Akina Mwingereza wako kwenye maandamano sasa ndo maana hatupati update, wakishamaliza jukwaa hili litafurika picha za mabango na nyuzo za wabongo waishio huko bara lililovumbuliwa na Christopher Columbus, akikatishwa kwa farasi toka NY hadi St Fransisco, njia ambayo alipita imejengwa highway rout 80 yenye jina aka Christopher Columbus.
Kama hii ni kweli, maana yake ni kwamba kuna watu wameanza kutumia JF kuponya njaa zao. Mods this is blackmail, it should be condemned and heavily punished.Hakuna cha maandamano JK ameisha zindua DICOTA elikuwa zuga tu ya waganga njaa ili wapate chochote.
Akitafutiwa "risala" yake kabla ya kuhutubia wajumbe wa daikotaView attachment 37752
Kama hii ni kweli, maana yake ni kwamba kuna watu wameanza kutumia JF kuponya njaa zao. Mods this is blackmail, it should be condemned and heavily punished.
Hivi huyo mlinzi wake ni lazima avae gwanda kila anapoenda?
subrini ataleta picha mwingereza..... hehehe
mwelekeze basi wewe unayejua!!!Kama hujui si uulize tu? nani kakuambia huyo ni mlinzi?
mwelekeze basi wewe unayejua!!!
kwani ni nani? bahashaake??