Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Status
Not open for further replies.
wakuu maandamano yenu yameishia wapi.. hehe.. nilipata habari kutoka WANABIDII ... Mh shimiwa raisi wetu Dr. JK... alikwenda na akapewa tuzo za heshima kabisa.. poleni....



hujitambui na wala hujielewi...kesho ndio kesho
 

Kuna womanizer kama yule padre aliyeasi mkuu mbona unapindisha mambo?
 
kwani wakuu maandamano ni lini leo au kesho naona ****** anazidi jitanua huko mara kaenda kufungua soko la hisa marakapewa zawadi za heshima tunawaomba jamani maandamano yafanyike tupo nyuma yenu
 
Ndg ze2! Mbona kimya jamani? Huku 2nawa takieni maandamano mema yenye kila fanikisho jema na MUNGU atawatia Nguvu Zaidi!
 
Ushauri wangu; maandamano yawepo wether ameenda Mende au JK, huwezi jua wanaweza sema haendi halafu akatokea hata last minute!
 
Bango mojawapo liandikwe;

Mali ya Tanzania ni ya watanzania siyo Familia yako pekee
 
Nawatakieni kila la kheri ktk maandamano. Tupo pamoja wandugu.
 
Leteni picha tu mimi niko Alaska sijasikia kama atakuja na huku ... ... . Nitaandamana hata nikiwa peke yangu ... ....
 

lowasa nyuma ya hili balaa.
 
wakuu maandamano yenu yameishia wapi.. hehe.. nilipata habari kutoka WANABIDII ... Mh shimiwa raisi wetu Dr. JK... alikwenda na akapewa tuzo za heshima kabisa.. poleni....

hawa mabwana wababaishaj tu,hakuna maandamano wala mtoto wa maandamano.nadhan ni kutafuta sifa tu
 
Tuweni wa wazi wajameni, nani ambae anaweza kutoa puwa yake na kuandamana kesho? Makaratasi yenyewe wengi wetu hapa usa ya magumashi. Hebu acheni kuwapotezea watu muda na story za abrakadabra hapa.
 
Tuweni wa wazi wajameni, nani ambae anaweza kutoa puwa yake na kuandamana kesho? Makaratasi yenyewe wengi wetu hapa usa ya magumashi. Hebu acheni kuwapotezea watu muda na story za abrakadabra hapa.

Bora wewe uko wazi na situation ilivyo,me naamin either ni siasa au waandaaj wana nia ambayo kiuhalisia kutimizka kwake ni ngumu.Nadhan kikwete ni mmoja wa viongoz wa africa ambao USA inawakubari so sidhan kama haya mjambo ya against JK ndani ya usa yanawezekana
 
Hakuna Expectations Yeyote toka dicota

Tunajua jinsi gani dicota na balozi wame-invest kwenye hii event heavily. The issue ni kwamba hakuna lolote la maana na chochote kile kipya kitaonekana, kikwete kamtuma membe ili nae aje kutembea vacation DC. Delegation ya watu wangapi imekuja? Thats should be in pic to come ...

The truth dicota is just another social event ya watanzania kukutana na ccm wanatumia weakness ya watanzania especially those normally don't reasons. Nikawaida watanzania walio nje ya inchi hasa huko US, Uk wanapenda kunywa na ku-socialize more than finding solutions za nchi yao. We are not going to be surprised tukianza kuona pics za watanzania wakinywa pombe na kustarehe DC... wait you see ... na ccm will take advantage of the venue one more time.


Check out this link ya ratiba ya dicota kama utaona kweli dicota is promoting ccm, Tanzania, kikwete, balozi or social networking?

2011 Convetion Program
Kuna tofauti gani kati ya dicota na jumuia zingine za watanzania huko Marekani (check links hapo chini)? Guys hii ni just social event na ikiisha na dust ziki-settle down, watanzania wataenda kulala na weekend itakumbukwa kwa alcohol and party thats it.... stop being used and do something for your country...

About Tanzania Association of Wichita (TaWichita) - Tanzania Association Of Wichita (TaWichita)

Tanzaniadallas.com

About Us

BBQ WITH THE AMBASSADOR IN DC « Sundayshomari's Blog
 
Message kikwete kapata na hata huko Tanzania anapata message kila siku na kama unafikiri atakuja DC na kupigiwa makofi and business as usual basi endelea kukimbiza mwenge ili upate changes .... ndugu na familia yako wame-wealth ya kutosha Tanzania sio ... I am sorry I thought Nape hana muda ku-respond!

Tuweni wa wazi wajameni, nani ambae anaweza kutoa puwa yake na kuandamana kesho? Makaratasi yenyewe wengi wetu hapa usa ya magumashi. Hebu acheni kuwapotezea watu muda na story za abrakadabra hapa.
 
Amen. Na iwe hivyo. Rais wa usalama wa taifa hatufai.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…