Tissaphernes
JF-Expert Member
- Mar 27, 2018
- 2,903
- 3,549
Tatizo ni jiwe
Waanze kampeni ya kumkataa
Waanze kampeni ya kumkataa
acha upumbavu na ww hayajakukuta ndio maana, hiyo pesa kabla watu hawajaondolewa kazini NSSF walienda mgodini na kuwaahidi watu kwamba watakaopunguzwa(redundacy) watalipwa pesa yao ndani ya miez 3 maximum b'se no. ya watu ni wengi, lakin ingekuwa inafahamika kwamba hakuna atakayelipwa ucngesikia chochote so, that is why they are complaining.
Hawa jamaa hawakuacha kazi kwa hiari yao ilo ni janga la kufungwa kwa migodi ndo lililopelekea wao kupoteza ajira zao, unapomwambia asubiri miaka 55 mtu anaefanya kazi za mgodini si haki 1.Mazingira ya kazi ni magumu vumbi, fumes, kelele kupita kawaida n.k 2.Hakuna uhakika wa kufanya kazi mpaka umri wa kustaafu utakapofika kwa sababu madini yanaisha ardhini na pia mwajiri akiona biashara yake sio nzuri anapunguza wafanyakazi muda wowote. 3.Kuna vtengo uo umri huwezi kufikisha bado una uwezo wa kutimiza majukumu yako believe or not.
Kiujumla hii sector ni tofauti sana na nyinginezo, Mifuko ya hifadhi ya jamii wapeni tu hela yao, mwenye kusoma akasome mwenye kuwa mjasiriamali uo ndo mtaji wenyewe as long as mliahidi mtawalipa.
Wafie mbele?Halafu wasipofia mbele waje kuililia Serikali hii hii kuwatunza?Naunga mkono haya maandamano, huwezi kumpangia matumizi mtu mwenye temporary contracts umwambie mpaka afikishe miaka 55 ndipo apate mafao yake.
Hili haliwezekani watu sekita binafsi wapewe pesa zao wakafie mbele huko ila hao unaowaajiri wewe ndiyo sheria hiyo inawahusu.
cheki apa Tril 1.2 za mifuko ya jamii zasubiri kanuniTatizo mumewaharibia watu ajira zao kwa kungangania makontena ya makinikia, mzungu kataka kuuza magreda aondoke awaache wachimbe kwa sululu nayo mumemzuia, haya na mafao yao munawazurumu roho gani ya hovyo hivi? Hivi dunia inatuonaje dumper cat789 eti imepaki hadi nyasi zinaota?
Au mafao ndo mumegeuza kishika uchumba cha makinikia?
eddy- Wewe utakuwa LembeliWafanyakazi wa kampuni ya Acacia waliopunguzwa kazi baada ya serikali kuzuia kusafirisha makinikia hawajalipwa nssf zao hadi leo. Hivyo wiki ijayo watafanya maandamano makubwa mjini kahama kuelekea ofisi za nssf kudai mafao yao. Wametishia kuwaondoa watoto wao shule na kukaa nao katika ofisi za nssf hadi watakapo lipwa mafao yao. Mh Kishimba angalia hawa nssf watakupotezea kura, wanakuharibia.
soma apa Tril 1.2 za mifuko ya jamii zasubiri kanunieddy- Wewe utakuwa Lembeli
Kuna jamaa mmoja anaongea kwa uchungu kuwa anatamani akimbie watoto au ajinyonge,,,,,,,,dah inasikitisha sanaWajipange