BULLDOZZER
Senior Member
- Jan 18, 2011
- 103
- 0
Jamani mimi nauliza swali dogo tu. Licha ya kuwa Muamar Ghadafi ametawala Libya kwa zaidi Umri wa mtu mzima; Mbona hakuna maandamano Libya?. Je, Wao hawataki mageuzi?
Kwa nini Tunisia, Egypt, Lebanon, Yemen n.k ndio tuu wanaandamana?
Generosity makes hegemony tolerable, it doesnot render it acceptable.Gaddaffi, hata kama ni dikteta, anawajali watu wake na nchi yake.
Kwa maoni yangu ni bora kuwa na dikteta wa namna hiyo kuliko kuwa na serikali ya kidemokrasia kama yetu halafu watu ni masikini wa kutupwa.
acha uwongo kaka Libya unemployment ni 30% makubwa yapi amefanya kwa nchi yenye watu milioni 6.5 na utajiri wa mafuta namna ile?
Jamani mimi nauliza swali dogo tu. Licha ya kuwa Muamar Ghadafi ametawala Libya kwa zaidi Umri wa mtu mzima; Mbona hakuna maandamano Libya?. Je, Wao hawataki mageuzi?
Kwa nini Tunisia, Egypt, Lebanon, Yemen n.k ndio tuu wanaandamana?
Ataondolewa tu we subiri ame over stay..hana uzuri wowote..
Kama ni mzuri angeondoka baada ya miaka 10,15..na kuweka system endelevu
Yeye amekuwa mfalme zaidi
wewe mi sibishani na watu wanaoamini propaganda uchumi wao Libya (oil proven reserve 47 billion bbl (1 January 2010 est.), oil export 1.542 million bbl/day (2007 est.), Natural gas proven reserve 1.539 trillion cu m (1 January 2010 est.), Natural gas export 10.4 billion cu m (2008 est.)) kwa 95% unategemea revenue ya mafuta sasa ukiwa na watu millioni 6 (unemployment 30% (2004 estimates), people below poverty line 7.4% (2005 estimates)) halafu kati yao 30% unemployed sijui unaweza kusifia vp? kwanini basi wasiwe na uchumi kama wa Norway (oil proven reserve 6.68 billion bbl (1 January 2010 est.), oil export 2.061 million bbl/day (2008 est.), Natural gas proven reserve 2.313 trillion cu m (1 January 2010 est.), Natural gas export 98.85 billion cu m (2009 est.)) ambayo inawiani kiasi fulani kwa idadi ya watu yaani milioni 4.6 (unemployment 3.7% (estimates 2010) people below poverty line NA%) na mafuta yanachukua 30% tu! Pls lets be great thinkers na tusiwe washabiki tu...Acha kuropoka kitu usichokijua Libya iko juu sana kiuchumi, watu wake wanamaisha mazuri, miundombinu ya kufa m2 wako smart mbaya kama sio nchi ya jangwa. mm nimekua huko last year.Unemployement ni tatizo la dunia nzima kwan hujaona Ufaransa wanavyoandamana kuhusu ajira.Angalia hali ya maisha kwa watu wa chini yakoje. Big up Gaddaf
wewe mi sibishani na watu wanaoamini propaganda uchumi wao Libya (oil proven reserve 47 billion bbl (1 January 2010 est.), oil export 1.542 million bbl/day (2007 est.), Natural gas proven reserve 1.539 trillion cu m (1 January 2010 est.), Natural gas export 10.4 billion cu m (2008 est.)) kwa 95% unategemea revenue ya mafuta sasa ukiwa na watu millioni 6 (unemployment 30% (2004 estimates), people below poverty line 7.4% (2005 estimates)) halafu kati yao 30% unemployed sijui unaweza kusifia vp? kwanini basi wasiwe na uchumi kama wa Norway (oil proven reserve 6.68 billion bbl (1 January 2010 est.), oil export 2.061 million bbl/day (2008 est.), Natural gas proven reserve 2.313 trillion cu m (1 January 2010 est.), Natural gas export 98.85 billion cu m (2009 est.)) ambayo inawiani kiasi fulani kwa idadi ya watu yaani milioni 4.6 (unemployment 3.7% (estimates 2010) people below poverty line NA%) na mafuta yanachukua 30% tu! Pls lets be great thinkers na tusiwe washabiki tu...
https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/geos/ly.html
https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/geos/no.html