanga kuyafanya hiyo tarehe 1 mwezi ujao, basi mheshimiwa MWENYE ENZI, MTUKUFU rais Magufuli atakuwa amepata ushindi mkubwa sana.
Hayo maandamano yasipotokea atakuwa kafanikiwa kuwatisha wananchi katika kutofanya yale ambayo hayampendezi yeye.
Na huu ndo utakuwa mwanzo tu. Huko mbeleni ikitokea kuna jambo ambalo halimpendezi yeye binafsi basi hatosita kutumia vyombo vya dola kuwatisha watu ili waache kufanya walichokuwa wamepanga kufanya.
Hiyo ndo Tanzania mpya. Tanzania ya MWENYE ENZI, Mtukufu rais John Pombe Joseph Magufuli [nahisi pia tutalazimishwa kuyatumia majina yake yote manne la sivyo wataokiuka watatafutwa na kuadhibiwa, hata kama wapo mitandaoni].
Na nyie wachora vikatuni nahisi dawa yenu inakorogwa huko maabara. Kama mkiendelea kumchora vibaya MWENYE ENZI, MTUKUFU rais John Pombe Joseph Magufuli basi siku zenu zinahesabika.
Yakiwatokea ya kutokea msije lalama eti sikuwaambia! Shauri yenu.
Tatizo liko wapi watu wasipoandamana?
Nadhani somo la lugha kwako lilikua shida kidogo ulipokua shuleMleta uzi wewe ni koyoyo... I hate guys who are kissing others guys ass... duniani hakuna Mtukufu isipokuwa Mungu pekee.Sasa wewe kumuita binadamu mwenzako mtukufu ni sawa na kumkufuru Mungu..hizi njaa ZENU na kujipendekeza kwenu kutawapeleka pabaya
Swissyou
Hivi upo Tanzania au upo diaspora? Usituhamasishe wakati wewe upo ughaibuni.
Tukisema kuwa wewe ndie mastermind na mpangaji wa vitendo vya uvunjifu wa amani vinavyopangwa na ukawa utakataa. Nadhani ujiandae kutoa maelezo kwenye vyombo vya dola. Watu bado tunataka kuishi tena kwa amani. Biashara yenu ya ukuta hatuitaki na tunaikemea. mnataka kuongopea vijana wetu muwatoe ngeu na mwisho nyinyi ndio mfaidike. JahahahaKama UKUTA wakinywea na mwishowe kutokufanya hayo maandamano yao ambayo wamepanga kuyafanya hiyo tarehe 1 mwezi ujao, basi mheshimiwa MWENYE ENZI, MTUKUFU rais Magufuli atakuwa amepata ushindi mkubwa sana.
Hayo maandamano yasipotokea atakuwa kafanikiwa kuwatisha wananchi katika kutofanya yale ambayo hayampendezi yeye.
Na huu ndo utakuwa mwanzo tu. Huko mbeleni ikitokea kuna jambo ambalo halimpendezi yeye binafsi basi hatosita kutumia vyombo vya dola kuwatisha watu ili waache kufanya walichokuwa wamepanga kufanya.
Hiyo ndo Tanzania mpya. Tanzania ya MWENYE ENZI, Mtukufu rais John Pombe Joseph Magufuli [nahisi pia tutalazimishwa kuyatumia majina yake yote manne la sivyo wataokiuka watatafutwa na kuadhibiwa, hata kama wapo mitandaoni].
Na nyie wachora vikatuni nahisi dawa yenu inakorogwa huko maabara. Kama mkiendelea kumchora vibaya MWENYE ENZI, MTUKUFU rais John Pombe Joseph Magufuli basi siku zenu zinahesabika.
Yakiwatokea ya kutokea msije lalama eti sikuwaambia! Shauri yenu.
Tukisema kuwa wewe ndie mastermind na mpangaji wa
Wakiandamana baada ya kupewa onyo na vyombo vya dola ina maana vyombo vya dola viko weak na yoyote anaweza kuamua kufanya maandamano kwa sababu za kipuuzi tu yaani kila kukicha itakuwa ni maandamano.Wasipoandamana kwa kuogopa vitisho vya MTUKUFU, basi tatizo ni uvunjwaji wa katiba na sheria.
Wakiandamana baada ya kupewa onyo na vyombo vya dola ina maana vyombo vya dola viko weak na yoyote anaweza kuamua kufanya maandamano kwa sababu za kipuuzi tu yaani kila kukicha itakuwa ni maandamano.
Anakua ni kero kwa wengi wanaotaka kufanya kaziMtu kuandamana kwa sababu za kipuuzi kuna ubaya gani?
Anakua ni kero kwa wengi wanaotaka kufanya kazi
Wasipoandamana magu atatamba sana kwamba yeye hajaribiwi na upinzani utanyanyaswa mara nne zaidi ya sasa.
This will be their acid test.
Madhara yake hayatakuwa kwa chadema tu, labda hapa mwanzoni. lakini baadaye, maamuzi yatakayotokana na ushindi huo wa mwenye enzi yatakuwa machungu kwa kila mtu. Ni suala la muda tu. japo watu wanacheka leo, ipo siku tutashirikiana kulalama na kulia.CHADEMA wakirudi nyuma tu, basi harakati zao zote huko mbeleni zitaonekana kama kelele za chura.
Wanamyumbisha vipi Rais? kwani kama akiruhusu wapinzani wafanye siasa zao nani ataleta maneno? Halafu, kwani kuandamana ni mapinduzi?wacha uchochezi wewe. hayo maandamano
kwani yana ulazima kama sio cdm kujitutumua tu na kujaribu kumyumbisha rais.