MkimbizwaMbio
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 868
- 331
Mungu ibariki tanzania, mungu mbariki mufti. Si walizuiliwa kuandamana na mufti sasa imekuwaje????
hahaha eti kuna dogo wa shule kawaona anasema eti watu wenyewe wamevaa vipedo na mindevu mingi hahahahahahahahahahahaah
Kuna Anti – America demonstration inaendele karibu na International School of Tanganyika mwenye habari na picha kamili atujuze...
hawana elimu-dunia kama mufti Simba??
Mufti alishasema no kushiriki katika maandamano, hapo vipi? hahahahahaha! shule muhimu sana!
Chunga DOMO lako tafadhali. Usikashif wakubwa zako.
Kumbe ndiyo maana wanamtetea kikwete kwa nguvu zao zote. Kama ulivyosema hapo juu hawa jamaa hawajui their 'NEEDS'. Waislamu wenzao wa nchi za kiarabu wameshatambua kuwa mabadiliko ni lazima lakini makuhadi wa Tz wanashabikia dini tu. It is surprising that even the arab countries support the effort of coallision forces in Libya. Turkey is an islamic country but joined forces with NATO to stop massacring of people done by Gadafi forces. What about Qartar, is not a part of muslim world, Saudi arabia je? UAE? all of whom support the forcefull exit of Gadafi. A change from dictatorship governments is the need that arab/muslim world is crying for. Angalia Sryian uprising, was that instigated by America? were egypt, tunisia, oman, yemen, bahrain, etc uprisings njama za western world. It is only the mad and insane people can do what this 'shura ya maimamu' do, otherwise there is parochial interest in itNilimsikia jana Kamanda Kova akisema hapata kuwepo maandamano yatakayongozwa na shura ya Maimamu ila walikubaliwa na kufanya mkutano na jeshi la polisi lilisema lingeulinda mkutano wao.
Ukiangalia hicho kinachoitwa shura ya maimamu kimejaa watu mbumbu kuliko maelezo.Hawajui kwamba jumuiya ya nchi za kiarabu tena zenye waIslamu wengi na uchumi Imara kuliko Tanzania zilishamchoka Gaddaf na uongozi wake wa miongo minne.Hawajui raia wa Libya waliingia mitaani kupinga utawala wa Gaddaf na serekali yake.Hawajui kwamba ndani ya muungano wa nchi zinazoipiga Libya zimo baadhi ya nchi za Kiarabu zilizotoa vifaa na fedha ili kumdhibiti Gaddaf.Hawajui kwamba wananchi wa nchi nyingi za kiarabu wamechoka na tawala zisizozingatia demokrasia si Libya tu nchi kama Misri,Tunisia,Baharin na sasa Syria upepo wa mabadiliko umevuma si maandamano ya Shura ya Maimamu wala upuuzi wa baadhi ya watanzania utakaozuia mabadiliko..
Taasisi kama hizi unategemea zitawaletea maendeleo waislam wa Tanzania ?.Jibu ni moja tu kamwe hakuna maendeleo eg shule,hospitals,vyuo vikuu na nk.Jaribu kufanya utafiti wa juu juu utakuta Shura ya maimam hawana shughuli zozote zaidi ya kuteka misikiti na nyumba zilizowekwa wakfu na waIslamu kwa faida ya matumbo ya viongozi.Kazi nyingine kubwa ni kutumiwa na wanasiasa uchwara muflisi kwa faida za kisiasa.
siasa za cuf hizo
Mkubwa wangu ni Mungu.
PICHA: maandamano ya waislamu kinondoni, wakisupport Gaddafi
they were taken by camera phone from a moving car window :tongue:Mbona picha zinaonekana kama mpigaji alikuwa akiwaogoapa waandamanaji?
Wewe ni mbumbumbu kweli, na udini uliokukaa mpaka unakuwa kipofu basi pole sana, unadhani mimi naweza kuunga mkono mikristo kama ile iliyoweka kambi pale uwanja wa ndege ili waende ulaya bila viza wala tiketi? unadhani mimi naweza kuunga mkono mikristo mipumbavu kama wale waliodanganywa na kibwetele halafu akawapiga moto? no, mimi sio zuzu, kwa hiyo unataka kukataa hakuna majitu mazembe yasiotaka kufanya kazi ambayo kutwa mzima utayakuta yamelala tu msikitini? au kusema mufti ni darasa la saba huo ni udini? wakati ni kweli kiongozi anewaongoza waislamu ni darasa la saba, lakini kuna maprofesa waislamu, na PHD holders wa kumwaga tu, kama wewe ni mfia dini hii ni changamoto kwamba mufti ajaye muhakikishe anapatikana kwa vigenzo vya elimu dunia pia. tuwe wakweli wa nafsi zetu, na kweli itakuweka huru