Maandamano ya UKUTA ni kiini macho

Maandamano ya UKUTA ni kiini macho

ukosefu wa Elimu ya juu ndio inakusumbua kaa lumumba subiria buku 7 zako kila ijumaa.

swissme
Swissme unaposema ukosefu wa Elimu wewe elimu yako unaifahamu vizuri? Nilidhani bonge la msomi unajua tu kutukana kumbe hakuna kitu
 
Mbona maandamano ya UKUTA tayari yameshafanyika Tanzania nzima yamefanywa na polisi kila Mkoa?
1472151764199.jpg
1472151772949.jpg
 
Hii ni kete ya mwisho kwa CHADEMA,naamini hawatakua na hawana nia ya kufanya maandamano kwa sababu wanaijua vema hii serikali si dhaifu tena,

Kauli hizi za maandano kwa CHADEMA ni moja ya propaganda yao ya kukifufua chama ili kisitoke midomoni mwa wanachama.

CHADEMA walijua baada ya kutoa kauli hii kuna viongozi watapaniki sana na kupaniki kwao ndio itakua njia peke ya kuwatambulisha kua bado wapo kwenye top ten ya chama pinzani

Ushauri wangu
Najua maandamano hayatakuwepo naamini hivyoila chama kijiandae kufa

Na ndugu zangu chama tawala acheni kuzungumzia maandamano ya CHADEMA, mnakipa umaarufu bila kujijua,

Narudia tena hakuta kua na maandamano na tarehe moja ni mwisho kwa CHADEMA.
Mrithi wa sheikh yahaya Maandamano yapo pale pale
 
Muwe mnasoma kabla ya kupost.... mnajivua hadi nguo za ndani!
 
Lakn tukumbuke kwamba bila upinzani Wa nguvu kutoka chadema tusingempata Mzee Wa kulala mbele na wahujumu uchumi
Mm naamini kwamba kama pasingekuwa na upinzani rais angekuwa membe
 
ukosefu wa Elimu ya juu ndio inakusumbua kaa lumumba subiria buku 7 zako kila ijumaa.

swissme
Swissyou, kunakitu ama lugha flan inatumiwa sana humu jf huwa siielewi!
Hii "terminology" buku7 huwa ni pesa ama kiwango cha elimu ya mtu ama ni nini hasa! Naomba nielimishwe kidogo.
 
hawa jamaa mtaa wa pili kwanza vijana wao ni kidato 7 na huwa wanalipwa buku saba kwa wiki mbili kama wakileta propaganda mitandaoni

swissme
 
Siku chache zilizopita nilikuwa safarini mikoa ya kaskazini, ila cha kushangaza kila nilipogusia ukuta vijana kwa wazee walikuwa wanasema hawajui, wengine wanasema ndiyo kitu gani? Sasa kwa mihemuko iliyopo hapa JF na jinsi watu wanavyojiapiza ilinistua sana na kuona jinsi chama mfu kinavyotapatapa. Kwa ufupi ukuta;
  1. Iko Dar ( ofisi za cham mfu pale ufipa)
  2. Arusha iko nyumbani kwa Mh. Lema tu
  3. Moshi haiko kabisa, na kwa Mh. Mbowe kule hai ndiyo zero
  4. Haiko Morogoro (wananchi wapo busy na kazi nyingi za kujiingizia kipato)
  5. Mbeya haiko kabisa
  6. Mwanza ndiyo hata hawajui ni nini?
  7. Shinyanga hawaitambui
  8. Tabora wanalilia professor Lipumba arudishiwe uenyekiti ili akikomboe cham toka mikononi mwa mamvi
  9. .....
Je Mkoani kwako hali ikoje?

Ila hapa JF ukuta unaungwa mkono na mamluki wabeba mabox wanaoishi nje ya nchi, kiasi kwamba hata ikitokea virungu hawapo.
 
Hujakosea man, wamo JamiiForums tu.
Kelele zao zitaisha trh01
 
Bro..tabora hawalilii prof lipumba arudishwe cuf..afteral hana mchango wowote kwa mkoa husika...
 
"Zidumu kauli za mwenyekiti wa CCM"
what more should we expect from you?
 
Hii ni kete ya mwisho kwa CHADEMA,naamini hawatakua na hawana nia ya kufanya maandamano kwa sababu wanaijua vema hii serikali si dhaifu tena,

Kauli hizi za maandano kwa CHADEMA ni moja ya propaganda yao ya kukifufua chama ili kisitoke midomoni mwa wanachama.

CHADEMA walijua baada ya kutoa kauli hii kuna viongozi watapaniki sana na kupaniki kwao ndio itakua njia peke ya kuwatambulisha kua bado wapo kwenye top ten ya chama pinzani

Ushauri wangu
Najua maandamano hayatakuwepo naamini hivyoila chama kijiandae kufa

Na ndugu zangu chama tawala acheni kuzungumzia maandamano ya CHADEMA, mnakipa umaarufu bila kujijua,

Narudia tena hakuta kua na maandamano na tarehe moja ni mwisho kwa CHADEMA.
Asie nipongeza kwa hili basi atakua na ajenda yake ya siri
 
Siku chache zilizopita nilikuwa safarini mikoa ya kaskazini, ila cha kushangaza kila nilipogusia ukuta vijana kwa wazee walikuwa wanasema hawajui, wengine wanasema ndiyo kitu gani? Sasa kwa mihemuko iliyopo hapa JF na jinsi watu wanavyojiapiza ilinistua sana na kuona jinsi chama mfu kinavyotapatapa. Kwa ufupi ukuta;
  1. Iko Dar ( ofisi za cham mfu pale ufipa)
  2. Arusha iko nyumbani kwa Mh. Lema tu
  3. Moshi haiko kabisa, na kwa Mh. Mbowe kule hai ndiyo zero
  4. Haiko Morogoro (wananchi wapo busy na kazi nyingi za kujiingizia kipato)
  5. Mbeya haiko kabisa
  6. Mwanza ndiyo hata hawajui ni nini?
  7. Shinyanga hawaitambui
  8. Tabora wanalilia professor Lipumba arudishiwe uenyekiti ili akikomboe cham toka mikononi mwa mamvi
  9. .....
Je Mkoani kwako hali ikoje?

Ila hapa JF ukuta unaungwa mkono na mamluki wabeba mabox wanaoishi nje ya nchi, kiasi kwamba hata ikitokea virungu hawapo.
Ni kweli mkuu kila nilikopita hakuna aliyetaka kuhudhuria hicho kituko. Nadhani hiyo ndiyo mbinu yao ya mwisho kubakia kwenye siasa za ushindani.
 
Back
Top Bottom