Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Status
Not open for further replies.
Jamani naona kama sisi tutakua wa kwanza kuliko wale uko US mana ya libya yametupa mwangaza
 
<br />
<br />
Heko...
 
Tutakuwa pamoja nina Safari ya short training hapo ya zaidi ya miezi miwili I wish maandamano yafanyike nikiwa hapo. Huyu mpuuzi ni lazima a step down
 
Na jamaa atakuja tu sijui itakuwaje siku hiyo jk anapenda forum kama hizo za kuonekana ccn wakwele hawana aibu nyie mtamzomea yeye atafurahi atawambia wenzake mliniona kwenye luninga
 
Na jamaa atakuja tu sijui itakuwaje siku hiyo jk anapenda forum kama hizo za kuonekana ccn wakwele hawana aibu nyie mtamzomea yeye atafurahi atawambia wenzake mliniona kwenye luninga

kwa alivyomjinga anaweza kusema hivyo kweli. **** kweli kikwete
 
freeeeeedom z round the corner! hey youth remember chnges r coming from us, hata mwl. Nyerere pia alifight, na zaidi alifanya haya na vijana wengine wakati huo! hakuna sababu ya kuogopa na wakati madhara ya hy yatatuathiri sisi n watoto wetu!
 
habari wana jamii,naomba mnijuze updates kuhusu yale maandamano yaliyokuwa yanaandaliwa na ndugu zetu kule washington yamefikia wapi? na yatafanyika lini hasa? na sisi tunaotaka kuwaunga mkono hapa Dar tunaanzia wapi? waandaaji wamefikia wapi?"nimewaandikia ninyi vjn kwa sababu mna nguvu....wadau hataMungu pia anatutegemea vijana kufanya kazi na kuleta mabadiliko... na mabadiliko ya Tz yataletwa na sisi".
 
tuko pamoja, na TZ tunayaandaa kumpinga atakapoanza kutembelea mikoani
 
wamwageni hao jamaa waliokuwa wanataka kuwahonga.. tupeni contacts zao .. huu ni wehu kabisa
 
afadhali kuna ata mtu mmoja anayeweza kusimama na wananchi mil.40+! kikwete must step down as soon as possible...anatumaliza Watanzania. tukisubiri 2015 kweli sijui tutakua wapi?????????!!!!!!! LIZmoko atatufilisi kabisa...
 
Mbona inaelekea Vasco kashtukia hiyo dili haji tena, atatuma mawaziri...:sick:

Ulongo mtupu Fisadi papa anataka kuja kwa kuwashtukiza ili waandamanaji wasijue nini kimetokea, anakuja lakini kuna usiri mkubwa sana na ujio wake.

Waandamanaji kaeni mkao wa kula nasikia notice itakuwa ya 12 hours tu.
 
update:
Ratiba kamili ya maandamano itatolewa tarehe 9 september 2011. Kwa hiyo ambao mmeshajitayarisha kaeni tayari. Hii ni kwa ajili ya kuwakwepa wale ambao wanamipango ya kuvugura maandamano yetu
 
Very good, ila ili kuboresha inatakiwa maandamano hayo yafanyike dunia nziama kila palipo ubalozi wa tz, na funga kazi yafanyike hapahapa dsm. I think the time has come, lets join together for final solution on ufisadi crises.
 
maandamano hayo pia ni lazima tuliopo dsm tuyaunge mkono kwa vitendo. Tuingie barabarani kuonyesha ghadhab zetu

Kaka natamani ingekuwa hivyo lakini sisi watanzania tuishio hapa jehanum 'tanzania, ni mabwege kupita kiasi, acha watusaidie kufikiri; haiwezekani sisi hapa hom tubaki kulia na maisha magumu wakati huyu KKwt anapaa angani kama popo, yaani ni president mzururaji kupita wote duniani, tuamke sasa...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…