Wafanyakazi wa kampuni ya Acacia waliopunguzwa kazi baada ya serikali kuzuia kusafirisha makinikia hawajalipwa nssf zao hadi leo. Hivyo wiki ijayo watafanya maandamano makubwa mjini kahama kuelekea ofisi za nssf kudai mafao yao. Wametishia kuwaondoa watoto wao shule na kukaa nao katika ofisi za nssf hadi watakapo lipwa mafao yao. Mh Kishimba angalia hawa nssf watakupotezea kura, wanakuharibia.