Maandalizi ya samani zitakazotumika siku kuapishwa rais wa awamu ya tano zaakamilika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandalizi ya samani zitakazotumika siku kuapishwa rais wa awamu ya tano zaakamilika

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Lu-ma-ga, Oct 13, 2010.

 1. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,849
  Likes Received: 473
  Trophy Points: 180
  Kuna taarifa kuwa samani zitakazotumika siku ya kuapishwa rais wa awamu ya tano zimekamilika na zimetengenezwa na jeshi la Magereza.SAmani hizi ni viti watakavyokalia HIGH TABLE ambavyo vimetengenezwa kwa mandhari ya kitanzania kwa kutumia mali ghafi ya miti aina ya mipingo kwa hakika vinavutia sana.Hii ni mara ya kwanza kutumia mali ghafi za nchini kutengeza samani za ikulu kwani tumezoea kuona vya kutoka ughaibuni vinavyonunuliwa kwa fedha nyingi.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kutoka wapi?
   
Loading...