MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,564
- 847
Just for curiosity,... Mtoto akichukia au kama anadai kitu analia. Watazania kwa ujumla wao wanachukua hatua gani kama hawaridhiki na watawala wao??
Lini wana JF tusioridhishwa na utawala wa JK tutashika mabango na kuandamana kuupinga utawala huu ulioshindwa kufanya kazi tukimtaka aondoke pale magogoni? Aachie ngazi.
Unapokwenda kulewa kumbuka kuacha pesa ya supu asubuhi...otherwise unaamka na mawazo ya kilevi namna hiyo.!Lini wana JF tusioridhishwa na utawala wa JK tutashika mabango na kuandamana kuupinga utawala huu ulioshindwa kufanya kazi tukimtaka aondoke pale magogoni? Aachie ngazi.
Ng'azagala;458104 ;;;;;;;;;;;;;;; mie sipingi najaribu kufikiria tu kama walio jirani na keki ya taifa wanamawazo gani isije kuwa tunalalamika tu sie tulio nje[/QUOTE said:NG'AZA,
Umetoa changamoto nzuri.
Yawezekana mawazo ya watu ni kulingana na uhusiano walionao na hiyo serikali.
Hao wala KEKI, wanaweza kuwa hawaoni kama baadhi yetu tunavyoona.
kima cha chini na bei ya kilo ya unga kuna uwiano??Unaweza vipi kusema Kikwete ameshindwa kazi? Nimeona katika gazeti,jana au juzi kwamba inflation imepungua[a fraction of a percent] mwezi huu. Huko ndiko kushindwa kazi?
Mkuu Kaniki mi nakuunga mkono sasa imefika wakati tuseme enough is enough...nami nimechoka
Naona tunapiga mayowe tu hapa.
Je kuna maandalizi gani kuelekea 2010? je tutarudia makosa ya kupiga kura huku tumefunga macho tangu 1995 hadi sasa?
Nadhani ni budi kuwakomboa kifikra wengi zaidi kisha maandamano yatakuja yenyewe bila shaka
Usidhani wote ni wenzio hapa, hebu sema Malecela au Mengi ni fisadi uone moto utakavyowaka. Nani kasema nini ndio mtindo wa kisasa, watu bendera fuata upepo. Waoga kusimamia facts, wanasimamia maneno ya kusikia na uzoefu. Sio sheria na kanuni.
Jaribu kuitisha maandamano 'ya kumpinga Kikwete'.
Lini wana JF tusioridhishwa na utawala wa JK tutashika mabango na kuandamana kuupinga utawala huu ulioshindwa kufanya kazi tukimtaka aondoke pale magogoni? Aachie ngazi.