Maandamano makubwa kuidai Tanganyika.

Maandamano makubwa kuidai Tanganyika.

Kero za muungano zinazungumzika,nyie wenye chuki ndio vunjikeni,msituletee za kuleta apa.
 
Afadhali jamani!hayo maandamano mi nayasubiri kwa hamu!nimechoka kuunganishwa na watu ambao akili zao zina matatizo!
 
Kuna tetesi kuwa kuna maandamano makubwa kuidai Tanganyika hali ambayo inaonekana ni mtikisiko mwengine unaotarajiwa kuikumba Tanzania ,maandamano hayo yatafanyika Tanganyika kote ambako miji mikuu ndio itakuwa kiini
cha maandamano kwa kila mkoa ,wazee wa Tanganyika wenye busara ndio walioamua kutokaa kimya na kuona sasa ni muda muafaka wa kuibua hoja ya G55 iliyozimwa bungeni na mtu mmoja.

Tetesi hizo zimezidi kuonyeshwa kuchukizwa na hali ya nchi inavyoendeshwa bila ya kuwa na dira na maendeleo kutoonekana ,kila uchwao maendeleo yanarudishwa nyuma na kelele kutoka upande wa pili wa Muungano kuwa Muungano sio halali ,muungano unawanyionya muungano umedumaza ,sababu ambazo zinachangia kudumaa kwa Tanganyika na wananchi wake.

Sioni kama Utanganyika au Unzanzibari ndio issue ya msingi.Issue hapa ni Alliance hii ya wasomi wachache wa Tanzania na wanaojiita 'the elite' wa nchi za magharibi ambayo imechangia kwa kiwango kikubwa kuwadumiza kiakili watanzania walio wengi na hivyo kutokujua kabisa what is going on.This Alliance must be broken kama Watanzania tunataka kupiga hatua.Vingenevyo tutapiga kelele and nothing will happen.Maandamano haya ya kudai Utanganyika naamini ni harakati za Alliance hiyo hiyo kutaka ku-deviate from the real issue.
 
Kuna tetesi kuwa kuna maandamano makubwa kuidai Tanganyika hali ambayo inaonekana ni mtikisiko mwengine unaotarajiwa kuikumba Tanzania ,maandamano hayo yatafanyika Tanganyika kote ambako miji mikuu ndio itakuwa kiini
cha maandamano kwa kila mkoa ,wazee wa Tanganyika wenye busara ndio walioamua kutokaa kimya na kuona sasa ni muda muafaka wa kuibua hoja ya G55 iliyozimwa bungeni na mtu mmoja.

Tetesi hizo zimezidi kuonyeshwa kuchukizwa na hali ya nchi inavyoendeshwa bila ya kuwa na dira na maendeleo kutoonekana ,kila uchwao maendeleo yanarudishwa nyuma na kelele kutoka upande wa pili wa Muungano kuwa Muungano sio halali ,muungano unawanyionya muungano umedumaza ,sababu ambazo zinachangia kudumaa kwa Tanganyika na wananchi wake.

panapofuka moshi..........................! Mungu tuvushe salama katika kipindi hiki.
 
tunataka tanganyika yetu, watuache na ufisadi wetu,watuachie mijumba yao iliyopo msasani na kariakoo ambayo imepatikana na huma ulete
 
Mpaka hapa bado tuko kwenye sentensi ya maono ya Nyerere. Znz wameamua kuangukia katikati ya hizo Sentensi. Bado nawashauri wa Tnk watulie; bado tuna changamoto ya udini na ukanda uliolazimishwa kuingia kwenye vichwa vya watu na kina NAPE na baadhi ya viongozi wa uvccmazuzu.
 
Hamuna lolote. Hakuna maandamano wala mkutano. Mambo yenu FEKIFEKI hivi. Msmamo ni wa wazanzibari. Wazungumza hadharani wala hawaogopi. Myinyi bado muna UNYERERE ndio unawahangaisha.
 
Maandamano ya watanganyika yanafanyika mitandaoni tu,sizani kama itafanikiwa
 
Muungano ulikuwepo, upo na utaendelea kuwepo. Hatutavunja muungano bali tutaundumisha kwa faida yetu sote na vizazi vyetu vijavyo.
 
mh. akili zako kama za chadema = fupi

Mshenzi wewe, unatafutia watu ban etiiiii???? Uk..o..m..e hivyo hivyo....akili fupi wanazo ccm hao hao??? Akili zako na za Lusinde hazina tofauti hata kidogo....!!
 
Kuna tetesi kuwa kuna maandamano makubwa kuidai Tanganyika hali ambayo inaonekana ni mtikisiko mwengine unaotarajiwa kuikumba Tanzania ,maandamano hayo yatafanyika Tanganyika kote ambako miji mikuu ndio itakuwa kiini
cha maandamano kwa kila mkoa ,wazee wa Tanganyika wenye busara ndio walioamua kutokaa kimya na kuona sasa ni muda muafaka wa kuibua hoja ya G55 iliyozimwa bungeni na mtu mmoja.

Tetesi hizo zimezidi kuonyeshwa kuchukizwa na hali ya nchi inavyoendeshwa bila ya kuwa na dira na maendeleo kutoonekana ,kila uchwao maendeleo yanarudishwa nyuma na kelele kutoka upande wa pili wa Muungano kuwa Muungano sio halali ,muungano unawanyionya muungano umedumaza ,sababu ambazo zinachangia kudumaa kwa Tanganyika na wananchi wake.
Wanajamvi, huyu bwana Mwiba ni Mzanzibar, ameandika habari hii ili kuwa 'provoke' Watanganyika. Ukweli ni kuwa hakuna kitu kama hicho ila WZNZ wanataka kitokeo si kwasababu ya kuvunja muungano bali kuleta serikali 3.

Watanganyika serikali 3 ni kusaidia mambo ya ZNZ na haina faida yoyote kwa Tanganyika
WZNZ wameshindwa kuleta mswada ndani ya BLW kuvunja muungano kwa hofu tu kuwa vya bure havitapatikana

Hebu jiulizeni, hivi WZNZ wasiotaka muungano kwanini watake serikali 3, kwanini watake mkataba au mahusiano mengine?

Hii thread isiwasumbue kwasababu mpira wanao wao na wao ndio wataamua hatima ya muungano.
Hivi hamkucheka mliposikia Mwanasheria MKUU wa ZNZ akishauri tuwe na muungano kama wa USWISS! teh teh teh
Mwanasheria wa unguja bwana!

Mwiba,
Wtanganyika wanasema LET ZNZ GO! no more no less.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom