PostGE2025 Maandamano ya 9D yamekaa kimtego sana

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ukikaa ndani unapigwa risasi ,ukitoka unapigwa risasi ila angalau upo field ila pia uwezo wa kupona ni mkubwa , so bora kutoka tu.

Ushauri hata kama maandamano vyoyote vile yatakua ,ila barabara kuu zinazo ingia kila mkoa zifungwe.

Police ndo huanzisha vurugu so iyo siku maandamano yalindwe na jwtz tu ,

Inatakiwa siku iyo ni jwtz na waandamanaji kwenye barabara basi ,

Sio mbaya wenginge mkiendele kujitolea kupika masufulia ya wali ,maji , Ugali, mikate n.k kwa ajili ya waandamanaji.

Maduka fungeni wekeni katoni za maji, vitu vidogo kama biskuti ,au pipi wape waandamanaji , na msiwe mbali na mali zetu ili kusaidiana na nao kudhibiti waporaji,
Nyie mnaosema mlikaa ndani mkapigwa risasi ...ikawaje mlifufuka? Mbona siye tulitii amri tulikaa zetu ndani hatukufuatwa kupigwa risasi? Au ulikimbilia ndani baada ya kuchoma sheli na kuiba mitungi ya gesi wakakuona?
 
Aisee nitolee upumbavu , mimi nimepoteza vjana wangu wawili na hawakuwa kwenye maandamano, funga mdomo wako mchafu unaonuka pumbavu
 
Kama Una hasira Sana toka tarehe 9 upotee na wewe ...hao vijana wako uliwatuma wakachome sheli za watu?
 
Wakuuz hivi ule uzi unaozungunzia tetesi za Gen Z kupata silaha ulifutwa?
 
Imekaa kimtego haswaaa, ila mm my take naona;

Serikali sasa hv haitoweza kuchukua hatua zozote kali kwasababu wapo pabaya sana ..kila camera inaangazia nn kinaendelea Tanzania....vyombo vya nnje vipo on high alert hasa baada ya kusikia nn kimetokea wiki kadhaa zilizopita. So sidhani kama watafanya waliyoyafanya, zaidi ya kutumia measures za kawaida tu za kutawanya watu, maybe mabomu ya machozi and such. So ishu sasa hv ipo mikononi mwa wananchi na ndio maana njia pekee imebaki, ni kuwagawanya wananchi wasiwe na umoja, iwe kidini, kikabila au whatever.
Hii ya kidini inaonekana ni dhahiri hasa kwa kuwatumia masheikh wapuuzi wapuuzi.
 
Kama Una hasira Sana toka tarehe 9 upotee na wewe ...hao vijana wako uliwatuma wakachome sheli za watu?
Usinifundishe cha kufanya , nani hatakufa , hata hao wauwaji si swala mda yatakufa mdomo wazi ,asema Bwana
 
Bwana yupi aliyekuambia upingane na mamlaka ..bwana gani alikwambia ukachome sheli za watu kisa wewe ni masikini? Au bwana gani alikwambia ukaibe kwenye maduka ya watu pindi ukiandamana tutajie jina la huyo bwana? Au ni bwana gani huyo aliyekuambia Samia anapanda mwendokasi choma vituo ili apate shida ya usafiri?
 
Wewe ni mpuuzi , na laana ya Mungu ukufutilie mbali kuanzia unyao wako mpaka utosi , wako , ukoo wako wote uwe juu ya laana hii na imekua,

Yule mtangaji wa cloud alikua anachoma sheli ya nani , ya baba yako au ya mama yako
 
Nyie watumishi wa gwajiboy mna shida hapo kichwani aisee! Ina maana hujui nchi ilikuwa kwenye state of emergency? Hiyo ni bahati mbaya .....mlipoanza kuchoma Mali za watu na za umma ndipo madhila yakawapata hata wasiokuwamo kwani waandamanaji mlikuwa na alama maalum usoni? Na hiyo laana ikurudie mwenyewe
 
Imekaa kimtego haswaaa, ila mm my take naona;

Serikali sasa hv haitoweza kuchukua hatua zozote kali kwasababu wapo pabaya sana ..kila camera inaangazia nn kinaendelea Tanzania....vyombo vya nnje vipo on high alert hasa baada ya kusikia nn kimetokea wiki kadhaa zilizopita. So sidhani kama watafanya waliyoyafanya, zaidi ya kutumia measures za kawaida tu za kutawanya watu, maybe mabomu ya machozi and such. So ishu sasa hv ipo mikononi mwa wananchi na ndio maana njia pekee imebaki, ni kuwagawanya wananchi wasiwe na umoja, iwe kidini, kikabila au whatever.

usiwachukulie CCM poa kabisa, linapokuja suala la kulinda madaraka yao wanaweza fanya lolote. Hawashindwa kuua zaidi ya walioua mwanzo
 
CCM hawawezi kurudi nyuma kwenye suala la kulinda utawala wao
 
Back
Top Bottom