Maandamano ya CCM Moshi Mjini

Maandamano ya CCM Moshi Mjini

UKAWA ni wapenda fujo na ndio baba wa fujo.hilo halihitaji miujiza.hata mleta uzi mwenyewe ni baba wa Wongo
 
Kusanya evidence zithibitishe ni sahihi na kweli peleka kwa wakubwa wa mkoa.HATUTAKI MACHAFUKO...TUNATAKA AMANI NA UTULIVU.kama wakubwa hawatafanyia kazi ikifika mambo ya ICC itasaidia.

mbaya zaidi baada ya maandamano kufika kwa mkuu wa mkoa, amewafukuza amesema hataki kuona mtu hapo nje ya ofisi yake, hasa ukizingatia ni juzi tu mkuu huyu wa mkoa ametangaza kuwa hali ya moshi ni tulivu sana.
 
Wafuasi wa Chadema wameionya polisi na mkuu wa mkoa wasipochukua hatua madhubuti ili kuzuia vurugu hizo watajibu mapigo haraka iwezekanavyo, na kuwa wakijibu mapigo Moshi hakutakalika tena.

/QUOTE]
Natumai hamtaingia kwenye mtego huu ili muwe sababu ya ukosefu wa amani. Moshi inatakiwa ibaki kama ilivyokuwa na Mzee Ndesa.
 
Sijui nani aliyemdanganya huyu Yahaya kugombea ubunge Moshi Mjini?

Nafikiri Mungu alimpiga UPOFU katika kufikia uamuzi huo!
 
Yana mwisho haya.................mie naomba Kenya na Uganda wajiandae kupokea wageni kwa muda
 
hawa wamepewa kibali cha maandamano? Ni bora wafanye sasa maana ndio mwisho wao huu kuandamana!
 
Sijui nani aliyemdanganya huyu Yahaya kugombea ubunge Moshi Mjini?

Nafikiri Mungu alimpiga UPOFU katika kufikia uamuzi huo!

Alijua pesa zake za madwa ya kulevya na urafiki wake na Ridhiwani ni sure deal atapita.
 
Kinachonishangaza kuna watu walituaminisha humu jukwaani kuwa hakuna ccm Moshi na Arusha, kumbe ni uzushi tu
 
Hawana huruma na hawapepesi macho watu wa Moshi. Chadema wapita na gari lao la matangazo wakipiga wimbo wa Snura "majanga"
wakirudia zaidi verse isemayo
"Kupigwa nipigwe mie, polisi uwahi wewe, kibao umenigeuzia mie, mbona majanga"?

Snura - Majanga ( BONGO FLAVA - RADIO MBAO): http://youtu.be/aQhFWlp-Jmk
 
Ni aibu sana pale unapomuona mgombe ubunge kwa ticket ya ccm akiamua kuanzisha machafuko yasiokuwa na tija...baada ya kugundua atashindwa vibaya kwenye uchaguzi wa jumapili...... Mimi namjua sana huyu kijana hat a utajiri wake ni wa mashaka sana....hii ni jamii ya kina riz1 kikwete.....wanamoshi MSIMPE KURA DEVIS MOSHA aka YAHYA
 
Back
Top Bottom