Maandamano Makubwa Yafanyike Kumpongeza Mama Samia Kwa Hotuba Ya Kihistoria Kwenye Baraza Kuu La Umoja wa Mataifa

Ndugu Watanzania

Dunia imeshangazwa, imekubali na kufurahishwa na uwezo mkubwa aliouonyesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani kupitia hotuba yake kwenye Baraza la Usalama UN

Ndugu Watanzania ukweli ni kuwa Mama Samia ameipaisha nchi yetu ya Tanzania hadi juu kileleni Kwenye medani za kidiplomasia

Ndugu Watanzania naomba tumpatie heshima anayostahili Shujaa wetu kwa kufanya maandamano ya kumpongeza nchi nzima

Ndugu Watanzania nashauri maandamano hayo yaanzie siku ambayo Rais wetu atakayowasili akitokea Marekani

Ndugu Watanzania ili kufanikisha hilo Kamati maalumu iundwe na iongozwe na Waziri Mkuu akiwa Mwenyekiti huku Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi akiwa Katibu wake

Viva Mama Samia
Viva Tanzania
Viva CCM

View attachment 1951334
Tuandamane kwa lipi? Acha upoyoyo kaandamane wewe na familia yako.
 
Kweli kabisa dunia inajiuliza huyu ninani, viongozi wote waliduwazwa alipoongea point hazijawahi ongelewa!! Jiji la New York Sasa kuitwa Samia york...ulaya yoote wanataka akawe rais wao!! tukampokee Kwa vigelegele na ngomazetu tuzicheze huku tumefunga vibwebwe wanaume kwa wanawake.
 
Ndugu Watanzania

Dunia imeshangazwa, imekubali na kufurahishwa na uwezo mkubwa aliouonyesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani kupitia hotuba yake kwenye Baraza la Usalama UN

Ndugu Watanzania ukweli ni kuwa Mama Samia ameipaisha nchi yetu ya Tanzania hadi juu kileleni Kwenye medani za kidiplomasia

Ndugu Watanzania naomba tumpatie heshima anayostahili Shujaa wetu kwa kufanya maandamano ya kumpongeza nchi nzima

Ndugu Watanzania nashauri maandamano hayo yaanzie siku ambayo Rais wetu atakayowasili akitokea Marekani

Ndugu Watanzania ili kufanikisha hilo Kamati maalumu iundwe na iongozwe na Waziri Mkuu akiwa Mwenyekiti huku Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi akiwa Katibu wake

Viva Mama Samia
Viva Tanzania
Viva CCM

View attachment 1951334
Hotuba ya kawaida sana, zaidi ya kuongea ENGLISH vizuri na matamshi....

Zaidi ya hapo haina jipya, over
 
Maandamano amefanya Mange Kimambi mwenye followers milioni 4 insta so inatosha. Tuna janga la uviko so tuepuko mikusanyiko isiyo ya lazima
 
Acha uongo wewe!!!! Huo utafiti wa dunia imekubali na kufurahishwa na uwezo mkubwa wa Chifu Hang ya kupitia hotuba yake iliyojaa uongo mwanzo mwisho uliufanya lini na wapi? Ukubwa wa sample yako ulikuwa upi. Duh!!! Kuna watu waongo jamani!!!

Back
Top Bottom