Maandamano dhidi ya Sofia Kawawa Zanzibar, 1988

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
20,921
30,264
Sofia Kawawa alisema Qur'an ibadilishwe kisa ni kuwa inaruhusu mwanamme wa Kiislam kuoa wake wanne na hili linadhalilisha wanawake.

Maneno haya Sofia Kawawa aliyazungumza Dodoma kwenye mkutano wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) yeye akiwa mwenyekiti wa jumuiya hiyo.

Hii Dodoma ina bahati mbaya sana na Wazanzibari.

In Shaa Allah tutaona huko mbele.

Kauli yake hii ilizua balaa kubwa.

Kwa juma zima Sheikh Nassor Bachu alitoa darsa akitahadharisha hatari ya kujaribu kuichezea Qur'an kadhalika Sheikh Aliani alifanya hivyo msikitini kwake.

Waislam wa Zanzibar wakaamua kwa umoja wao wafanye jambo kumuunga mkono Sheikh Bachu.

Kwa ufupi maneno ya Sophia Kawawa yaliwaudhi Waislam wote na ulikuwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

Tanzania Bara Warsha ya Waandishi wa Kiislam walitoa makala kali iliyogawiwa katika misikiti yoye nchini kwa siku moja baada ya sala ya Ijumaa.

Mhariri wa gazeti la Africa Events (London) Mohamed Mlamali Adam akaandika makala kali sana akiionya CCM kuwa hiyo njia waliyochukua ni hatari kwao kwa sababu sasa wanacheza na moto.

Na mtu akicheza na moto ataunguza vidole vyake.

Waislam wa Zanzibar wakaamua kuonyesha ghadhabu zao kwa kuandamana.

Kiongozi wa maandamano haya alikuwa kijana mdogo mwanafunzi wa Sheikh Nassor Bachu, Said Suleiman Masudi maarufu kwa jina la Said Gwiji.

Wazanzibari nchi ambayo "majority" ni Waislam walikuwa hawajapata kuingia barabarani kufanya maandamani kabla kwa ajili ya kuutetea Uislam.

Maandamano yalianza Msikiti wa Mchangani kwa Sheikh Aliani kuja Msikiti wa Ijumaa wa Forodhani kwa Sheikh Salum.

Baada ya sala na baada ya Said Gwiji kuzungumza na Waislam pale Msikiti wa Mchangani maandamano yalikuwa yamewasili Msikiti wa Forodhani.

Haya yalikuwa maandamano yao ya kwanza na kwa bahati mbaya sana yamesababishwa na kauli iliyotolewa Dodoma na mmoja wa viongozi wa jumuiya ya CCM.

Maandamani haya yalisababisha vifo, majeruhi na mali za serikali na Chama Cha Mapinduzi kuharibiwa pale waandamanaji walipopambana na askari.

Siku ile mji mzima ulizizima.

Waandamanaji walishambulia kwa mawe jengo la Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui na majengo mengine ya serikali.

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ilijikuta imekabiliwa na jambo ambalo hawakuwa wamelitegemea linaweza kutokea visiwani.

Taarifa ya habari TVZ ya usiku ule haikuweza kuonyesha maandamano yale yaliyoakisi chuki waliyoonyesha Waislam dhidi ya kauli ya Sofia Kawawa.

Labda kama serikali ingekuwa na busara ndogo tu ya kumwambia Sofia Kawawa awaombe radhi Waislam huenda balaa lile lililosababisha vifo, majeruhi na uharibifu wa mali lingeweza kuepukwa.

Hili halikufanyika.

Kesi ilikwenda mahakamani kwa kushtakiwa waandamanaji Said Gwiji akiwa mshtakiwa no. 1.

Jumla ya washtakiwa walikuwa 25.

Historia ya kesi hii na yale yaliyopitika mahakamani baina ya Said Gwiji na Mwendesha Mashtaka Lawrence Mtembei ilikuwa ni "court drama," ya aina yake haijapata kuonekana Zanzibar.

Historia hii inahitaji makala yake pekee.

Picha: Nikiwa na Sheikh Said Gwiji nyumbani kwake Mombasa, Zanzibar mwaka wa 2013 miaka 25 baada ya yeye kutoka jela kwa ajili ya maandamano.

Picha ya Sofia Kawawa na picha ya waandamanaji wakisindikizwa na polisi kifungoni baada ya hukumu yao kutolewa.
 
Angalia picha:

Screenshot_20201102-144915.jpg
 
Sophia Kawawa aliteleza ulimi. Just out of curiosity, where is Said Gwiji?
 
Mwanamke alitetea wanawake wenzake kwa kusema kitabu kinachowakandamiza kibadilishwe

Mwanaume huko zanzibar Ambaye kitabu kinampa pawa ya kukandamiza wanawake akaamua kuchochea maandamano .

Ni kweli hicho kitabu kinawakandamiza wanawake

Badala ya wanaume kujibu hoja wakaandamana ili waendelee kutetea kitabu kinachowapa pawa ya kuwakandamiza wanawake.

Swali kwa mtu mwerevu mwenye busara na aliye neutral(asiye na upande)
Nani alikuwa hero kwenye hii story?
 
naona hiyo kauli iliwaudhi sana wanaume kwa sababu picha inaonesha ndio waliandamana
Lucas,
Haikuwa suala la kuoa wake wengi suala na kule kuikosoa Qur'an.

Inawezekana kwa kuwa wewe si Muislam ukashindwa kuelewa uzito wa kauli ile.

Wanawake pia walishiriki katika maandamano yale.
 
Naskia Marehemu Nassoe Bachu alisema hatomsamehe Salmin Amour na hadi amefariki hakumsamehe... dhambi ya kumkosea binaadam mwenzako ni mbaya kweli maana mpaka akusamehe yeye venginevyo siku ya hesabu utakula hasara
 
Kuna dini imekwenda mbali zaid kuondoa huo 'mkandamizo' kwa kuruhusu mpigane Mjegeje wa wanaume kwa wanaume

Dini ya Kiislam unapaswa kuifuata kama ilivyo, usiporidhika nayo unatakiwa kutoka kwenda kuanzisha chako
Mwanamke alitetea wanawake wenzake kwa kusema kitabu kinachowakandamiza kibadilishwe

Mwanaume huko zanzibar Ambaye kitabu kinampa pawa ya kukandamiza wanawake akaamua kuchochea maandamano .

Ni kweli hicho kitabu kinawakandamiza wanawake

Badala ya wanaume kujibu hoja wakaandamana ili waendelee kutetea kitabu kinachowapa pawa ya kuwakandamiza wanawake.

Swali kwa mtu mwerevu mwenye busara na aliye neutral(asiye na upande)
Nani alikuwa hero kwenye hii story?
 
Sofia Kawawa alisema Qur'an ibadilishwe kisa ni kuwa inaruhusu mwanamme wa Kiislam kuoa wake wanne na hili linadhalilisha wanawake.

Maneno haya Sofia Kawawa aliyazungumza Dodoma kwenye mkutano wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) yeye akiwa mwenyekiti wa jumuiya hiyo.

Hii Dodoma ina bahati mbaya sana na Wazanzibari.

In Shaa Allah tutaona huko mbele.

Kauli yake hii ilizua balaa kubwa.

Kwa juma zima Sheikh Nassor Bachu alitoa darsa akitahadharisha hatari ya kujaribu kuichezea Qur'an kadhalika Sheikh Aliani alifanya hivyo msikitini kwake.

Waislam wa Zanzibar wakaamua kwa umoja wao wafanye jambo kumuunga mkono Sheikh Bachu.

Kwa ufupi maneno ya Sophia Kawawa yaliwaudhi Waislam wote na ulikuwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

Tanzania Bara Warsha ya Waandishi wa Kiislam walitoa makala kali iliyogawiwa katika misikiti yoye nchini kwa siku moja baada ya sala ya Ijumaa.

Mhariri wa gazeti la Africa Events (London) Mohamed Mlamali Adam akaandika makala kali sana akiionya CCM kuwa hiyo njia waliyochukua ni hatari kwao kwa sababu sasa wanacheza na moto.

Na mtu akicheza na moto ataunguza vidole vyake.

Waislam wa Zanzibar wakaamua kuonyesha ghadhabu zao kwa kuandamana.

Kiongozi wa maandamano haya alikuwa kijana mdogo mwanafunzi wa Sheikh Nassor Bachu, Said Suleiman Masudi maarufu kwa jina la Said Gwiji.

Wazanzibari nchi ambayo "majority" ni Waislam walikuwa hawajapata kuingia barabarani kufanya maandamani kabla kwa ajili ya kuutetea Uislam.

Maandamano yalianza Msikiti wa Mchangani kwa Sheikh Aliani kuja Msikiti wa Ijumaa wa Forodhani kwa Sheikh Salum.

Baada ya sala na baada ya Said Gwiji kuzungumza na Waislam pale Msikiti wa Mchangani maandamano yalikuwa yamewasili Msikiti wa Forodhani.

Haya yalikuwa maandamano yao ya kwanza na kwa bahati mbaya sana yamesababishwa na kauli iliyotolewa Dodoma na mmoja wa viongozi wa jumuiya ya CCM.

Maandamani haya yalisababisha vifo, majeruhi na mali za serikali na Chama Cha Mapinduzi kuharibiwa pale waandamanaji walipopambana na askari.

Siku ile mji mzima ulizizima.

Waandamanaji walishambulia kwa mawe jengo la Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui na majengo mengine ya serikali.

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ilijikuta imekabiliwa na jambo ambalo hawakuwa wamelitegemea linaweza kutokea visiwani.

Taarifa ya habari TVZ ya usiku ule haikuweza kuonyesha maandamano yale yaliyoakisi chuki waliyoonyesha Waislam dhidi ya kauli ya Sofia Kawawa.

Labda kama serikali ingekuwa na busara ndogo tu ya kumwambia Sofia Kawawa awaombe radhi Waislam huenda balaa lile lililosababisha vifo, majeruhi na uharibifu wa mali lingeweza kuepukwa.

Hili halikufanyika.

Kesi ilikwenda mahakamani kwa kushtakiwa waandamanaji Said Gwiji akiwa mshtakiwa no. 1.

Jumla ya washtakiwa walikuwa 25.

Historia ya kesi hii na yale yaliyopitika mahakamani baina ya Said Gwiji na Mwendesha Mashtaka Lawrence Mtembei ilikuwa ni "court drama," ya aina yake haijapata kuonekana Zanzibar.

Historia hii inahitaji makala yake pekee.

Picha: Nikiwa na Sheikh Said Gwiji nyumbani kwake Mombasa, Zanzibar mwaka wa 2013 miaka 25 baada ya yeye kutoka jela kwa ajili ya maandamano.

Picha ya Sofia Kawawa na picha ya waandamanaji wakisindikizwa na polisi kifungoni baada ya hukumu yao kutolewa.
Mkuu naona leo unazungumzia maandamo sana..umeyamisi sio..andamana tu boss..jiamini wewe kama wewe achana na kushawishi watu wa dini yako.
Waislam wa sasa sio wa zama zile , hawa wameelimika na wanaijua dini yao vizuri sana.
 
Nayakumbuka vizuri haya maandamano na hasira walizokuwa nazo watu mitaani.

Ilikuwa ni enzi ya Mzee Idris Abdulwakil.

Masikini mzee wa watu alipata shida sana kwani yeye mwenyewe alikuwa ni mtu wa dini asiyependa makuu.
 
Sofia Kawawa alisema Qur'an ibadilishwe kisa ni kuwa inaruhusu mwanamme wa Kiislam kuoa wake wanne na hili linadhalilisha wanawake.

Maneno haya Sofia Kawawa aliyazungumza Dodoma kwenye mkutano wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) yeye akiwa mwenyekiti wa jumuiya hiyo.

Hii Dodoma ina bahati mbaya sana na Wazanzibari.

In Shaa Allah tutaona huko mbele.

Kauli yake hii ilizua balaa kubwa.

Kwa juma zima Sheikh Nassor Bachu alitoa darsa akitahadharisha hatari ya kujaribu kuichezea Qur'an kadhalika Sheikh Aliani alifanya hivyo msikitini kwake.

Waislam wa Zanzibar wakaamua kwa umoja wao wafanye jambo kumuunga mkono Sheikh Bachu.

Kwa ufupi maneno ya Sophia Kawawa yaliwaudhi Waislam wote na ulikuwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

Tanzania Bara Warsha ya Waandishi wa Kiislam walitoa makala kali iliyogawiwa katika misikiti yoye nchini kwa siku moja baada ya sala ya Ijumaa.

Mhariri wa gazeti la Africa Events (London) Mohamed Mlamali Adam akaandika makala kali sana akiionya CCM kuwa hiyo njia waliyochukua ni hatari kwao kwa sababu sasa wanacheza na moto.

Na mtu akicheza na moto ataunguza vidole vyake.

Waislam wa Zanzibar wakaamua kuonyesha ghadhabu zao kwa kuandamana.

Kiongozi wa maandamano haya alikuwa kijana mdogo mwanafunzi wa Sheikh Nassor Bachu, Said Suleiman Masudi maarufu kwa jina la Said Gwiji.

Wazanzibari nchi ambayo "majority" ni Waislam walikuwa hawajapata kuingia barabarani kufanya maandamani kabla kwa ajili ya kuutetea Uislam.

Maandamano yalianza Msikiti wa Mchangani kwa Sheikh Aliani kuja Msikiti wa Ijumaa wa Forodhani kwa Sheikh Salum.

Baada ya sala na baada ya Said Gwiji kuzungumza na Waislam pale Msikiti wa Mchangani maandamano yalikuwa yamewasili Msikiti wa Forodhani.

Haya yalikuwa maandamano yao ya kwanza na kwa bahati mbaya sana yamesababishwa na kauli iliyotolewa Dodoma na mmoja wa viongozi wa jumuiya ya CCM.

Maandamani haya yalisababisha vifo, majeruhi na mali za serikali na Chama Cha Mapinduzi kuharibiwa pale waandamanaji walipopambana na askari.

Siku ile mji mzima ulizizima.

Waandamanaji walishambulia kwa mawe jengo la Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui na majengo mengine ya serikali.

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ilijikuta imekabiliwa na jambo ambalo hawakuwa wamelitegemea linaweza kutokea visiwani.

Taarifa ya habari TVZ ya usiku ule haikuweza kuonyesha maandamano yale yaliyoakisi chuki waliyoonyesha Waislam dhidi ya kauli ya Sofia Kawawa.

Labda kama serikali ingekuwa na busara ndogo tu ya kumwambia Sofia Kawawa awaombe radhi Waislam huenda balaa lile lililosababisha vifo, majeruhi na uharibifu wa mali lingeweza kuepukwa.

Hili halikufanyika.

Kesi ilikwenda mahakamani kwa kushtakiwa waandamanaji Said Gwiji akiwa mshtakiwa no. 1.

Jumla ya washtakiwa walikuwa 25.

Historia ya kesi hii na yale yaliyopitika mahakamani baina ya Said Gwiji na Mwendesha Mashtaka Lawrence Mtembei ilikuwa ni "court drama," ya aina yake haijapata kuonekana Zanzibar.

Historia hii inahitaji makala yake pekee.

Picha: Nikiwa na Sheikh Said Gwiji nyumbani kwake Mombasa, Zanzibar mwaka wa 2013 miaka 25 baada ya yeye kutoka jela kwa ajili ya maandamano.

Picha ya Sofia Kawawa na picha ya waandamanaji wakisindikizwa na polisi kifungoni baada ya hukumu yao kutolewa.
Maandamano hayo hayakuwa na msingi wowote bali yalikuwa ni chanzo tu cha kuchochea hasira za kisiasa kupitia dini kwani ilitakiwa ijulikane wazi kwa waislamu wote kuwa maoni ya Sofia kwenye UWT hawawezi kubadilisha msaafu unaotumiwa duniani pote. Yalichangia kuonyesha sense of insecurity kwa wafuasi wa dini hiyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom