Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Status
Not open for further replies.
Ebu ondoeni Udini hapa. Mbona Mkapa alipokuwa anaibia Serikali hamkuandamana huko USA? Hii ni chuki ya dhahri kwa sababu Rais ni Muislamu.
 
Kwani wewe hujui kwamba MMES ni mpango ulioratibiwa na serikali ya Mkapa tangu mwaka 2004? Hujui kwamba bajeti ya ujenzi wa hizo shule ilikuwa tayari ipo na kwamba Kikwete alikuwa anatekeleza kazi aliyoianzisha Mkapa? Na hujui kama Kikwete alimissuse hela kiasi cha kuanza kuwachangisha wananchi, wakati mwenzake Mkapa alitekeleza MMEM bila kuwachangisha wananchi.
 
Haya mawazo ya makengeza yana nafasi kwenye misikiti ya siasa kali na kwenye vijiwe vya kahawa, hapa JF sio mahali pake na wala sio hadhi yake.

Hapa JF ni sehemu ya Christians Fundamentalists. Akili zenu ni kupinga kila kiongozi Muislamu. Mbona hamuandamani kuhusu Mkapa ua Nyerere, hawa ndiyo viongozi walioifilisi TZ.
 
Hapa JF ni sehemu ya Christians Fundamentalists. Akili zenu ni kupinga kila kiongozi Muislamu. Mbona hamuandamani kuhusu Mkapa ua Nyerere, hawa ndiyo viongozi walioifilisi TZ.
mimi ni BUDDAH.
 
<br />
<br />
Yafaa na toliopo hapa TZ tulianzishe aondoke madarakani kwani thahiri uongozi wake unaonekana niwakubahatisha
 
Ebu ondoeni Udini hapa. Mbona Mkapa alipokuwa anaibia Serikali hamkuandamana huko USA? Hii ni chuki ya dhahri kwa sababu Rais ni Muislamu.

Kkukemea ufisadi sio udini.
Kukemea safari za nje zisizoisha sio udini
Acha kufikiri kwa kutumia makengeza tumia brain yako.
Hata akija raisi mkristo akiwa fisadi na akianza kusafiri kusikoisha tutamwuumbua
To hell with ukristo ama uislamu
Wale wanaodai haki zao Syria sio wote ni wakristo
 
Ebu ondoeni Udini hapa. Mbona Mkapa alipokuwa anaibia Serikali hamkuandamana huko USA? Hii ni chuki ya dhahri kwa sababu Rais ni Muislamu.

I DARE TO SAY: MUSLIMS HATA KAMA UMESOMA KIASI GANI KUNA LEVEL FLANI YA UJINGA UNABAKI NAYO NA PIA UPOFU WA KUWEZA KUTENGANISHA ISSUES....HAPA SUALA LA UDINI LINAKUJA VIPI HAPA, KAMA SI UHAYAWANI HUU. HUU NI WENDAWAZIMU KABISA, SIWEZI KUMTETEZA LOWASA ETI KISA HE IS CHRISTIAN LIKE THE FAITH I BELIEVE, I CAN NOT STAND BESIDE ROSTAM AZIZ BECAUSE HE IS FREEMASON LIKE I BELIEVE......LET US THINK CRITICALLY JAMANI, ACHENI HOJA MFU NA ZA KITOTO. U WAPI USOMI WENU, MNAJIPAMBANUA KWA LIPI? DAH...HII NI FULL CRAP:

I am Sorry to say hivyo. But i still believe there are good and well educated Muslims wanaoweza ku-analyse mambo vizuri kabisa na wanaweza kutenganisha dini na utendaji wa watu.
 
Hatuangalii futari wala kipa imara hapa. Ufisadi ni ufisadi.
 
Ebu ondoeni Udini hapa. Mbona Mkapa alipokuwa anaibia Serikali hamkuandamana huko USA? Hii ni chuki ya dhahri kwa sababu Rais ni Muislamu.

Yaani hapa ndio mwisho wako wa kufikiri??
 
Naona hao wanaoleta suala la dini hapa ni wachochozi waliotumwa! Hii si suala la dini! :tea:
 
Mkuu, kwa hiyo watu bora ni Wakiristu! Aipendezi kaka tujaribu kuvumiliana kila mmoja sidhani kama kuna mtu atapenda dini yake itukanwe! Sote tunapambana kwenye njia moja dini zisitufanye tuchukiane
 
Yaani hapa ndio mwisho wako wa kufikiri??
Kuna thread nyingine humu JF mbumbumbu huyo huyo mmoja eti analalamika mbona Chadema haifutulishi waislamu? sasa sijajuwa kama CHADEMA ni cha siasa au ni chama cha kufutulisha watu?
Huu ujinga mwingine kama ni tuzo basi ni tuzo ya platinum 5.
 
Unaongea vitu gani wewe? huyu hizo safari zake umeona rais yupi wa design hii achilia Ulaya, hata hapa Africa tu hakuna......huyu kwa taarifa yako, anatuma maombi ya mialiko yeye mwenyewe na wapambe wake. Crap Crap Crap mpaka mwisho.

Mkuu utakuwa umenivunjia heshima kidogo kwenye post yangu !!!!
 
Kuna thread nyingine humu JF mbumbumbu huyo huyo mmoja eti analalamika mbona Chadema haifutulishi waislamu? sasa sijajuwa kama CHADEMA ni cha siasa au ni chama cha kufutulisha watu?
Huu ujinga mwingine kama ni tuzo basi ni tuzo ya platinum 5.

Wanapenda sana Ubwa bwa hao! Muwasamehe bure
 
Mweeeeeeeeeeee wajameni, kama ninyi mlioko US mnapata machungu, je sisi tulioko hapa TZ?
Ningekuwa na uwezo, ningetafuta uraia wa nchi nyingine, hata hivyo bado hatujachelewa,
Hayo maandamano sisi tunawaombea yafanyike kama mlivyokusuadia, manake Tz imepoteza mwelekeo sasa.
Mungu tusaidie, Sikia kilio chetu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…