wewe maandamano unayoyataka ni ya mshikamano. tunawajua nyinyi, wivu tu umewajaa. mnaona nchi inawashinda mnasingiziaMaandamano. Mbona nchi za Kiarabu zimefanikiwa ktk kuandamana? Wewe subiri upepo ugeuke ndipo utakapojua nini kitawatokea. Kama mgeshinda kihalali bila ya wizi leo hii msingestuka hivi.Na kama mgechaguliwa kwa % mlizojitangazia. watu wote wangewaunga mkono. Soma alama za nyakati.Nchi imeshamwagiwa Petroli cheche tu Moto utawaka.
nYIE WAJINGA MABOOM YANALIPUKA KWA UZEMBE WENU HALAFU MNATULETEA UPUMBAVU WENU HAPA PUMBAVU ZENU CCM! n
Unanifurahisha sana toka uanze kupiga kelele umezuia nini maandamano ndiyo kwanza yanaendelea sasa tuko mjini katikati Nyerere Road endelea tu kufurahisha kijiwe.Sasa kama kinachohitajika ni umeme, maandamano yataleta umeme?
Can anyone quantify manufaa ya hayo maandamano? taking into account kuwa yanatumia pesa nyingi kuyaandaa!?
Walala hoi wanatembea kwa miguu nyinyi mko ndani ya gari,
Na fedha alizotumia mwenyekiti wako kwenda kufanyia usuhishije?anzeni kuwapelekea hizo kwanza na mnazotaka kuwalipa dowans,acha kuwa kibaraka wewe hii nguvu ya umma hamuwezi kuizuia someni alama za nyakati....CHADEMAAAAAAAAAAAAAAAAAAA VEMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAFedha iliyotumika kwa ajili ya haya maandamano ingewafaa sana wakazi wa GONGO LA MBOTO, maslahi ya Taifa kwanza.
Mnapoeza muda wa watu kufanya kazi. Watu wanataka barabara, hospitali, shule bora n.k. Hawataki maandamano.
Acheni uzushi, kahamasisheni shughuli za maendeleo.
kwa nini CHADEMA hawamnunulii Dr Viatu vingine, Dr anavaa viatu hivyo hivyo tangia ufunguzi wa campaign last year August.
Mnapoeza muda wa watu kufanya kazi. Watu wanataka barabara, hospitali, shule bora n.k. Hawataki maandamano.
Acheni uzushi, kahamasisheni shughuli za maendeleo.
andamaneni halafu kesho asubuhi au wiki ijayo mtuambie hayo maandamano yameleta mabadiriko gani?
Sio mnaandamana kila siku na hakuna kinachobadiria lakini bado mnaandamana tena na tena na tena.
Kuwa insane maana yake ni " to do the same thing again and again and then somehow expect different results". Mkiandamana kila siku na hakuna kinachobadirika mjue mko insane.
Fedha iliyotumika kwa ajili ya haya maandamano ingewafaa sana wakazi wa GONGO LA MBOTO, maslahi ya Taifa kwanza.
Kama kuna anayeweza kunitajia kitu kimoja kilichopatikana kwa chama fulani cha siasa Tanzania kwa njia ya maandamano aweke hapa. Kila siku mnaandamana na kutoa hotuba zisizo na tija halafu jioni mnarudi nyumbani. Mantiki yake nini sasa?
Hivi huwa mnakaa na kuevaluate mafanikio yanayopatikana kutokana na hayo maandamano?
Inapendeza miji mzima ni vidole viwili tu.
nYIE WAJINGA MABOOM YANALIPUKA KWA UZEMBE WENU HALAFU MNATULETEA UPUMBAVU WENU HAPA PUMBAVU ZENU CCM! n
Nadhani tunahitaji kutoa upya maana ya maandamano.
Haiwezekani yale ya wananchi wa Misri pale Tahriri Square, Tunisia na Lybia na haya ya watu wanaotembea kuelekea mkutano kutoa na kusikiliza matamko tu na kisha kuishia zao yote yaitwe maandamano.
Tunapaswa tukipe kiswahili maneno tofauti juu ya vitendo hivi viwili visivyofanana ata chembe, hili la Mwanza lilipaswa liitwe "matembezi" na wala sio "maandamano".
Hamjawahi kuhamasisha hata ujenzi wa shule ya kata, kazi yenu kuandaa maandamano tu. Huo ni unafiki wa kisiasa, hamna moyo wa kweli wa kuleta maendeleo Tanzania.