Maandamano ya mwenge wa uhuru Al shaabab wameenda likizo?

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
9,498
14,360
kutakuwa na maandamano ya kuupokea mwenge wa uhuru jijini Dar es salaam ukitokea mkoa wa Pwani. Na utapokelewa na raisi JK.
Swali: hivi haya maandamano ya kuupokea mwenge Al shaabab wameenda likizo?
 
unafiki wa polisi wa tanzania ndipo hapo unapodhihira unafiki wao!tusubirh siku ya uhuru
 
kama kikwete atakuwepo ngoja niwajulishe wale rafiki zangu waliompa siku mia maana naona al shabab wako bize na vita na kenya..
 
kutakuwa na maandamano ya kuupokea mwenge wa uhuru jijini Dar es salaam ukitokea mkoa wa Pwani. Na utapokelewa na raisi JK.
Swali: hivi haya maandamano ya kuupokea mwenge Al shaabab wameenda likizo?

Mkuu labda Al Shabab wako interested na maandamano ya kisiasa tu, especially wapinzani na wanaharakati.
 
Back
Top Bottom