Maandamano; vipi Libya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano; vipi Libya?

Discussion in 'International Forum' started by BULLDOZZER, Jan 28, 2011.

 1. BULLDOZZER

  BULLDOZZER Senior Member

  #1
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani mimi nauliza swali dogo tu. Licha ya kuwa Muamar Ghadafi ametawala Libya kwa zaidi Umri wa mtu mzima; Mbona hakuna maandamano Libya?. Je, Wao hawataki mageuzi?
  Kwa nini Tunisia, Egypt, Lebanon, Yemen n.k ndio tuu wanaandamana?
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  maadanamano kama haya yakifanyika bongo itakuwa safi sana maana mkwere lazima ataachia ngazi tu ..hahaaaa
   
 3. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Muamar Ghaddafi ameifanyia makubwa saana nchi yake, na ina uchumi ulio bora kabisa.
   
 4. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,739
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Gaddaffi, hata kama ni dikteta, anawajali watu wake na nchi yake.

  Kwa maoni yangu ni bora kuwa na dikteta wa namna hiyo kuliko kuwa na serikali ya kidemokrasia kama yetu halafu watu ni masikini wa kutupwa.
   
 5. Che Guevara

  Che Guevara JF-Expert Member

  #5
  Jan 28, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 1,178
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  CCM/TANU/ASP vimetawala Tanzania kwa MIAKA 50. Mbona bado hakuna maandamano ya mfululizo (sustained protest rallies?).

  Tuangalia kwetu mkuu, tuandamane na tuibadilishe nchi yetu TANZANIA, si kujiuliza kwanini Libya hawaandamani.

  Tanzania is NEXT!
   
 6. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #6
  Jan 28, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Generosity makes hegemony tolerable, it doesnot render it acceptable.
   
 7. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #7
  Jan 28, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,073
  Likes Received: 4,008
  Trophy Points: 280
  acha uwongo kaka Libya unemployment ni 30% makubwa yapi amefanya kwa nchi yenye watu milioni 6.5 na utajiri wa mafuta namna ile?
   
 8. D

  Domo Zege JF-Expert Member

  #8
  Jan 28, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Acha kuropoka kitu usichokijua Libya iko juu sana kiuchumi, watu wake wanamaisha mazuri, miundombinu ya kufa m2 wako smart mbaya kama sio nchi ya jangwa. mm nimekua huko last year.Unemployement ni tatizo la dunia nzima kwan hujaona Ufaransa wanavyoandamana kuhusu ajira.Angalia hali ya maisha kwa watu wa chini yakoje. Big up Gaddaf
   
 9. BULLDOZZER

  BULLDOZZER Senior Member

  #9
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumbe uadilifu unasaidia. Big up Ghadafi. Lakini situnasema hivyo baada ya muda mrefu?. Je, watawala wetu tukiwapa muda wanaweza kufanya Vema?
   
 10. BULLDOZZER

  BULLDOZZER Senior Member

  #10
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mfano Mkapa angekaa miaka 25 madarakani ingekuwaje?. Je, Mkwere akipewa miaka 30 itakuwaje??
   
 11. K

  KISOSORA Member

  #11
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkapa angepewa muda mrefu namna hiyo wananchi tungekula nyasi kwa kununua mi dege ya raisi.:msela:
   
 12. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #12
  Jan 28, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kwa Libya sidhani maana pamoja na kutokuwa na uchaguzi kiongozi wao anafanya mambo mengi kwa maslahi ya wananchi wake aliwahi kuapa ataendelea kuishi katika mahema mpaka mwananchi wake wa mwisho atakapojenga nyumba...wangapi viongozi wa afrika wanaweza kufanya hili?
   
 13. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #13
  Jan 28, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Libya ipo juu kimaendelea na cjui kama Gadafi ana akaunti ya vijisent Uswiss.
  Libya miaka ya 80 ilikuwa tayari ina asemble TV na Magari.
  Gadafi anajali wananchi wake na sio mwizi kama hawa wengine!,Je Umewai sikia wife wa Gadafi akifanya matanuzi kama mke wa Rais wa Tunisia?.Gadafi anafanana na Kaghame wa Rwanda kiasi Kidogo,si mnaona Rwanda inavyokimbiza?
  Watanzania bado waoga so acha tuendelee kuwa shamba la bibi
   
 14. n

  nguluvisonzo JF-Expert Member

  #14
  Jan 28, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 511
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Nasikia pia unemployed wana kamgao kao to katika uchumi wao,kwa mambo ya namna hii unataka nini umuondoe ulete mwizi,hapana hata mimi nisinge hangaika kuandamana.
  Kiongozi akiwa analinda na anagawa maliasili ya nchi kwa wananchi wenyewe nafikiri utakuwa salama mpaka unaingia kaburini kama inavyoelekea kwa kamanda wa libya
   
 15. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #15
  Jan 28, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  It is a matter of leadership and caring of his people. Despite his dectatorship, Gaddaf cares humbly his people! He is there for the people and not a group of 'mafisadi' like here in Tanzania and the rest of the arab countries.
   
 16. T

  Topical JF-Expert Member

  #16
  Jan 28, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ataondolewa tu we subiri ame over stay..hana uzuri wowote..

  Kama ni mzuri angeondoka baada ya miaka 10,15..na kuweka system endelevu

  Yeye amekuwa mfalme zaidi
   
 17. NTINGINYA

  NTINGINYA JF-Expert Member

  #17
  Jan 28, 2011
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Aondoke aje Bin Ally mbona hivyo wewe hatasisi hapa tukipata kamayeye hatutaki democrasia ya kifisadi Kanali anawalipa walibia pato linalotoka kwenye nishati ya mafuta kwa hesabu ya mafuta yaliyo zalishwa na kuuzwa kila mlibia anapta pasenti na kila mlibia akioa anapewa mahari na gharama za sherehe je nyiyi wenye utajiri wa maliasili mnapata nini zaidi ya kula mlo mmja kwasiku na kubangaiza mfayakazi wa tanzania ni sisawa na raiya wa libya asie fanya kazi mlibia anauhakika wa milo mitatu kwasiku na ansomesha watoto wake bila shaka leo mfanyakazi bongo mshara anaopata hautoshi kulipia pango analoishi acha kula nakusomesha wanawe
   
 18. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #18
  Jan 29, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,073
  Likes Received: 4,008
  Trophy Points: 280
  wewe mi sibishani na watu wanaoamini propaganda uchumi wao Libya (oil proven reserve 47 billion bbl (1 January 2010 est.), oil export 1.542 million bbl/day (2007 est.), Natural gas proven reserve 1.539 trillion cu m (1 January 2010 est.), Natural gas export 10.4 billion cu m (2008 est.)) kwa 95% unategemea revenue ya mafuta sasa ukiwa na watu millioni 6 (unemployment 30% (2004 estimates), people below poverty line 7.4% (2005 estimates)) halafu kati yao 30% unemployed sijui unaweza kusifia vp? kwanini basi wasiwe na uchumi kama wa Norway (oil proven reserve 6.68 billion bbl (1 January 2010 est.), oil export 2.061 million bbl/day (2008 est.), Natural gas proven reserve 2.313 trillion cu m (1 January 2010 est.), Natural gas export 98.85 billion cu m (2009 est.)) ambayo inawiani kiasi fulani kwa idadi ya watu yaani milioni 4.6 (unemployment 3.7% (estimates 2010) people below poverty line NA%) na mafuta yanachukua 30% tu! Pls lets be great thinkers na tusiwe washabiki tu...
  https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/geos/ly.html
  https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/geos/no.html
   
 19. M

  Mtu Mmoja JF-Expert Member

  #19
  Jan 29, 2011
  Joined: Mar 18, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  every case is judged on its merit
   
 20. m

  makeke Member

  #20
  Jan 30, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 33
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  unemployment sio tatizo kama watu hawana njaa,
   
Loading...