Maandamano ya CCM Moshi Mjini

Maandamano ya CCM Moshi Mjini

Nilitegemea watu kama Aggrei Marealle, Boisafi ndio labda CCM wangehakikisha ndio wanagombea hapo Moshi mjini ili kupambana na CHADEMA.
Kwa ajabu kabisa nikashangaa muhuni wa bar, muuza unga, mjanja mjanja wa Dar, checkbob, dalali wa kinondoni ndio anagombea Moshi mjini kwa tiketi ya CCM?

Ww umekunywa viroba, ww mwenyewe unamwita mjanja, ss shida iko wapi?
 
Ingekuwa maandamano yamefanywa na UKAWA, hivi sasa tungekuwa tunahesabu wafu na majeruhi.

Hawa ni walewale walikuwa wakisema maandamano ni kupoteza muda. Wamegeuka kuwa wapinzani sasa.
 
Bila shaka hukumsikia mkurugenzi wa jF alipohojiwa na kusema Ccm wame invest sana kweny habari. Akasema mwanzni UKAWA wlaikuwa mbele sana hapa JF lakini sas Ccm wanaongoza.

Kwa hiyo kufutwa kwa threads za ukawa ni kuifaya ccm ionekane inaongoza kwa kuwa imetumia fedha nyingi kwenye vyombo vya habari.

Na kwa mantki hii, ninaona JF inakwenda kufa baada ya uchaguzi kwa sababu ya udhalilishaji ambao JF imeamua kuwafanyia wanaopingana na ccm.

Lakini haya yote si Ccm yetu asilia ni hii ccm ya kisasa. Inaua kila kiltu.

Hata hivyo tunakwenda kushndwa uchaguzi. Mimi ni Ccm na hili nimeliona kwamba tunazidi kuudhi wapiga kura kila siku, na kwamba hatuna uwzo wa kushinda uchaguzi huu. Hivyo tutakaa kando tujipange upya. Lakini hata wale wanaotufuata matakwa yetu, kama hapa JF, wasanii na vyombo vingine kama Star TV, wajiandae kukaa pembeni pamoja na sisi wakijipanga upya kwa sababu wamebeba nuksi zetu na tunawakokota kwenda tusikokujua.

Hawasalii salama hawa. Wala usiwe na hofu.

Muwe mnapunguza unafiki kidogo.
 
Tunajua Tunachokitaka, Miaka Hiyo Ya Nyuma VYAMA Vikubwa Vyote Kila Kimoja Kulikuwa Kivyake!! Kwanza Mnapambana Wapinzani Wenyewe Kwa Wenyewe, Zen Na CHAMA Tawala!! So Vurugu Tupu!! 2015 Viko Pamoja Twaimba Wimbo Tu Mabadiliko, Uzuri Na CCM Wamejiunga Ktk. Mabadiliko!!

Safi sana.
 
Ww umekunywa viroba, ww mwenyewe unamwita mjanja, ss shida iko wapi?

monges wewe akili yako fupi sana, yaani unadhani ujanja ujanja wa mjini unaweza kukusaidia kupata ubunge, tena ubunge wa Moshi mjini?

Ustaarabu na uvumilivu ndio silaha ya kufanikiwa kwenye siasa.
Davis Mosha analeta uhuni wa Dar akidhani atapata ubunge wa Moshi, katika hilo asahau.
 
Last edited by a moderator:
Nasikia wameandamana bila kibali lkn wamepewa ulinzi na geshi la poorisi
 
Bila shaka hukumsikia mkurugenzi wa jF alipohojiwa na kusema Ccm wame invest sana kweny habari. Akasema mwanzni UKAWA wlaikuwa mbele sana hapa JF lakini sas Ccm wanaongoza.

Kwa hiyo kufutwa kwa threads za ukawa ni kuifaya ccm ionekane inaongoza kwa kuwa imetumia fedha nyingi kwenye vyombo vya habari.

Na kwa mantki hii, ninaona JF inakwenda kufa baada ya uchaguzi kwa sababu ya udhalilishaji ambao JF imeamua kuwafanyia wanaopingana na ccm.

Lakini haya yote si Ccm yetu asilia ni hii ccm ya kisasa. Inaua kila kiltu.

Hata hivyo tunakwenda kushndwa uchaguzi. Mimi ni Ccm na hili nimeliona kwamba tunazidi kuudhi wapiga kura kila siku, na kwamba hatuna uwzo wa kushinda uchaguzi huu. Hivyo tutakaa kando tujipange upya. Lakini hata wale wanaotufuata matakwa yetu, kama hapa JF, wasanii na vyombo vingine kama Star TV, wajiandae kukaa pembeni pamoja na sisi wakijipanga upya kwa sababu wamebeba nuksi zetu na tunawakokota kwenda tusikokujua.

Hawasalii salama hawa. Wala usiwe na hofu.

Ujumbe wako Maxence Melo
 
Ikumbukwe mkuu wa mkoa hana malaka wala majukumu yoyote ya kujibu mastaka au malalamiko ya kisiasa kwa sababu nafasi yake c ya kisiasa ...ila huyu amosi makala aliyeshindwa kwa kura za maoni huko kijijin kwao anajidai anajua kujibu hoja mjini..tutamchomoa ka kamasi puani
 
Huo ni ubaguzi kama wachaga wameenea, Waha, Wapare, Wanyakyusa, Wasukuma na makabila mengine wako wapi?
 
Kitu nilichokigundua watu wengi wa humu ndani wanatokea amma wa asili ya Arusha na KLM/Moshi

Ondoa huu uchafu wako wa ukabila hapa! Hizi ndio akili za KiCCM!. Kwa taarifa tu mimi ni Mpemba fyoko! Ukitaka uthibitishe basi nenda kaburini Kamuulize marehemu Omari Ali Juma (Makamo wa Rais JMT awamu ya Mkapa) . Linapokuja suala la Utaifa mimi ni Mtanzania kwanza mwenye kutaka mabadiliko. Hata afufuke Nyerere sasa hivi mara hii CCM out!
 
👆​👆 ​dalili za ccm kuwa chama cha upinzani zaonekana huko moshi. waandamana kuelekea kwa mkuu wa mkoa kuilalamikia chadema.😜😜
 
Back
Top Bottom