Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,384
- 2,081
Wakuu kuelekea D9 kuna angalizo muhimu hapa. Mafanikio yamejengwa kwenye msingi wa uendelevu na kushikilia bomba. Wanajeshi wala polisi hawatawazuia waandamanaji kwenda Ikulu. Wanajeshi wamejiapiza kuzuia vurugu tuu hivyo endapo waandamaji hawatosababisha vurugu basi mwendo wa Ikulu utakuwa dhahiri.
Na hata kwenye vurugu wao watatuliza bila matumizi ya nguvu kuputa maelezo bali kwa kiasi ili ratiba za maandamano zoendelee.
Suala ni ikiwa waandamanaji wakafika Ikulu na jumbe zao, wataweza kuwa pale kwa muda gani?
Watakula nini na kunywa nini kwa muda gani? Kutakuwa na shifti au nani atawaletea chakula?
Endapo waandamanaji watakaa pale Ikulu kwa siku hadi tano basi uwezekano wa bibi kizimu atimue vumbi atoke nduki.
Resiliency guys. Resiliency guys