Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Status
Not open for further replies.

Muda wake upi? Sio lazima akae miaka mitano.

Does it mean you want him to leave sooner?

Yes, Why not?

Kuhusu mafisadi,Nae ameshasma CCM inafanya jitihada kubwa kuwaondoa. Walipewa siku 90 kuondoka,mmoja tu aliondoka ,bado wawili. Nape amewapa siku 30 or so zaidi ili nao pia wajiondoe.

Kwa nini wasishitakiwe? Huu ni uonevu wezi wa kuku wanafungwa lakini mafisadi wanalelewa kama yatima.

Tatizo la watu wanapokuwa katika diaspora they feel that they can influence the mother country,kwa sababu wako out of reach,and they can speak without fear. But this feeling is quite unfounded.

So what? Let people feel what they want its a free world.

Juhudi zenu za kumuaibisha JK zitakuwa ludicruos.

Kama ni ludicruos kama ulivyoandika mbona umekuja mbogo?

To have any influence in this country,you have to be present,it is only your gravity presence,your physical presence in Tanzania that can enable you to influence events here.

Sasa kama hawana influence kwa nini unagwaya?

Mimi pia nipo katika CCM. Kuna coordination gani kati ya mambo wanayotaka kufanya watu katika diaspora na watu ambao wako nyumbani?
Naomba kuwa informed about what is happenning.
+718 536 281
nyerereburito@yahoo.com

Halafu unataka tukupigie simu wewe ili iweje? wewe tayari ni gamba na hapa umeshikwa pabaya maana una huzuni kuu.

we una maslahi binafsi na familia ya jk nini?

Nayaona mema anayoyafanya nambie idadi ya mashule wakati, ni rais yupi aliyefanya namna hiyo? idadi ya viwanda, kwa muda wake tayari zaidi ya viwanda 160 vipyaaaaaaaa kati ya 500 na zaidi vinavyojengwa kwa muda huu wake mfupi tu. Mbona hamuyasemi? Mkonga wa mawasiliano wa kisasa kabisa, Tanzania nzima unatandazwa, miko 18 na wilaya zake 56 tayari unatumika.

Juzi tumeona akizindua Swahili version ya windows 7 na mashule kibao kuanza kufundishwa kwa mtandao, nyie pigeni kelele hakuna walim mwenzenu anahakikisha waalim best wanafundisha kwa mtandao, waalim wataokuwepo shule ni skeleton tu kuhakikisha nidham na mambo ya utawala, uko wapi wewe? halafu kwa yote hayo bado nisiwe na maslahi nae binafsi? unanchekesha.

Pumba tu hizo, mkiambiwa tulinganishe apple na apple mnashindwa hata kujaribu.

Naunga mkono hoja kwa asilimia 100. Baraka za Mungu ziwe juu yenu wote mnaoandaa maandamano hayo.

Haya mkuu tumeiona kazi ipo JF.

Kuna member aliomba details za FaizaFoxy. Mwenye uwezo wa kutupatia labda angeturahisishia kazi..!! Au kwa wale wenye uwezo wa kupata IP adress yake / zake anazotumia ingekuwa vema sana pia.

Wala usipate taabu, mimi nakaa Mtaa wa Lumumba na Udoe, Dar. Njoo tu unakaribishwa. Na kama hiyo haitoshi nambie nikusubiri lini?

Sijajua kama Ngeleja na Jairo walikuwepo wakati wa Kambarage's administration!

Manyang'au kama hao siyo rahisi kuwepo kwenye timu ya mwalimu. After all, huyo ngereja siyo rahisi kabisa kwani wakato wa Nyerere inawezekana yeye alikuwa bado ananyonya vidole. Ni kafisadi kalikochipukia juzijuzi ti.

Pumba hizo.

Wala usipate taabu, mimi nakaa Mtaa wa Lumumba na Udoe, Dar. Njoo tu unakaribishwa. Na kama hiyo haitoshi nambie nikusubiri lini?

Unafikiri wanao huo ujasiri? wenyewe ni wapambanaji wa keyboard, na wewe peke yako umewashika pabaya sana.

Ya Uingereza yametufundisha Acheni kuganga njaa. Maandamano sio suruhisho hata kidogo labda muwe mnataka kuonekana CNN au Ndugu zenu hawajawaona siku nyingi kwa vile hamjarudi. Nauliza watu wengi wanasema na schedule Hizi nani akaandamane???

Nafikiri tunachanganya mambo au sijui hatuelewi. Uingereza yale sio maandamano ya amani, ilikuwa ni people(mostly youth) against police (retaliation). Please tafuta habari kamili usipotoshe watu. Hivi mbona Uingereza walivyoandamana kupinga BAE kwenye sakata la Rada mlifurahia? Yaani when it comes to your own people ndio inakuwa tatizo au nini ni hasa? Kuna watu wanasema watanzania walioko nje hawana uchungu na nchi (si kweli hata kidogo). Nilikutana na baadhi waliokuja TZ this summer; na walikuwa wanashangaa kwanini tunaona ni sawa for the government to do what they want (not fulfilling people's interest). Kama mtu anakuja TZ kila mwaka na tena mmewadanganya wawekeze kwenye nchi isiyokuwa na umeme mnafikiri wataendelea kuwachekea tu? It is time for JK and his people to wake up and start doing the right thing, kujitetea sio soln, soln ni moja tu: do what your suppose to do.

idadi ya shule kitu gan ww?umejaribu kutazama ubora wa elimu?ni kwel km amefanya meng zaid ya hao waliopita lakini kumbuka maendeleo ya nchi yetu hayalingani na rasilimali zilizopo hapa nchini mama.

Where are the apples?

Over 2000 Secondary Schools in 5 Years, over 168 Industries in 5 Years, Over 11,000Kms of Roads signed and under construction, over 3000MW of electricity signed and under construction, fiber optic trunk, whole of Tanzania, over 18 regions, 56 districts are already enjoying it.

Haya leta ma apple kama hayo kwa marais woooote kabla yake uwachanganye pamoja.

Unafikiri wanao huo ujasiri? wenyewe ni wapambanaji wa keyboard, na wewe peke yako umewashika pabaya sana.

Siku 40 za vasco dagama kuaibika mbele ya jumuia ya kimataifa imewadia. It is too late to act kama unadhani points zako zitawavunja moyo walioamua kuandamana.

Bado nawategemea wakoloni wawafundishe namna ya kuishi. Mna kazi sana nyie wakimbizi wa Tanzania

Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…