Maandamano ya CCM Moshi Mjini

Maandamano ya CCM Moshi Mjini

Kwa kweli bora nilipigie sanamu la round about ya kwenda DSM kuliko kumpigia devis Mosha
 
10361377_130331393989552_8215556907095336337_n.jpg
 
Devis mosha hana nia ya kuwadaidia wana moshi....ni kwamba anataka kulainisha mambo yake ya kifisadi....mkateni hafai!!!!
 
Kwa akili aliyonayo devis mosha ninakuwa na shaka na kabila lake...anaweza kuwa mnyasa Huyu....MKATENI
 
Ni aibu sana pale unapomuona mgombe ubunge kwa ticket ya ccm akiamua kuanzisha machafuko yasiokuwa na tija...baada ya kugundua atashindwa vibaya kwenye uchaguzi wa jumapili...... Mimi namjua sana huyu kijana hat a utajiri wake ni wa mashaka sana....hii ni jamii ya kina riz1 kikwete.....wanamoshi MSIMPE KURA DEVIS MOSHA aka YAHYA

Moshi ni chuo cha siasa mkuu. huo utajiri uchwara wa ndonga haututishi, awapende ndugu zake kwanza ndo atupende sisi wapiga kura.
 
mbaya zaidi baada ya maandamano kufika kwa mkuu wa mkoa, amewafukuza amesema hataki kuona mtu hapo nje ya ofisi yake, hasa ukizingatia ni juzi tu mkuu huyu wa mkoa ametangaza kuwa hali ya moshi ni tulivu sana.

Michagga mingi humu JF!
 
tangu mabaunsa wa Mosha waanze kupiga watu hovyo wale waliokua wanapokea pesa zake hawataki hizo pesa, wanasema pesa zake sio tamu tena.
Ni kweli kabisa Daudi. namfahamu jamaa moja ameachana kabisa na hizo pesa zake kwasababu ya vurugu za Davis. Alikuwa ni mpambe wake kweli na alivuta za kutosha. Ameona anaingiza chuki kwa washikaji zake wa kitaa wakati uchaguzi mwisho tarehe 25. baada ya hapo utakaa vipi mtaani na washikaji umeshawavuruga? Amechomoa
 
Hilo kofuli akafungie choo change!!!! Kwasababu lowasaa kashalifanya kofuli Malaya....hata kidole kinalifungua.....
 
Huu mwaka wafuasi wa upinzani nawapongeza kwa utulivu & uvumilivu wao. Endeleeni hivyo, tuwaaibishe magamba.

Tunajua Tunachokitaka, Miaka Hiyo Ya Nyuma VYAMA Vikubwa Vyote Kila Kimoja Kulikuwa Kivyake!! Kwanza Mnapambana Wapinzani Wenyewe Kwa Wenyewe, Zen Na CHAMA Tawala!! So Vurugu Tupu!! 2015 Viko Pamoja Twaimba Wimbo Tu Mabadiliko, Uzuri Na CCM Wamejiunga Ktk. Mabadiliko!!
 
Back
Top Bottom