Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,654
Picha mkuu
Siyo chakula tu..hata malipo walikuwa wanahitahidi tofauti na huyo muhutu anaowaharass watumishi wa umma.Jamani mzungu analea vizuri, jamaa miezi sita bila kazi kitambi bado kipo, nasikia walikuwa wanapewa chai ya maziwa na skonzi kila siku.
Haya mkuu tukutane Chillar jioni ule na kunywaNimewaona hapo nssf wakimchimba mkwara meneja
Mbulu karibu na D4N aiseeWale waliokuwa ma miner open pit stage 3 tunakutana wapi wakuu..
Au tuanzie pale phantom junction.?
mabulason, KANUNI HAZITENGENEZWI NA NSSF WALA KISHIMBA
pamoja na sheria kaa ukijua kila mfuko una sera zake kaka tazama tena na hii kama una comment zaid utaniambiamabulason, KANUNI HAZITENGENEZWI NA NSSF WALA KISHIMBA
FYI cheki apoKama wabunge wao walivyo wawakilisha na wao kutulia pale mijadala ya kuondoa kipengele cha kujitoa katika mifuko ya hifadhi ya jamii ilipokuwa inajadiliwa na kuhitimishwa, watulie vile vile kudai madai yao maana ni hadi wafikishe umri wa kustaafu kisheria. Mjadala wa fao la kujitoa ulishafungwa, Watanzania tumezoea kukaa pembeni hadi yana tukuta. Halijaribiwi .... mjue!
Uzuri huyu RPC yuko DodomaWatapata kipigo cha mbwa koko!
By RPC Dodoma
Lazima ule baneddy- Wewe utakuwa Lembeli
Huwa tunasema hayatuhusu.Yakikukuta ndio tunaanza kutapatapa.Hata Nape Sasa hivi nina uhakika anatamani Bunge liveKama wabunge wao walivyo wawakilisha na wao kutulia pale mijadala ya kuondoa kipengele cha kujitoa katika mifuko ya hifadhi ya jamii ilipokuwa inajadiliwa na kuhitimishwa, watulie vile vile kudai madai yao maana ni hadi wafikishe umri wa kustaafu kisheria. Mjadala wa fao la kujitoa ulishafungwa, Watanzania tumezoea kukaa pembeni hadi yana tukuta. Halijaribiwi .... mjue!