Dada mambo ya dini yahasiana na nini na utendaji wa Kikwete? sidhani kama udini utatufikisha popote sana sana vizazi vyetu vitaangamia kwa sumu za aina yako unazoziweka hapa.Usiyemkubali ni wewe na Magwanda wenzako. Tena nna uhakika isiyokubalika ni dini yake lakini si utendaji wake, kwani mpaka sasa ameshawapita wote waliomtangulia kwa maendeleo ya kutolewa mfano.
Usiyemkubali ni wewe na Magwanda wenzako. Tena nna uhakika isiyokubalika ni dini yake lakini si utendaji wake, kwani mpaka sasa ameshawapita wote waliomtangulia kwa maendeleo ya kutolewa mfano.
UPDATE
Habari njema ni kwamba, kuna familia moja ya kitajiri ambayo ina interest kubwa Tanzania na wanashangaa kuona taifa letu linavyodidimia. Kwa maana hiyo, wamejitolea kulipia mabango, pamoja na mabasi sita.
TUUNGANE FACEBOOK PROTEST AGAINST KIKWETE
Mimi nina picha ya nyumba yao duni kabisa kuliko zote pale mtaa wa kariakoo inaangaliana na redio uhuru, kama mnahitaji naweza kuiupload hapa.Kuna member aliomba details za FaizaFoxy. Mwenye uwezo wa kutupatia labda angeturahisishia kazi..!! Au kwa wale wenye uwezo wa kupata IP adress yake / zake anazotumia ingekuwa vema sana pia.
Kuna member aliomba details za FaizaFoxy. Mwenye uwezo wa kutupatia labda angeturahisishia kazi..!! Au kwa wale wenye uwezo wa kupata IP adress yake / zake anazotumia ingekuwa vema sana pia.
Naomba pamoja kwamba JK ameprove failure kwenye ledership, lakini ni matusi kusema anamtegemea mtu bogus kama Faiza Foxy, this is too far.FaizaFoxy ni msaidizi wa JK. Anafanya kazi na Salva. Yupo tayari kufa kwa ajili ya JK. Huyu mama ni jeuri kweli, alafu lina dharau sijui kwa sababu ya lile libwana la Symbion? Watu bwana. Sasa mbona madhambi yake tunayo kibao? Au anadhania tunaingilia uharakati kichwa kichwa. Mimi ni mwana UVCCM kwa hiyo siri za hawa watu nazifahamu. Faiza Foxy nimefanya naye kazi sana, alafu ndiye anayetegemewa na JK kwenye mambo mengi
FaizaFoxy, hayo ni baadhi ya maneno ambayo umekuwa ukiyatamka kwa nyakati fotauti ukijibu hoja za wachangiaji mbambali humu, si mara moja ama mbili lakini kila wakati unapoona ni mwafaka kutetea au kupinga hoja mbali mbali. Kwanza nakiri kabisa mimi si Muislaam na pili nimejitahidi sana kukaa mbali na hoja zinazohusu dini ndani ya JF kwa sababu hadi dakika hii naamini tatizo kubwa linalotukabili Watanzania kwa sasa si udini ila udini unavyotaka kutumiwa na baadhi ya watu kama kisingizio cha mapungufu yetu kama taifa.FaizaFoxy said:
- Ufisadi wake ni kwa kuwa yeye Muislaam.................
- Tena nna uhakika isiyokubalika ni dini yake lakini si utendaji wake..................
Naomba pamoja kwamba JK ameprove failure kwenye ledership, lakini ni matusi kusema anamtegemea mtu bogus kama Faiza Foxy, this is too far.
Ndio walewael, ukiwauliza kuhusu maendeleo hawataki kuyataja.
Kafanyeni na maandamano kuonesha, mashule yaliyoongezeka, makliniki yaliyoongezeka, ma universirty yaliyoongezeka, mabarabara yaliyoongezeka, kilimo kilichoongezeka, demokrasia iliyoongezeka. Mbona hayo hamuyasemi?