Maandamano kupinga mgao wa umeme | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano kupinga mgao wa umeme

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Msema hovyo, Jul 18, 2011.

 1. Msema hovyo

  Msema hovyo Senior Member

  #1
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kama kawaida msema hovyo mimi nimekuja na jipya leo. Sasahivi mimi pamoja na jamaa zangu wa maeneo ya Gongo la mboto na Temeke tunafanya majadiliano juu ya kuwa na maandamano makubwa kupinga mgao wa umeme uliopo nchini. Mimi mwenyewe ndo naandaa mkakati huo hivi sasa. Na mwitikio wa watu ni mkubwa sana. Tunataka uungwaji mkono ili tuweze kuikumbusha serikali wajibu wake.

  Haiwezekani serikali ambayo tangu mwaka 2006 imekumbwa na shida kubwa ya mgao wa umeme halafu miaka mitano baadaye bado haijajua nini cha kufanya kumaliza hilo tatizo. Halafu JK anatukejeli eti yeye siyo wingu la mvua? Shenzi kabisa, tulimchagua akafanye nini magogoni? No we need electricty, hawezi aondoke Ikulu tumuweke mtu mwingine atakayekuwa mbunifu. Magogoni si pa kukaa watu vilaza pale. Tuungeni mkono wakubwa.
   
 2. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Kuna posho? Sisi tumezoea maandamano yetu tunapewa posho tukimaliza kuandamana, kabla kuandamana tunapikiwa wali na maharagwe
   
 3. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Duh, hayo lazima yatakuwa maandamano ya CCM. Ya kupikiwa chakula na kupewa posho?
  Mimi naunga mkono hoja. Tatizo la umeme sasa hivi linamgusa kila mtu. Msema hovyo tuambie tunakutana wapi na lini. Mimi nitakuwepo.
   
 4. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wenye hamu ya manundu kwenye nyuso zao, mnakaribishwa.
  Wanaotaka kuonja adha ya kuvunjika kiuno, karibuni.
  Wasiojua ladha ya maji ya pilipili na harufu ya mabomu ya machozi, huu ndio wakati wenu.
   
 5. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,823
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Nilijua tu ni wewe hata kabla sijasoma ID yako
   
 6. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,085
  Trophy Points: 280
  na wanaotaka kuvuna bila kupanda ikijumuisha kupalilia msikilizeni 'Kishongo"
   
 7. N

  NCHABIRONDA JF-Expert Member

  #7
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 238
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Acha woga siku zote haki haiji hivi hivi bila kukumbana na hayo mambo. Hata yesu hakuwakomboa wanadamu hivi hivi alikula kwanza msoto ndo akafanikiwa kutukomboa. Hata nchini Rwanda sasa hivi mambo yao yako supa kwasababu raia wao kwanza waliamua kujitoa mhanga baada ya hapo ndo wakaja kuheshimiana.
   
 8. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #8
  Jul 18, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hii ni kama thread ya 10 inaohitataji watz kuandamana ila maandamano yanaishia humu humu jf labda ila sijui...
   
 9. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #9
  Jul 18, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Tatizo la wabongo tunaongea sana bila kutenda!! hebu mkuu toa mwongozo tunaanzia wapi, tunapita wapi na tunamalizia wapi? Na je ni muda gani yasiyo na kikomo au ni siku moja tu? Vipi ujumbe tuuwekaje kwenye mabango yetu? Naimani yatakuwa yasiyokuwa na kikomo, mabango ni ya kumtaka JK ajiuzuru na serikali yake.
   
 10. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #10
  Jul 18, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Badilisha hayo maandamano yawe kutaka rais ajiuzulu,wengi tutajitokeza
   
 11. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #11
  Jul 18, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,823
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Mi ntakuja hadi na kuku wangu wote na mbuzi maana hata majani siku hizi nao hawapi..........
   
 12. n

  nguluvisonzo JF-Expert Member

  #12
  Jul 18, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 511
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Don't fear your nature,utakubaliwa kulazimishwa matatizo mpaka lini kodi tunalipa tena kubwa tu isiyo kifani ,kudai haki yako unaogopa,pole kaka utaliwa kama dege usipokuwa mwangalifu na serikali yako,wenzako wanagonga wisky kajiseme NAPE.
   
 13. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #13
  Jul 18, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Sasa mnataka kuandamana kupinga mgao wa umeme, sasa mkikubaliwa si watawanyima hata icho kidogo mnachopata.
   
 14. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #14
  Jul 18, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mi siishi Dar, nilisema some time ago narudi kijijini, ndio nimesha rudi mwenzenu. Ila mkifanikiwa nitarudi. nataka nisaidie, mchango wangu huu hapa:

  Depending on how well it is organized, how many people participate in it, how convincing its message is and how much coverage other media outlets devote to it, a demonstration can be an effective tool of activism.
  When and where to demonstrate
  Make sure you have a convincing case Also ensure that all other avenues have been exhausted, i.e. phone calls, letters and meetings have not worked. The best place to demonstrate is in front of the TANESCO office outlet itself. Choose a time that makes it convenient for as many activists as possible to attend, and when most employees at the TANESCO office can observe the demonstration (e.g. early morning, lunch time, late afternoon, weekends).
  Publicity
  Try to allow at least a week to publicize your demonstration. Advertise through flyers, local community forums, newspapers and radio stations, and other activist groups and newsletters. (Community radio stations will often announce demonstrations.) Include a name and number for information about last-minute changes.
  Placards and signs
  Distill the gist of your case and recommendations into a few pithy phrases and slogans. Most passersby do not have the time or inclination to chat with demonstrators, so it is important that your placards catch their attention and convey the message. Once you have their attention, they are more likely to take your fact sheets and other information.
  Press packets and information sheets
  Make sure you call the press well in advance, so that your demonstration gets reported. Prepare a detailed documentation of your case (e.g. photocopies of articles, letters to the government departments, and their replies), along with some recommendations (e.g. an expanded and more diverse panel of experts). Also include a one-page cover sheet which briefly summarizes the main points of your case. Remember: Don't burden the press with excessive information, but make sure your allegations are backed up with sound evidence. Give copies of the one-page cover sheet to passersby as well.
  Slogans and chanting
  To draw attention to your demonstration, you may want to chant catchy slogans. Try not to sound belligerent-think about the impression you are making on the targets of your demo and on passersby. Make your point in mainstream language that gives the greatest number of people the opportunity to agree with you. You want to show that you are the reasonable and principled side. Keep in mind that you are not calling for resignations, but constructive reform.
  Other details
  You should brief one or two of your more articulate activists to be spokespersons to the media when they seek interviews. Be clear on what your main message is and make sure everyone who is interviewed stresses it. If you have planned a sufficiently large demonstration, you might want to include a few speakers too, so you may have to plan for a public address system, a podium, more information packets, a facilitator to conduct the event, etc.
  Copied (then edited by me) from Organize! (how to organize a demonstration)
   
 15. Msema hovyo

  Msema hovyo Senior Member

  #15
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Duh, wakuu hamuwezi kuamini kwamba baada tu ya kuweka hii post na umeme ulikatika hapohapo. Sijui Ngeleja alinusa kwamba post imetokea maeneo ya Temeke? Yaani sasa ameniongezea hasira za kutaka kuandamana. Na hivi wabunge wametuunga mkono, naamini maandamano yetu yatakuwa na mafanikio
   
 16. Msema hovyo

  Msema hovyo Senior Member

  #16
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mmmh, hili wazo ni zuri ila linaweza kutupelekea kwenye machafuko kama ya Libya. Mtu mwenyewe mpenda madaraka kama JK?
   
 17. Msema hovyo

  Msema hovyo Senior Member

  #17
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Karibu sana mkuu. Kwa kweli bado tunaangalia kwanza hali ya upepo ilivyo halafu tutawapa update ya wapi na vipi tutayafanya
   
 18. Msema hovyo

  Msema hovyo Senior Member

  #18
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mkuu nakushukuru sana kwa hizi tactics za kuyafanya maandamano yawe effective. Nitayachukua haya mawazo na kuwashirikisha wenzangu tunaofanya nao mipango. Tutawajulisheni maamuzi yetu ya mwisho. Leo wenzangu walikuwa bungeni kushinikiza bajeti isipitishwe. kwa hiyo wakirudi watanipa mikakati.
   
 19. Msema hovyo

  Msema hovyo Senior Member

  #19
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Duh, wewe polisi nini?
   
 20. Money Maker

  Money Maker Senior Member

  #20
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu, eneo la kukusanyikia litakuwa wapi...ni vizuri wananchi kufahamu au pale taharir square ya bongo!
   
Loading...