Kuna jitihada kubwa zinafanyika kuhakikisha Rais JK anapokewa kwa heshima atakapokuja Washington. Watanzania mnaombwa kushiriki kwa wingi ktk Ubalozi wa TZ uliopo Washington DC kumpa Support na changamoto Rais JK ambaya alishinda uchaguzi 2010. WTZ mliopo Marekania mnaombwa mjitokeze kwa wingi kumpa Support Rais JK.
Mpenda Haki, na Ukweli.
NY, USA

Waraka huu ni kwako wewe hasidi wa upendo, utulivu, na amani ya taifa letu la Tanzania unayejiita Eliakim Mallya na wapuuzi wenzako. Sina uhakika kama kweli jina hilo ulilotoa ni lako, maana kina cha woga na ujinga ulionao, havikuwezeshi wewe kuwa na ushujaa wa kutoa jina lako la kweli. Ninasikitika kwamba imebidi watu wenye heshima zetu tukae chini kutoa kauli kuhusiana na upumbavu uliowekwa kwenye mtandao na mtu asiyekuwa na heshima wala adabu kama wewe, na wapuuzi wenzako wengine mlioko katika kapu moja.
Kwanza, tendo la kumvunjia heshima kiongozi wa taifa letu kwa kutoa kashifa iliyotolewa, pia ni tendo la kulivunjia heshima taifa letu na watu wake, jambo ambalo linakufanya wewe Eliakim Mallya na wote mnaohusika na kashifa hii kuwa mahayawani, maana hayawani hana aibu.
Pili, ukosefu wa utimamu wa akili yenu nyie mhusikao na kashifa hii, pia unajidhihirisha kwa jinsi mlivyojaribu kukosea heshima Watanzania tunaoishi Marekani kwa kujifanya kutuwakilisha wakati nyie ni vivuli. Ni mtu gani awezaye kusikiliza maneno yatokayo kwenye vinywa vya wapumbavu? Ninawajutia kuwa mmesoma kwa kiasi fulani lakini hamkuelimika hata kidogo.
Tatu, ninyi ni viumbe msiokuwa na tone la shukurani kwani pamoja na kwamba Tanzania iliwasomesha na kuwafikisha hapo mlipo (hamwezi kulikataa hilo), mnaanza kuisaliti na kuibeza. Hali kadhalika ninyi ni wasaliti wa utamaduni, mila na desturi za taifa letu na watu wake. Hadhi ya Watanzania iko katika kauli zao njema nyumbani na hata ughaibuni-mahali popote walipo. Taifa letu limepata sifa kubwa sana kutokana na ubora na mwenendo wa tabia za watu wake dunia nzima. Leo hii, watu wachache mliochanganyikiwa mnataka kuupaka matope ubora wetu; hatutaruhusu wala kukubali vitendo na mienendo ya kihuni.
Nne, wahenga walisema debe shinda haliachi kutika, na debe tupu haliachi kuvuma; ninyi mlionena na kuchapisha uvundo wenu huu, ni mifafano dhahiri ya methali hizo. Kwa vile Eliakim Mallya na wenzako mmetota, endeleeni kutota katika tope la ujinga na utovu wa adabu kama walivyo wahaini wa aina yenu.
Mwesigwa. Blandesi
<br />Kuna jitihada kubwa zinafanyika kuhakikisha Rais JK anapokewa kwa heshima atakapokuja Washington. Watanzania mnaombwa kushiriki kwa wingi ktk Ubalozi wa TZ uliopo Washington DC kumpa Support na changamoto Rais JK ambaya alishinda uchaguzi 2010. WTZ mliopo Marekania mnaombwa mjitokeze kwa wingi kumpa Support Rais JK.<br />
<br />
Mpenda Haki, na Ukweli.<br />
NY, USA
Waraka huu ni kwako wewe hasidi wa upendo, utulivu, na amani ya taifa letu la Tanzania unayejiita Eliakim Mallya na wapuuzi wenzako. Sina uhakika kama kweli jina hilo ulilotoa ni lako, maana kina cha woga na ujinga ulionao, havikuwezeshi wewe kuwa na ushujaa wa kutoa jina lako la kweli. Ninasikitika kwamba imebidi watu wenye heshima zetu tukae chini kutoa kauli kuhusiana na upumbavu uliowekwa kwenye mtandao na mtu asiyekuwa na heshima wala adabu kama wewe, na wapuuzi wenzako wengine mlioko katika kapu moja.
Kwanza, tendo la kumvunjia heshima kiongozi wa taifa letu kwa kutoa kashifa iliyotolewa, pia ni tendo la kulivunjia heshima taifa letu na watu wake, jambo ambalo linakufanya wewe Eliakim Mallya na wote mnaohusika na kashifa hii kuwa mahayawani, maana hayawani hana aibu.
Pili, ukosefu wa utimamu wa akili yenu nyie mhusikao na kashifa hii, pia unajidhihirisha kwa jinsi mlivyojaribu kukosea heshima Watanzania tunaoishi Marekani kwa kujifanya kutuwakilisha wakati nyie ni vivuli. Ni mtu gani awezaye kusikiliza maneno yatokayo kwenye vinywa vya wapumbavu? Ninawajutia kuwa mmesoma kwa kiasi fulani lakini hamkuelimika hata kidogo.
Tatu, ninyi ni viumbe msiokuwa na tone la shukurani kwani pamoja na kwamba Tanzania iliwasomesha na kuwafikisha hapo mlipo (hamwezi kulikataa hilo), mnaanza kuisaliti na kuibeza. Hali kadhalika ninyi ni wasaliti wa utamaduni, mila na desturi za taifa letu na watu wake.
Hadhi ya Watanzania iko katika kauli zao njema nyumbani na hata ughaibuni-mahali popote walipo. Taifa letu limepata sifa kubwa sana kutokana na ubora na mwenendo wa tabia za watu wake dunia nzima. Leo hii, watu wachache mliochanganyikiwa mnataka kuupaka matope ubora wetu; hatutaruhusu wala kukubali vitendo na mienendo ya kihuni.
Nne, wahenga walisema debe shinda haliachi kutika, na debe tupu haliachi kuvuma; ninyi mlionena na kuchapisha uvundo wenu huu, ni mifafano dhahiri ya methali hizo. Kwa vile Eliakim Mallya na wenzako mmetota, endeleeni kutota katika tope la ujinga na utovu wa adabu kama walivyo wahaini wa aina yenu.
Mwesigwa. Blandesi
Jamani tuanaomba tufanye mkutano wetu wa diaspora bila siasa kama kuna siasa pelekeni ubalozi wakati raisi atakapokuja au nendeni UN NY lakini msije kwenye Hotel ambayo sisi tumelipia na tukaalika wageni mbalimbali halafu ibadilike kuwa sehemu ya maandamano!. Mwaka jana tulifanya mkutano MN bila mambo kama haya na raisi hakuwepo na kama maandamano yatakuwepo tutamuomba raisi Kikwete asije kwenye Hotel ya mkutano wa diaspora kwani si lazima tuwe na raisi pale raisi hajawahi kuja kwenye mkutano hata mmoja!. labda hilo litawafurahisha lakini kama ni maandamano ningeomba mpeleke UN kwani huu mkutano wetu wa diaspora tunaweza kumuomba raisi asije na nyie mkawa mmepoteza pesa zenu bure!!. Kama mnataka uhakika nendeni UN siku atakapoongea mtampaka kwa uhakika kwani sisi hatutaruhusu raisi aje kama kuna maandamano ya kisiasa!!
Kamundu hujui utendalo yawezekana na wewe umeahidiwa kacheo feki. sisi huku tunateseka na mafuta, mgao wa umeme na maisha magumu kwa sababu huyo rais unayemtetea ameshindwa kusimama katika nafasi yake na kukemea wale wanaokula na kudidimiza uchumi wa TZ. Unakuwa na proud gani kuwa na mtu kama huyo kwenye diaspora kama si kwamba una lako? Usitumie tena hii forum kueleza upuuzi kwani Tanzania na mwananchi wa kawaida ambaye hawezi kununua tena mafuta ya taa au sukari anafaidika na comments zako?. Ilitakiwa platform hiyo mjipange kumweleza hayo yote ila inaonyesha mmemkaribisha mje kumfungulia Champagne wakati huku watu wanateseka halafu unathubutu kusema asipokelewe kwa maandamano yenye ujumbe? You're crazy au uliondoka TZ miaka ya Nyerere na huwezi jua jinsi JK ameipeleka nchi ndivyo sivyo na hadi sasa anajishauri mwenyewe kwa sababu mzee haambiliki hawezi kuwa na washauri.
Kamende, fafanua, who ru talking about?Ama kweli majinga, wasaliti, waoga na maopportunists yako kila mahali.