Maandamano nchi nzima yatangazwa baada ya bunge kukubali muswada wa sheria wa marekebisho ya katiba

mama spika ni kilaza sana kwenye mambo ya law, pili prf. KABUDI, gwiji wa law, AMEMPOTOSHA MAMA SPIKA NA WABUNGE WALIOMSIKILIZA KWENYE SEMINA YA JUZI, AMEPOTOSHA UMMA KUTOKANA KUCHUMIA TUMBO LAKE, HAJAELEZA UKWELI UNAOTAKIWA PRF. KABUDI WEWE NI MTU MWENYE HESHIMA NYINGI KWA WANAZUONI WOTE NA WANANCHI KWA UJUMLA, KWANINI UMELIPOSHA TAIFA? YAANI UMENUNULIWA NA CHAMA LA MAGAMBA KUPOTOSHA UKWELI, YAPASWA ULAUMIWE.
 
wakuu kuna kitu kinanishangaza'kama katiba ni mali ya watanzania kwa nini ccm iingize sana mamikono yao???kwa nini wasiwape watanzania nafasi ya kufanya watakayo''maandamano lazima mpaka yule mkweree mwenye ngoma aone nyotanyota?
Na ikiwezekana ATOKE IKULU,tumechoka bana!
 
Sikuelewe mbona? ehe..nipo, hebu eleza shida yako fasta! tuna majukumu mengi!

Ahahahahaaaaaa!!! Majukumu mengi siyo!! Kwa hiyo thread zimekuwa nyingi unashindwa kuzipitia siyo??? Jitahidi kabla Nape hajagundua hilo. Otherwise kibarua kinaweza yeyuka kimchezo mchezo!!
 
Am in...
CCM mbona mnatugeuza sie wajinga jamani

nyie ni wajinga na maprof wenu wenye njaa mnaowakodi kuja kutoa semina. Inabidi tuhamasishe madactari wawe wanawatwanga potasium mpatwe na cardiac arrest mfe tu! Mlaaniwe nyie na muanze kuzini na watoto wenu kwa kutaka kutuharibia mchakato wa katiba yetu mpya. Nawalaani kwa kushirikisha viungo vyangu vyooote!!
 
sijawahi kuona Deus Kibamba akitenda kile anachoahidi lakini ni mzungumzaji mzuri na anapenda kukurupuka kwa mfano anahidi maandamano nchi nzima huku hajajipanga na hajui ni wananchi wangapi wataunga mkono....poor planning
 
Hayo maandamano ni lini yatafanyika hebu tuache porojo watu tuko tayari tufanye haraka wakati joto la kisiasa liko kubwa
 
Hao askari ni ndugu zetu watoto wetu baba zetu mama zetu wajomba zetu babu zetu na kadhalika tunachodai kina maslahi kwao vilevile sasa sioni sababu ya kuwachukia ila tu nikuwaelimisha kwani kiapo ndicho kinachowasumbua ila ipo siku na wao watachoka na magamba na kuamua kufuata njia iliyo sahihi (Chadema)
 
naombeni mnitumie nauli na mimi... Nitakuja kuwapa shule kuhusu mchakato wa katiba na kinachoendelea.. Nitakuja kuwafundisha kuhusu upotoshwaji unaofanywa na hao wanaojiita wanaharakati.
Tukusanyike kwa wingi ili somo lieleweke kwa wengi tafadhali

kamfundishe mkeo na mama yako
 
CCM ndio watanzania...CCM ni chama kilichopewa dhamana ya kuiongoza nchi na wananchi. Maoni wanayoyatoa ni ya watanzania wote walioiweka madarakani. Sioni sababu ya kikundi cha watu wachache ya kutaka kuyumbisha malengo mazuri ya chama tawala.

Unaongea usichokielewa. Unaposema kikundi cha watu wachache, we ulitaka kila mmoja apige kelele kama mnavozomia bungeni? Kweli ccm hamnazo kuliko wananchi wengine.
 
Hao askari ni ndugu zetu watoto wetu baba zetu mama zetu wajomba zetu babu zetu na kadhalika tunachodai kina maslahi kwao vilevile sasa sioni sababu ya kuwachukia ila tu nikuwaelimisha kwani kiapo ndicho kinachowasumbua ila ipo siku na wao watachoka na magamba na kuamua kufuata njia iliyo sahihi (Chadema)

Kiapo ni kitu gani? Hicho kiapo kimebakia kwa polisi tu. Mbona madaktari wanatoa mimba hovyo, wanavujisha siri za wagonjwa wao, rais anakiuka katiba kwa kuhongwa suti, mawaziri wanafanya ufisadi, usalama wa taifa wanaiba kura? Polisi watambue kuwa wakubwa wao wamekula viapo ambavyo hawaviheshimu. Waelimike tuungane kudai haki.
 
Naombeni mnitumie nauli na mimi... nitakuja kuwapa shule kuhusu mchakato wa katiba na kinachoendelea.. Nitakuja kuwafundisha kuhusu upotoshwaji unaofanywa na hao wanaojiita wanaharakati.
Tukusanyike kwa wingi ili somo lieleweke kwa wengi tafadhali
Mwenyewe akili huna sasa utafundishaje wengine?
 
Sijui kwanini watu wangu, ila sina imani na sisi watanzania!
Natamani wani-prove wrong ila sina imani kabisa!
Nitachukua jukumu langu kwa kushiriki kwa asilimia mia!
Ila bado tuna kazi ya kuwasha taa mchana peupe
 
Jukwaa la Katiba latangaza uamuzi mgumu

Jijini Dar es Salaam, Jukwaa la Katiba limetangaza maandamano makubwa yasiyokoma nchi nzima, kama hatua ya kupinga hatua hiyo ya serikali baada ya jitihada zao za kuishauri serikali kwa njia za mazungumzo kushindikana.

Akizungumza mara tu baada ya uamuzi wa serikali kuruhusu muswada huo kusomwa kwa mara ya pili huko Dodoma, mwenyekiti wa jukwaa hilo, Deus Kibamba, alisema kwa kuwa wabunge wa CCM wameamua kuwadharau Wat
 
jamani tusidanganywe na huyo deus katambala, eti maandamano nchi nzima...kila kukicha maandamano.mawayo ya wanachadema si ya watz wote. watz tusipotoshwe na watu wenye mawazo finyu kama huyu deus...cdm wanajifanya mawazo yao ndio ya watz, si kweli tuungane kuwapinda vikali kwan wanataka kuingiza nchi yetu kwenye majaribu kw sababu ya uroho wa madaraka kw kutumiwa na mashoga wa wingereza...huyu deus anakurupuka kwan ametoka juzi wingereza kw bwana ake...amaandamane mwenyewe...watz tumechoka kudanganywa na h
 
CCM ndio watanzania...CCM ni chama kilichopewa dhamana ya kuiongoza nchi na wananchi. Maoni wanayoyatoa ni ya watanzania wote walioiweka madarakani. Sioni sababu ya kikundi cha watu wachache ya kutaka kuyumbisha malengo mazuri ya chama tawala.
Usingizi wenu ni mzuri endeleeni kulala katika usingizi wenu wa pono kwa kudhani watanzania wataendelea kuwa kama walivyokuwa jana, majibu yanakuja endeleeni kuvuta shuka.
 
Back
Top Bottom