Credible Viewer
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 444
- 118
Bati Sh13,000 na Cement Sh12,000 kwa Dar es Salaam kwa hapa Mlali-Kongwa Cement Sh16,500 halikadhalika Bati Sh16,500! CCM WANAHILA SANA! Mwaka 2010 Dr. Slaa alituambia kuwa tukimchagua atashusha bei ya Cement kutoka Sh16,500 ya wakati huo hadi Sh5000 kwa mfuko mmoja wa Kg50!
CCM walibisha, wakatuambia kuwa ni vigumu kushusha bei ya Saruji(Cement) kwa sababu malighafi upatikanaji wake ni ghali! Ili Kukoleza hoja yao wakadiriki kumpandisha jukwaani Meneja wa Kiwanda cha WAZO HILL cha TWIGA CEMENT awasaidie katika propaganda zao!
Naomba kuwauliza CCM mje hapa na majibu ya kina; Je Hizo malighafi zimeanza kupatikana kwa wingi wapi na lini hadi kuwezesha bei ya Cement kushuka!?
Je, Mtamleta tena yule Meneja wa kiwanda cha Wazo Hill aje atufafanulie kwanini bei haikushuka wakati wote huo, nini kilisababisha!? Mungu Ibariki Tanzania