Mchaga 25
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 464
- 114
Hakika muda ukifika hakuna kurudi nyuma, wadau wana wataifa wapenda maendeleo, wapendahaki, wanaharakati, wanaJF, WANAFACEBOOK, WANACCM, WANACHADEMA, WANANCCR, WANACUF, wanamapinduzi wake kwa waume tujitokeze ijumaa saa 3 asubuhi katika maeneo haya mlimani city, ubungo mataa, tazara, magomeni, sayansi, mbagala mwisho, mtoni kwa azizi ally, kimara mwisho kupinga ufedhuli na ubazazi wa nchi hii mimi na mwanangu tutakuwepo, hakika sina cha kupoteza kwani baba na babu wamepoteza miaka 50 iliyopita ni waktai wa kuandika historia mpya.
Ukoloni mamboleo hauna nafasi Tanzania.
Ukoloni mamboleo hauna nafasi Tanzania.