Maandamano makubwa Kahama, wafanyakazi wa Acacia watoa kauli nzito

Kama wabunge wao walivyo wawakilisha na wao kutulia pale mijadala ya kuondoa kipengele cha kujitoa katika mifuko ya hifadhi ya jamii ilipokuwa inajadiliwa na kuhitimishwa, watulie vile vile kudai madai yao maana ni hadi wafikishe umri wa kustaafu kisheria. Mjadala wa fao la kujitoa ulishafungwa, Watanzania tumezoea kukaa pembeni hadi yana tukuta. Halijaribiwi .... mjue!
 
FYI cheki apo
 
Kwenye hili lazima watu waungane walipinge, serikali ya ccm ina uhakika gani kama mdai atafikisha hiyo miaka 55 au 60?? huo ni wizi mpya. na hili siyo la buzwagi tu. ilipaswa vyama vya wafanyakazi viungane vikatae huo uhuni
 
Watoto wanafanya mtihani wa form six na wameshawambia hawatapata mkopo na nssf babazao mumewanyima, nyie ngojeni
 
Kama wabunge wao walivyo wawakilisha na wao kutulia pale mijadala ya kuondoa kipengele cha kujitoa katika mifuko ya hifadhi ya jamii ilipokuwa inajadiliwa na kuhitimishwa, watulie vile vile kudai madai yao maana ni hadi wafikishe umri wa kustaafu kisheria. Mjadala wa fao la kujitoa ulishafungwa, Watanzania tumezoea kukaa pembeni hadi yana tukuta. Halijaribiwi .... mjue!
Huwa tunasema hayatuhusu.Yakikukuta ndio tunaanza kutapatapa.Hata Nape Sasa hivi nina uhakika anatamani Bunge live
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom