Maandamano Makubwa Yafanyike Kumpongeza Mama Samia Kwa Hotuba Ya Kihistoria Kwenye Baraza Kuu La Umoja wa Mataifa

Unafiki mtupu. Hamna Hotuba hapo.
Unajua nimeshangaa sana. Hiyo hotuba ina nini? Ninaomba jambo moja tu, linalogusa katika hiyo hotuba. Ukinipa jambo moja tu lenye mantiki tofauti katika hiyo hotuba, nitatoa zawadi maalum.
 
Hotuba ya kawaida Sana .Tanzania iwe inajitutumua kuwa eunique . Corona, Hali ya hewa , ighaidi kila mtu anajua na alisema. Angalau Raisi wa Malawi aliyahighlight in unique way .hotuba yetu iko average Sana Sana
 
Kuna watu kweli wanaweza kuhamasisha maandamano, ni aina ya kujipendekeza ingawa wanaweza tafutia uzito fulani, sasa sijui kumliwaza, au kudemka tu!
 
Ndugu Watanzania

Dunia imeshangazwa, imekubali na kufurahishwa na uwezo mkubwa aliouonyesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani kupitia hotuba yake kwenye Baraza la Usalama UN

Ndugu Watanzania ukweli ni kuwa Mama Samia ameipaisha nchi yetu ya Tanzania hadi juu kileleni Kwenye medani za kidiplomasia

Ndugu Watanzania naomba tumpatie heshima anayostahili Shujaa wetu kwa kufanya maandamano ya kumpongeza nchi nzima

Ndugu Watanzania nashauri maandamano hayo yaanzie siku ambayo Rais wetu atakayowasili akitokea Marekani

Ndugu Watanzania ili kufanikisha hilo Kamati maalumu iundwe na iongozwe na Waziri Mkuu akiwa Mwenyekiti huku Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi akiwa Katibu wake

Viva Mama Samia
Viva Tanzania
Viva CCM

View attachment 1951334

Sisi watanzania sio wajinga wakae kuandamana kwa ajili ya hotuba ya dakika saba wakati marais wengine walitumia muda mrefu hata ambao hawakwenda kama uhuru kenyatta

Tuandamana kwa ajili ya hotuba ya nusu peji

Hivyo sisi tunaendelea na kazi zetu
 
viti vipo wazi hapo naona,Gaddafi alihotubia kama lisaa lizima hapo na alipoombwa kutoka aligoma😂
Ni nadra sana kwa viongozi wa kiafrika kujaza ukumbi. Tutaongea nini cha maana hadi wazungu au wajapan wakae kutusikiliza kama fedha tu ya kujenga vyoo vya shule hatuna.
 
Hivi hao wamachinga mnaowabembeleza wana kitu gani cha ziada?? Kodi hawalipi, wanazuia watu wenye maduka kufanya biashara zao kiufanisi hivyo kuipunguzia serikali mapato, Watu wenye maduka hao hao wanawatumia hao machinga kuuza bidhaa zao ili wasilipe kodi, wanasababisha ajali, wanachafua mazingira, watu wanafunga maduka ili wawe machinga kukwepa kodi, wanawasumbua dada zetu wanapoenda kwenye manunuzi kwa kuwazongazonga na kuwapigia miluzi sababu ya ushamba wao, siku hizi hata adabu hawana, wana viburi, Mwendazake sijui aliona kitu gani cha ziada kwa hawa watu!!!! TZ hii kuna wakulima, walimu, manesi, madaktari, wanajeshi, mapolisi, vilema, wafanyabiashara wa aina mbalimbali wanaochangia kodi kubwa, wafugaji n.k.!! Sijaona nguvu kubwa ikitumika kutetea hayo makundi kama nguvu inayotumika kuwatetea hawa wahuni wanaojiita machinga!!!

Nyie mnao fananisha hizo kodi na asali ya mzinga wa babu huku mkizitumia kwa kuzitapanya na kujinufaisha na kama haitoshi zimewajaza kiburi cha uzima mnajiona wajuaji kumbe kiuhalisia nyie ni bure kabisa. Watu msio na chembe ya utu hata kidogo
 
Machinga wahuni tu, hawana faida yeyote zaidi ya kuleta vurumai tu mijini! Mwendazake aliwaendekeza hawa jamaa sababu akili zake na zao zilikuwa zinafanana, na walikuwa wanampa sifa za kijinga pia!! Eti ukiwafukuza machinga utashindwa uchaguzi!!!! Kuna machinga wangapi nchii hii hadi waogopewe kwenye sanduku la kura? Wana Influence gani? Ni nani mwenye akili timamu anaweza akakaa chini kumsikiliza machinga eti amshawishi kuhusu kupiga kura?? Watapangiwa utaratibu mzuri siyo huu upuuzi wanaofanya ulioshabikiwa na kukingiwa kifua na Mwendazake...! Na atayekataa kutii utaratibu mpya ni mbakora tu..
 
Ndugu Watanzania

Dunia imeshangazwa, imekubali na kufurahishwa na uwezo mkubwa aliouonyesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani kupitia hotuba yake kwenye Baraza la Usalama UN

Ndugu Watanzania ukweli ni kuwa Mama Samia ameipaisha nchi yetu ya Tanzania hadi juu kileleni Kwenye medani za kidiplomasia

Ndugu Watanzania naomba tumpatie heshima anayostahili Shujaa wetu kwa kufanya maandamano ya kumpongeza nchi nzima

Ndugu Watanzania nashauri maandamano hayo yaanzie siku ambayo Rais wetu atakayowasili akitokea Marekani

Ndugu Watanzania ili kufanikisha hilo Kamati maalumu iundwe na iongozwe na Waziri Mkuu akiwa Mwenyekiti huku Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi akiwa Katibu wake

Viva Mama Samia
Viva Tanzania
Viva CCM

View attachment 1951334
 
Ndugu Watanzania

Dunia imeshangazwa, imekubali na kufurahishwa na uwezo mkubwa aliouonyesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani kupitia hotuba yake kwenye Baraza la Usalama UN

Ndugu Watanzania ukweli ni kuwa Mama Samia ameipaisha nchi yetu ya Tanzania hadi juu kileleni Kwenye medani za kidiplomasia

Ndugu Watanzania naomba tumpatie heshima anayostahili Shujaa wetu kwa kufanya maandamano ya kumpongeza nchi nzima

Ndugu Watanzania nashauri maandamano hayo yaanzie siku ambayo Rais wetu atakayowasili akitokea Marekani

Ndugu Watanzania ili kufanikisha hilo Kamati maalumu iundwe na iongozwe na Waziri Mkuu akiwa Mwenyekiti huku Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi akiwa Katibu wake

Viva Mama Samia
Viva Tanzania
Viva CCM

View attachment 1951334
Au vp 🤣 kama yale maandamano ya kumuongezea muda wa urais, atake asitake tutamuongezeaaaa!!!!!! Yaan nyie wapiga mbinja daaah 😂😂😂😂
 
...Covid,covid, Covid,covid,covid, tuzalishe ....Chanjo covid........ Asanteni kwa kunisikiliza
Binafsi nimejiuliza kama ndio ilikuwa agenda kuu? Ilitakiwa itupiwe hotuba itakayodumu mioyoni mwa wasikilizaji for a while...au ndio ile design ya kuongea maneno "watu" wanayotaka kusikia?
 
Ndugu Watanzania

Dunia imeshangazwa, imekubali na kufurahishwa na uwezo mkubwa aliouonyesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani kupitia hotuba yake kwenye Baraza la Usalama UN

Ndugu Watanzania ukweli ni kuwa Mama Samia ameipaisha nchi yetu ya Tanzania hadi juu kileleni Kwenye medani za kidiplomasia

Ndugu Watanzania naomba tumpatie heshima anayostahili Shujaa wetu kwa kufanya maandamano ya kumpongeza nchi nzima

Ndugu Watanzania nashauri maandamano hayo yaanzie siku ambayo Rais wetu atakayowasili akitokea Marekani

Ndugu Watanzania ili kufanikisha hilo Kamati maalumu iundwe na iongozwe na Waziri Mkuu akiwa Mwenyekiti huku Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi akiwa Katibu wake

Viva Mama Samia
Viva Tanzania
Viva CCM

View attachment 1951334
Acheni ushamba jamani mnatuchafulia hewa tu... lini mtakomaa akili zenu hizo??
 
Machinga wahuni tu, hawana faida yeyote zaidi ya kuleta vurumai tu mijini! Mwendazake aliwaendekeza hawa jamaa sababu akili zake na zao zilikuwa zinafanana, na walikuwa wanampa sifa za kijinga pia!! Eti ukiwafukuza machinga utashindwa uchaguzi!!!! Kuna machinga wangapi nchii hii hadi waogopewe kwenye sanduku la kura? Wana Influence gani? Ni nani mwenye akili timamu anaweza akakaa chini kumsikiliza machinga eti amshawishi kuhusu kupiga kura?? Watapangiwa utaratibu mzuri siyo huu upuuzi wanaofanya ulioshabikiwa na kukingiwa kifua na Mwendazake...! Na atayekataa kutii utaratibu mpya ni mbakora tu..

Wamachinga silaha yao moja tu kuzomea waliovaa sare za CCM mitaani ina watosha. Ama watumie ile kauli yao maarufu, "Hatuchanjiiii" 2025 ibadilike iwe " Hatuwachaguiii" Tuone hii jeuri yenu itawapeleka wapi?.
 
Unafikiri utawala wa JK huu?? Wazomee waone nyambaf zao!! And acha upuuzi, katika wapiga kura mil 8 wamachinga ni wangapi? Hao wamachinga hata laki hawafiki tz nzima!! Safari hii mbakora tu, hawawezi wakatuchafulia miji then tuwachekee..
 
Hao watu wako hawana jeuri kama ya JPM aliye agiza Police wakikamata pikipiki wazichape virungu na kuchomoa vipuri wakauze lakini bado aliona ni busara kuweka urafiki na militia wanaoitwa machinga maana alijua akicheza nao itakula kwake. Hawa machinga mnao wadharau leo wamempa jeuri Dombooya gine na kachukua nchi mwezi unaelekea kuisha na hamna wa kumnyanganganya tonge mdomoni.

Moja ya sababu kuu aliyoitoa Dombooya ya kilocho mfanya afikie uamuzi alio ufanya ni kuwa serikali ilikuwa hajali watu wa hali ya chini na ikiwaonea na haikufanya lolote kutatua changamoto zinazo kabili tabaka hilo.
 
Watu wa hali ya chini wapo wengi, siyo machinga peke yao!! Hata hao wanaokosa njia za kupita ni watanzania vilevile! Machinga ni mojawapo ya kundi dogo tu kati ya makundi mengi yenye uhitaji tz, hawana uspesho wowote! Lazima wafuate utaratibu, hatuwezi kuishi kama tupo karne ya 19 kisa eti kuwaogopa machinga hawatopiga kura, huo ni upumbavu uliotukuka
 
Akili na hekima ni kuvamia na kuharibu mali za wamamachinga usiku. Wala hatujui kama mali hizo ziliharibiwa ama zimeibiwa na kwa faida ya nani? Kwa nini uvizie na utumie ghiliba kama unajiamini? Walishindwaje kwenda asubuhi na mapema kweupe kuwaambia hawa wamachinga tuko na jeshi hapa tayari kumuondoa kwa nguvu atakaye kiuka amri ya kuondoka baada ya masaa kadhaa. Unaenda kuwaibia wamachinga usiku kwa kisingizio cha kuvunja biashara zao zilizopo sehemu isiyo rasmi ukifikiri machozi yao yataenda bure yasimfikie Mungu wa Mbinguni. Muwapatie vitambulisho vya shilingi 20,000 @ nyie nyie. Halafu leo hii muwageuke bila haya wala soni kwa vile kafa mtu mmoja kati yenu aliyukuwa kiongozi mkuu kwenye haya maamuzi mliyo yaishi! Na mnafikiri hii ni haki mbele ya macho ya Mungu na atakaa kimya maana hana uwezo wa kuwafanya chechote.
 
Ndugu Watanzania

Dunia imeshangazwa, imekubali na kufurahishwa na uwezo mkubwa aliouonyesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani kupitia hotuba yake kwenye Baraza la Usalama UN

Ndugu Watanzania ukweli ni kuwa Mama Samia ameipaisha nchi yetu ya Tanzania hadi juu kileleni Kwenye medani za kidiplomasia

Ndugu Watanzania naomba tumpatie heshima anayostahili Shujaa wetu kwa kufanya maandamano ya kumpongeza nchi nzima

Ndugu Watanzania nashauri maandamano hayo yaanzie siku ambayo Rais wetu atakayowasili akitokea Marekani

Ndugu Watanzania ili kufanikisha hilo Kamati maalumu iundwe na iongozwe na Waziri Mkuu akiwa Mwenyekiti huku Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi akiwa Katibu wake

Viva Mama Samia
Viva Tanzania
Viva CCM

View attachment 1951334
Naunga hoja katuwakilisha kimataifa we are diplomatic
 
Back
Top Bottom