Maandamano kupinga mgao wa umeme

hii ni kama thread ya 10 inaohitataji watz kuandamana ila maandamano yanaishia humu humu jf labda ila sijui...
Mimi mpaka nlishaomba kibali cha kutumia JF kama jukwaa la kuratibu maandamano hayo but muitikio wa watu ukawa mdogo.Watu maandamano yanaishia kwenye computer na internet za simu,Tunapenda sana kwenda peponi lakin hatupendi kufa kwanza.
 
Duh, hayo lazima yatakuwa maandamano ya CCM. Ya kupikiwa chakula na kupewa posho?
Mimi naunga mkono hoja. Tatizo la umeme sasa hivi linamgusa kila mtu. Msema hovyo tuambie tunakutana wapi na lini. Mimi nitakuwepo.
Lukolo, hao ndo CCM bwana, afadhari umemshitukia. Karibu sana mkuu. tutawapa updates juu ya mahali pa kukutana
 
Don't fear your nature,utakubaliwa kulazimishwa matatizo mpaka lini kodi tunalipa tena kubwa tu isiyo kifani ,kudai haki yako unaogopa,pole kaka utaliwa kama dege usipokuwa mwangalifu na serikali yako,wenzako wanagonga wisky kajiseme NAPE.
upo sawa kabisa mkubwa.hivi juzi tu TRA walikuwa wanakamata na kuwafungia watu ofisi zao si kinyozi si mama nitilie si fundi motor na wala si muuza duka,hawajamaa wakikukuta huwa hawana cha nini wala nini.haijarishi unaingiza pesa wala nn.umeyumba ki uchumi kutokana na kutokuwepo kwa umeme wala nini. Yaani watapiga lock banda lako hapo inabaki kazi ni kwako.tra wanataka elfu 90 je???ulipe tra?au mwenye banda?au upeleke nyumbani kwa matumizi ya chakula.?au ukute na tanesco nao wanadai bili yao.mimi naundga mkono hayo maandamano.kuliiko.....
 
Nadhani ingekuwa vizuri kama hili Jambo lingefanyika Tanzania nzima na siyo baadhi ya maeneo tu maana waathirika ni sisi sote na ni vizuri kujipanga kwa namna ya tafouti
 
Wenye hamu ya manundu kwenye nyuso zao, mnakaribishwa.
Wanaotaka kuonja adha ya kuvunjika kiuno, karibuni.
Wasiojua ladha ya maji ya pilipili na harufu ya mabomu ya machozi, huu ndio wakati wenu.

Watanganyika siku zote tumekuwa waoga kama wewe na bahati mbaya na watawala nao wameshalijua hilo. Hali hii ikiendelea tanganyika itabakia hivi hivi na umaskini wa kutisha kwa karne nyingi zijazo. Jambo moja la kupasa kuelewa: Hakuna ukombozi unaoweza kupatikana bila "Sacrifice".
Historia inatueleza hivyo. Kwa hiyo kama kweli watanzania tunataka kujikomboa kutoka kwa mafisadi hawa lazima kujitoa mhanga kuwepo na hilo haliepukiki vinginevyo tuamue kubakia katika hali hii. Zaidi sana tusitarajie kupata unafuu wowote wa maisha chini ya chama cha magamba hilo tusahau. Serikali imeoza mno kiasi kwamba haiwezi kutiwa viraka. Kama wizara inaandaa hela kwa ajili ya kuwahonga wabunge ili kuitumbukisa nchi kwenye shimo what else do you expect. Na hili la safari hii ni kwa sababu siri zimevuja na pengine kuna wenzetu wazalendo katika wizara hiyo wamechoka na uhuni unaofanywa na wakubwa wakaamua kuwaanika sasa je miaka yote ya nyuma ni mambo mangapi yamefanyika?? Ndiyo maana majumba ya fahari yameota kila kona ya nchi, magari ya kifahari waulize mishahara yao na wamewezaje kupata hayo majumba na magari ya kifahari. Hapo watu watakapoamua na kuwaondoa hawa magamba madarakani ndiyo tuanze upya kujenga nchi na kurekebisha mambo kinyume chake tuendelee kulia.
 
Anza wewe kuji-sacrifice, nasi tutafuata.....kutegemeana na yatakayokuwa yamekukuta.
 
i second you msema hovyo,its time Tznians rise to the occassion tusikubali kuendeshwa hovyo,the govt has failed,lets apply pressure on JK to put his house in order,leadership sio kusafiri na kutoa ahadi hewa..let him take responsibility.
 
i second you msema hovyo,its time Tznians rise to the occassion tusikubali kuendeshwa hovyo,the govt has failed,lets apply pressure on JK to put his house in order,leadership sio kusafiri na kutoa ahadi hewa..let him take responsibility!! whatioff!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom