Maandamano London: Another new episode

Kova ana hamu ila hana jinsi kuwakataza
 

Kwa hiyo we Ben Saanane , umekuwa ndio msemaji wa cuf! Watu mkiishiwa jambo la kufanya mnakuwa na viherehere kama wakina mama wenye kupenda kusutwa. Ya kwenu yamewashinda mnakurupuka na ya wenzenu.
 
Last edited by a moderator:
hivi kwa uzi huu mleta mada CYBER CRIME UKITIWA NGUVUNI UTAMLAUMU MTU KWELI USIDANGANYIKE NA KYBOD KUWA ET HAUTAMBULIKI
cc
yereco nyerere
Tangu uijue cyber crime siku hizi hata mmeo akichelewa kurudi unamtishia kumshitaki kwa cyber crime.

Stop childish.
 
Kwa hiyo we Ben Saanane , umekuwa ndio msemaji wa cuf! Watu mkiishiwa jambo la kufanya mnakuwa na viherehere kama wakina mama wenye kupenda kusutwa. Ya kwenu yamewashinda mnakurupuka na ya wenzenu.

Ben ni Mtanzania na ana haki ya kuchangia chochote kwenye Taifa lake
 
Last edited by a moderator:
Hayo maswali siku ya kiama hayatachagua wana ccm, ukawa, masheikh, waliopiga kura, waliotetea waliokamatwa, n.k kila nafsi itakumbana na maswali kwa mujibu wa matendo yake katika kutimiza malengo ya kuumbwa kwake. Mwenyezi Mungu ni mjuzi wa yote ya dhahiri na ya siri
 
Kumekucha........ wazanzibar mliopo Uingereza fanyeni kweli pazeni sauti zenu muitetee Zenji yenu
 

Unachekesha sana ,haya maandamano tumewa invite jumuiya nyengine watuunge mkono kama za wasomali, Palestine, charities, time organized hatuja kurupuka, kwa taarifa yako, hii nchi inafuata sheria, na kwa sasa hao UK border hawana uwezo na kinyume cha sheria kufanya kama hivyo unavyo Sena.

Mimi nipo UK miaka 15 nani mzanzibari, kama msomali, kama British, vitu hivyo no kawaida mkuu, kama kidume na wewe njo uwombe ukimbizi.
 
Its not the first time kwa hawa wapenda waarabu kujifanya wanauchungu na Zanzibar bytheway impact ya hayo makobeano ni kama susumizi kwenye msafara wa TEMBO. HAPA KAzi TU

Eti hapa kazi ? Bila ya bishahara ya walimu ?
 
Tutatuma ffu asubuhi na mapema kuzuia...

Hivi Kov hajajua hili? si alikataza hadi mwamko wa siasa uishe mioyoni mwa watu... Wazanzibar hawapandi sana kuelewa amri za wakuu
 
Bora waandamane labda ccm wataona aibu wamuapishe Maalim Seif
 

Nimejikuta nacheka sana kwa ukweli huu.

Alafu wanatoa onyo kwa wana ccm na kumtaja Mungu, hapo wameenda mbali.

Nao wakiamua kuwachochea kwa hao hao wa Scotland yard maana kiuraia kweli wengi wamedanganya ni watakomaje.

Simu moja boda kontrol inawamaliza.

Wanajisahau kwa kutaka ubabe na chenji ya chama watumiwe wale, tumbo kwanza.
 



Kamati kuu ya Uongozi wa ZAWAUK iliomaliza kikao chake tarehe 08/11/2015 kwenye Ofisi zake zilizopo Manor park huko East London. Moja katika maazimio yaliofikiwa ni kuandaa Maandamano yanayohusiana na Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar.
 
Eti Napa kazi ? Bila ya bishahara ya walimu ?

wewe kweli mkimbia wa kitambo hadi kiswahili kinakupiga chenga ..jifunze kiswahili basi ni lugha yako ya taifa
 
Huku hamuandamani kupinga matokeo ya Lubuva?

Wenzetu kule demokrasia iko juu. Huku akina kova waigizaji wa sinema watatoka na vifaru na silaha zote za moto kuzuia demokrasia kama hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…