Maandamano Iran/Teheran

Maandamano Iran/Teheran

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,142
Reaction score
96,171
Waandamanaji wengi sana!

An imaginary situation, USA akidondosha ka bomu kamoja katka utitiri huo, ataua wangapi! Kitatokea nini?

Trump amesema " I will hit back severely if Iran retaliates".

Tuombe, let each party restraint from acting as per his wishes.

1578221829747.png
 
Trump mwanaharamu anawaambia mkilipiza kisasi tu napiga maeneo 52 sawa na idadi ya wamarekani 52 waliotekwa miaka ile 1970 mwishoni.

Ukisikia ubabe ndio huu, mtu anakuja nyumbani kwako anaua mtoto wako halafu anakutangazia ubabe kwamba ukilipiza kisasi naua wote waliobakia.

Dunia haina haki hii, wakati wairan wanaomboleza bwana mkubwa anakula likizo ya mwaka mpya akicheza gofu na viongozi wengine wasaidizi wake.
 
Dunia haina haki
Kweli haina haki! Unajiuliza kwanini Lisu alipigwa risasi? Kwanini wanampokonya ubunge wake baada ya kumpiga risasi? "Ukisikia ubabe ndio huu, mtu anakuja nyumbani kwako anaua mtoto wako halafu anakutangazia ubabe kwamba ukilipiza kisasi naua wote waliobakia. (hapo Bukililo hupataki"
 
Wanaandamania nini hao wairan?
 
Trump mwanaharamu anawaambia mkilipiza kisasi tu napiga maeneo 52 sawa na idadi ya wamarekani 52 waliotekwa miaka ile 1970 mwishoni.

Ukisikia ubabe ndio huu, mtu anakuja nyumbani kwako anaua mtoto wako halafu anakutangazia ubabe kwamba ukilipiza kisasi naua wote waliobakia.

Dunia haina haki hii, wakati wairan wanaomboleza bwana mkubwa anakula likizo ya mwaka mpya akicheza gofu na viongozi wengine wasaidizi wake.
Je na yeye anajua maeneo waliyoyatarget Iran pia?
 
Kweli haina haki! Unajiuliza kwanini Lisu alipigwa risasi? Kwanini wanampokonya ubunge wake baada ya kumpiga risasi? "Ukisikia ubabe ndio huu, mtu anakuja nyumbani kwako anaua mtoto wako halafu anakutangazia ubabe kwamba ukilipiza kisasi naua wote waliobakia. (hapo Bukililo hupataki"
Lissu cha mtoto kulinganisha huyo mwanajeshi aliyeuwawa na wamarekani, Lissu anafanya ukibaraka kwa mabeberu wakati huyo Suleimani alikuwa anawauwa hao mabeberu.
 
Back
Top Bottom