Maandamano makubwa kupinga bei mpya ya umeme Jpili hii,tarehe 15

mshikachuma

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
2,853
626
Wadau wa JF na watanzania wote kwa ujumla.
Jumapili hii kutakuwa na maandamano ambayo hayajawahi kutokea ndani ya Tanzania hii.
maandamano haya yatakuwa ya kupinga bei mpya ya umeme inayotarajiwa kuanza hapo
tarehe 15 this month.
Maandamano yataanzia mtaa wa Samora na azikiwe (picha ya askari) kuanzia saa 4 asubuhi
na yataelekea Tanesco makao makuu pale ubungo ili kuwakilisha kilio chetu ktk maandishi na
mabango. Kwa yeyote atakayependa kuudhuria tunaomba asivae vazi la chama wala asije na
bendera ya chama chochote cha siasa.
Ombi letu kwako ni : tutashukuru kila mtu mzima akija na watoto 2 au 3 wenye umri chini ya
miaka 8 au uje na mlemavu yeyote wa viungo (wa kutambaa). Lengo letu kuu ni kuwatangu
liza hawa waremavu na watoto wadogo front line ili polisi wa magamba washindwe kumimina
risasi au maji ya kuwasha....na sisi wakubwa tutakuwa nyuma yao hadi pale Tanesco ubungo.

Upatapo habari hii waambie majirani,marafiki na wafanyakazi wenzio hapo ofisini.
Tunakuomba uje na bango kubwa lenye ujumbe mzuri kwa Tanesco na Serikali.
Tanzania bila uoga inawezekana....Mungu mkubwa,kwa pamoja tutashinda!. Source:mimi mwenyewe
 
mmmh! nina mashaka kidogo na hizi taarifa.Hebu ngoja kwanza tupate taarifa za kiintelijensia kutoka kwa Kova ndo tujue la kufanya.
 
Usiwe na shaka mkuu! hizi habari ni za kweli bila chenga....mbona Nigeria wenzetu wako barabarani kupinga bei za mafuta?
kwanini sisi tushindwe?
 
Na ikumbukwe siku ya umeme tanzania,maonyesho yatakuwa uwanja wa taifa ujumbe utakuwa :tanzania bila umeme inawezekana.maana pamoja na mgao lakini wa tz bado wanaishi.siku hiyo watu wanaombwa kuja na siri ya mafanikio kwa kuendelea kuishi bila kutegemea umeme kama mishumaa,mitungi ya kupozea maji,kuni,vinu vya mkono,samaki waliyo kaushwa kwa moshi ilikuwaonyesha tanesco kwamba hatubabaiki nahayo ma nguzo yao.
 
nashauri pia tuje na vibatari ili kuonyesha maisha yetu halisi na pia kuvienzi kwani ndiyo tumaini kubwa kwa mtanzania wa kawaida
 
Angalie ndugu zanguni coz polisi watanzania wamekosa vita kwa hiyo chance km hizo hawawezi kuzichezaa u hv 2 care!!!!!!!
 
Wadau wa JF na watanzania wote kwa ujumla.
Jumapili hii kutakuwa na maandamano ambayo hayajawahi kutokea ndani ya Tanzania hii.
maandamano haya yatakuwa ya kupinga bei mpya ya umeme inayotarajiwa kuanza hapo
tarehe 15 this month.
Maandamano yataanzia mtaa wa Samora na azikiwe (picha ya askari) kuanzia saa 4 asubuhi
na yataelekea Tanesco makao makuu pale ubungo ili kuwakilisha kilio chetu ktk maandishi na
mabango. Kwa yeyote atakayependa kuudhuria tunaomba asivae vazi la chama wala asije na
bendera ya chama chochote cha siasa.
Ombi letu kwako ni : tutashukuru kila mtu mzima akija na watoto 2 au 3 wenye umri chini ya
miaka 8 au uje na mlemavu yeyote wa viungo (wa kutambaa). Lengo letu kuu ni kuwatangu
liza hawa waremavu na watoto wadogo front line ili polisi wa magamba washindwe kumimina
risasi au maji ya kuwasha....na sisi wakubwa tutakuwa nyuma yao hadi pale Tanesco ubungo.

Upatapo habari hii waambie majirani,marafiki na wafanyakazi wenzio hapo ofisini.
Tunakuomba uje na bango kubwa lenye ujumbe mzuri kwa Tanesco na Serikali.
Tanzania bila uoga inawezekana....Mungu mkubwa,kwa pamoja tutashinda!. Source:mimi mwenyewe
Mshikachuma usituletee siasa zako za kwenye vigenge vya walevi wa gongo. Unajifanya ujasiri kumbe mwoga wa kwanza ndio ww. FFU hawachagui watoto wala vilema. Ahaaa! Nimekusoma! Unataka utuache sie tunakula mkong'oto huku tukioga maji ya upupu, wakati ww na wenzako mnaenda kuvunja na kupora maduka ya Wahindi pale Samora eeenh? 'Hatudanganyiki'.
 
Mkuu,punguza uoga! hakuna kinachoshindikana chini ya jua....tukiamua tunaweza,Tanzania bila uoga inawezekana
 
Wadau wa JF na watanzania wote kwa ujumla.
Jumapili hii kutakuwa na maandamano ambayo hayajawahi kutokea ndani ya Tanzania hii.
maandamano haya yatakuwa ya kupinga bei mpya ya umeme inayotarajiwa kuanza hapo
tarehe 15 this month.
Maandamano yataanzia mtaa wa Samora na azikiwe (picha ya askari) kuanzia saa 4 asubuhi
na yataelekea Tanesco makao makuu pale ubungo ili kuwakilisha kilio chetu ktk maandishi na
mabango. Kwa yeyote atakayependa kuudhuria tunaomba asivae vazi la chama wala asije na
bendera ya chama chochote cha siasa.
Ombi letu kwako ni : tutashukuru kila mtu mzima akija na watoto 2 au 3 wenye umri chini ya
miaka 8 au uje na mlemavu yeyote wa viungo (wa kutambaa). Lengo letu kuu ni kuwatangu
liza hawa waremavu na watoto wadogo front line ili polisi wa magamba washindwe kumimina
risasi au maji ya kuwasha....na sisi wakubwa tutakuwa nyuma yao hadi pale Tanesco ubungo.

Upatapo habari hii waambie majirani,marafiki na wafanyakazi wenzio hapo ofisini.
Tunakuomba uje na bango kubwa lenye ujumbe mzuri kwa Tanesco na Serikali.
Tanzania bila uoga inawezekana....Mungu mkubwa,kwa pamoja tutashinda!. Source:mimi mwenyewe

Wewe hufai hata kidogo, kama unataka kuandamana watoto na walemavu wanini? kuandamana tz ni kujitoa muhanga maana sheria ya uhuru wa kuandamana magamba hawaitambui so kama umeamua kuandamana watoto na walemavu wanini?

Ukiwa na uchungu wa kitu huwezi kutaka huruma juu ya kukiendea hata kidogo, suala lako la maandamano upo sahihi lakini kuwaweka watoto na walemavu kama chambo nimekushusha hadhi yako sana, FFU wavuta bangi unadhani wanajali haoooo?????

Tuondolee kiwingu kama huwezi andamana acha wengine tukaandamane maana kupanda kwa umeme kwa 40% ni juu mno hivyo maisha yatakua magumu sana.
 
Mkuu,ni kweli tunaweza andamana bila ya walemavu wa kutambaa na watoto,lakini ujue polisi wa magamba watatuua kwa risasi za moto.
 
Acha longo longo yako weee! Kama sio muoga kwa nn utake kuwaweka watoto na walemavu mbele?
Mkuu ni vizuri kama tutawatumia hawa watu pale mbele kama chambo....nakuhakikishia polisi wa magamba hawatafyatua risasi za moto. Je, utakuja kwenye maandamano?
 
Back
Top Bottom