Dada Faiza, mie nataka DUBAI YA AFRIKA TULIOAHIDIWA=Kigoma. Bila kusahau meli yetu
Nimealikwa, na nitaandamana
Sis tunataka hizo sky scrappers za Dubai ya AfricaKwa mara ya kwanza umeme unawaka Kigoma baada ya miaka 40, kwa mara ya kwanza Kigoma wanaunganishwa na mikoa mingine kwa barabara za lami, au hujui hilo?
Nawaza tu ni jinsi na njia gani ya kumtoa jk madarakani. Akina shimbo wameshapewa ahadi na rais za kulindiwa vijisent vyao mnadhani wataweza mgeuka?
Sis tunataka hizo sky scrappers za Dubai ya Africa
What about our international aiport?Kwa mara ya kwanza maghorofa marefu yanajengwa Kigoma, nimekuambia muulize Kabwe.
Watanzania Mlio UK, akitia pua yake huko dawa ni kuandamana kuonyesha dunia Tanzania ina shida kiuongozi, rushwa na ufisadi vinauwa taifa
Tanzania haikuanza shida na ufisadi wakati wa Kikwete, wakati wa Kikwete ndio tunaona unashughulikiwa ipaswavyo.
JAIRO ndio huyo anamgwaya!!Tanzania haikuanza shida na ufisadi wakati wa Kikwete, wakati wa Kikwete ndio tunaona unashughulikiwa ipaswavyo.
Unajibiwa vizuri mpaka raha!What about our international aiport?

Tanzania haikuanza shida na ufisadi wakati wa Kikwete, wakati wa Kikwete ndio tunaona unashughulikiwa ipaswavyo.
Unajichekea kama pua yako ilivyo. Nimejibu hoja kwa hoja. Angalia hii thread vema kuliko kudandiadandiaUnajibiwa vizuri mpaka raha!
Hapa najichekea tu.
Bado una kingine cha kuuliza? Soon utaingia tu kwenye mstari!
Hahaha..umejibu hoja au umejibiwa hoja zako?Unajichekea kama pua yako ilivyo. Nimejibu hoja kwa hoja. Angalia hii thread vema kuliko kudandiadandia
Kigoma kuwa Dubai ya Africa, Kigoma kupatiwa meli,Hahaha..umejibu hoja au umejibiwa hoja zako?
Nimeshaamini ule msemo kuwa watu wa Kigoma - UJIJI wanapenda misifa!
Sichakachui ukweliinaonekana hukuchakachua katika election yako ya u sheriff!!!!!!!!!
Ndio kwanza miezi tisa imepita toka uchaguzi, na hii ndio budget ya kwanza baada ya uchaguzi! Subiri uone utanufaika vipi.Kigoma kuwa Dubai ya Africa, Kigoma kupatiwa meli,

Kigoma kuwa na international airport,

Kigoma kuwa na fly overs

Kigoma kuwa na university

Viko wapi????
Hizo statistics zenu wakati watu wanasaga meno na kulia zinakuwa ni kichekeshoDuhh kumbe na wewe uko nje ya Tanzania halafu unadanganywa hakuna maendeleo unakubali? si ungetazama statistic za UN na mashirika mengine ya Kimataifa kuujuwa ukweli.
Ndio kwanza miezi tisa imepita toka uchaguzi, na hii ndio budget ya kwanza baada ya uchaguzi! Subiri uone utanufaika vipi.
FF kakujibu vizuri sana kuhusu kigoma ilipolkuwa before na ilipo sasa! Sina haja ya kurudia.Tuliambiwa tusubiri toka 2005 leo ni 2011. Enough!! Mkweree is a big joke