Kidabwenge
Member
- Oct 20, 2019
- 24
- 60
Material things hata zikipotea zinatafutwa tena, vipi kuhusu waliotekwa wakapotea jumla na waliouawa? Hakuna mali inayoweza kulinganishwa na thamani ya binadamu, utu above everything.Tuzungumze ukweli kuhusu kilichotokea ni maandamano au vurugu?
Walipovunja maduka yetu na kutupora hela ilikuwa ni sehemu ya maandamano au vurugu?
Kilichotokea nani alikuwa akiratibu na yeye alikuwa nasi road au?
Tupeane pole ila majeraha yake yatadumu kwa muda mrefu
Kama umebandika mapicha ya samuya njee ya duka lako ulitakaje wakuache hujui hayo mapicha yanatia hasira.
Material things hata zikipotea zinatafutwa tena, vipi kuhusu waliotekwa wakapotea jumla na waliouawa? Hakuna mali inayoweza kulinganishwa na thamani ya binadamu, utu above everything.
Hasira za vijana ni matokeo tu ya yale yaliyonachemka ndani ya mioyo yao, raia wameteswa na kuogopeshwa kwa muda mrefu so the repercussions were inevitable.
Tuzungumze ukweli kuhusu kilichotokea ni maandamano au vurugu?
Walipovunja maduka yetu na kutupora hela ilikuwa ni sehemu ya maandamano au vurugu?
Kilichotokea nani alikuwa akiratibu na yeye alikuwa nasi road au?
Tupeane pole ila majeraha yake yatadumu kwa muda mrefu
Tofautisha kuiba na kuuwa ndugu, usiwe mzembe wa kufikiri.Kwahiyo na vikosi vya CCM nawao wakisema na wao walipata hasira baada ya kuwaona vijana wa chadema barabarani na wao wapo sahihi?
Tofautisha kuiba na kuuwa ndugu, usiwe mzembe wa kufikiri.
Gen Z wakiona utopolo huu watakupiga mande bila mateTuzungumze ukweli kuhusu kilichotokea ni maandamano au vurugu?
Walipovunja maduka yetu na kutupora hela ilikuwa ni sehemu ya maandamano au vurugu?
Kilichotokea nani alikuwa akiratibu na yeye alikuwa nasi road au?
Tupeane pole ila majeraha yake yatadumu kwa muda mrefu
Kijana ujue fika watu tumefiwa na ndugu zetu halafu wewe unadiriki kusema ni uhuni, huenda huijui sheria ni kosa kwa mtu wa aina yoyote ile polisi au raia wa kawaida kuuwa mtu mwingine bila hukumu ya mahakama vinginevyo muuaji anakuwa ametenda kosa, kumuua mtu eti kisa ameiba hiyo siyo haki ndio maana hata mharifu akikimbia huwa anapigwa risas mguuni na si kichwani, na endapo utasikia mharifu ameuwa na polisi basi ujue ilikuwa ni katika makabiriano ya risas kwa risas na si risas kwa mikono au lungu, sasa je ndugu zetu pamoja na kuiba je walikuwa na siraha za moto, na vipi kuhusu watu waliouawa wakiwa majumbani mwao achilia mbali watoto wadogo wasio na hatia yoyote ile!kwanini munapenda kujitetea kwa uhuni muliofanya?
hahahahaha kwa hyo wataka kusema hasira za vijana zimewafanya wavunje maduka na kubeba had nguo na viatuMaterial things hata zikipotea zinatafutwa tena, vipi kuhusu waliotekwa wakapotea jumla na waliouawa? Hakuna mali inayoweza kulinganishwa na thamani ya binadamu, utu above everything.
Hasira za vijana ni matokeo tu ya yale yaliyonachemka ndani ya mioyo yao, raia wameteswa na kuogopeshwa kwa muda mrefu so the repercussions were inevitable.
ila hamnaga dhambi kubwa wala ndogo.Tofautisha kuiba na kuuwa ndugu, usiwe mzembe wa kufikiri.
Kijana ujue fika watu tumefiwa na ndugu zetu halafu wewe unadiriki kusema ni uhuni, huenda huijui sheria ni kosa kwa mtu wa aina yoyote ile polisi au raia wa kawaida kuuwa mtu mwingine bila hukumu ya mahakama vinginevyo muuaji anakuwa ametenda kosa, kumuua mtu eti kisa ameiba hiyo siyo haki ndio maana hata mharifu akikimbia huwa anapigwa risas mguuni na si kichwani, na endapo utasikia mharifu ameuwa na polisi basi ujue ilikuwa ni katika makabiriano ya risas kwa risas na si risas kwa mikono au lungu, sasa je ndugu zetu pamoja na kuiba je walikuwa na siraha za moto, na vipi kuhusu watu waliouawa wakiwa majumbani mwao achilia mbali watoto wadogo wasio na hatia yoyote ile!
wamepata walichostahili, sasa hivi wanalialia na kutafuta hurumaHawa binadamu wanafiki sana.
Wamechoma maduka hadi ya kina shilole,choma sheli,iba mitungi ya gesi vituo vya mwendokasi. Choma
Wanarudiwa wanalialia tena.
Sijui ni binadamu gani hawa.
Hapana kuuwa ni dhambi kubwa zaidi.ila hamnaga dhambi kubwa wala ndogo.
Hebu peleka huko mbali nami akiri yako mgando hiyo.waliopiga risasi ni polisi, mapamabani yenu na polisi ni yenu nyinyi. mkiua polisi au kuchoma moto vituo vyao yote tutaelewa kuwa mupo kwa mapambano nao.
Kwanini munaharibu mali za watu wa kawaida? kwanini hilo swali hamulitaki ? munataka ku justify uhuni wenu ?
Inasikitisha sana, mafisadi, wala rushwa na wezi wa uchaguzi huwa wanapewa heshima na hadhi ya juu katika jamii wakati ni chanzo cha matatizo makubwa.Asili yetu watanzania ni unafki
Mwizi na kibaka wakiiba mtaani wanawauwa kikatiri sana ila kwenye wizi na uporaji wa tarehe 29 wanaona sawa kilichotendeka.
Ibaki kuwa pol walikosea pia raia walikosea
Kilichobaki kama wa tz kusameheana na kusonga mbele Mungu ndo mtoa hukumu kwenye hili nimemaliza babaenu kida .