Maandamano ya kupinga Wamarekani kuishambulia Libya (Picha)

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Kuna Anti – America demonstration inaendele karibu na International School of Tanganyika mwenye habari na picha kamili atujuze...

attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
 
sasa mbona wanaandamana vichochoroni au hawana kibali au wanahofia habari za kiintelijensia
 
Kina Nani haoo? Wakamateniiiii...

Yaani watu tunaandamana kuipinga serikali ya Tanzania, wao wanaandamana kuipinga Marekani!!!
 
.....wakimaliza hayo maandamano, nawaomba waandamane kupinga skyrocketing inflation in Tanzania!!!
 
Mmmh! Hiyo kali! wamarekani wenyewe wameombwa saana na sasa wanageukwa, lakini nadhani ni kwa watu wetu wenye akili hapa TZ!!! Hahahaha!!!!
 
Kuna Anti – America demonstration inaendele karibu na International School of Tanganyika mwenye habari na picha kamili atujuze...

hao ni wehu waliokosa kazi za kufanya. wanahimizana kupinga maandamano ya kudai haki katika nchi yao, lakini wanajifanya kuandamana kudai haki za Walibya. unafiki tu.
 
Mbona yalizuiliwa, inakuwaje hapo, habari za kiintelijensia hazijawafikia wenye nchi?
 
Elimu bana kitu cha muhimu sana!!! badala ya kuandamana sky-rocketing ya price za bidhaa mbali mbali, migawo ya umeme, uongozi mbovu wao wanaandamana upuuzi

wenyewe libya wameandamana? very absurdy... simply stupid move
 
Elimu bana kitu cha muhimu sana!!! badala ya kuandamana sky-rocketing ya price za bidhaa mbali mbali, migawo ya umeme, uongozi mbovu wao wanaandamana upuuzi

wenyewe libya wameandamana? very absurdy... simply stupid move

cha ajabu ni kwamba Walibya wanaandamana kumng'oa dikteta Al-Qaddafi; wengine huku ati wanaandamana kumtetea Al-Qaddafi.

big shame!
 
Kukosa elimu ni sawa na kuugua kansa ya damu. Walibya wanafurahia kuwepo kwa majeshi ya mataifa hayo, wewe mtanzania ambaye walibya wanakuona kama takataka eti unadhani unajua mahitaji ya libya kuliko wao. Poleni majuha walibya watapata uhuru wao na wataendesha taifa lao kama wanavyotaka.
 
Duh!!!!! Hii nayo mbona sakata, hiv sisi tunafikiria jinsi ya kuwang'oa nyeti mafisadi wao wana mtetea Qaddafi amewaomba? Kweli Tanzania bila wajinga inawezekana kweli, nini agenda yao katika maandamano hayo, ovyoo.
 
Nilimsikia jana Kamanda Kova akisema hapata kuwepo maandamano yatakayongozwa na shura ya Maimamu ila walikubaliwa na kufanya mkutano na jeshi la polisi lilisema lingeulinda mkutano wao.

Ukiangalia hicho kinachoitwa shura ya maimamu kimejaa watu mbumbu kuliko maelezo.Hawajui kwamba jumuiya ya nchi za kiarabu tena zenye waIslamu wengi na uchumi Imara kuliko Tanzania zilishamchoka Gaddaf na uongozi wake wa miongo minne.Hawajui raia wa Libya waliingia mitaani kupinga utawala wa Gaddaf na serekali yake.Hawajui kwamba ndani ya muungano wa nchi zinazoipiga Libya zimo baadhi ya nchi za Kiarabu zilizotoa vifaa na fedha ili kumdhibiti Gaddaf.Hawajui kwamba wananchi wa nchi nyingi za kiarabu wamechoka na tawala zisizozingatia demokrasia si Libya tu nchi kama Misri,Tunisia,Baharin na sasa Syria upepo wa mabadiliko umevuma si maandamano ya Shura ya Maimamu wala upuuzi wa baadhi ya watanzania utakaozuia mabadiliko.

Taasisi kama hizi unategemea zitawaletea maendeleo waislam wa Tanzania ?.Jibu ni moja tu kamwe hakuna maendeleo eg shule,hospitals,vyuo vikuu na nk.Jaribu kufanya utafiti wa juu juu utakuta Shura ya maimam hawana shughuli zozote zaidi ya kuteka misikiti na nyumba zilizowekwa wakfu na waIslamu kwa faida ya matumbo ya viongozi.Kazi nyingine kubwa ni kutumiwa na wanasiasa uchwara muflisi kwa faida za kisiasa.
 
hahaha eti kuna dogo wa shule kawaona anasema eti watu wenyewe wamevaa VIPEDO na mindevu mingi hahahahahahahahahahahaah
 
Back
Top Bottom