Maandamano CHADEMA yasogezwa mbele

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,697
12,431
Mhe. Benson Kigaila akizungumza na Waandishi wa habari leo hii amesema,

"Maandamano ya amani Jijini Mwanza yatafanyika tarehe 15 Februari 2024 badala ya tarehe 13 Februari 2024"

Your browser is not able to display this video.

CHADEMA imesema mabadiliko hayo yamekuja baada ya Halmashauri ya Wilaya ya Ilemela kuwaeleza kuwa Uwanja wa Furahisha utakuwa na matumizi mengine Februari 13.

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1 ✍️
 
Pamoja Daima

Pamoja na kutaka kuyahujumu watu wa Lamadi tumejiaandaa kushiriki Kikamilifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…