suregirl
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 6,056
- 198
Jaman..... yaaan mi ndo usiseme, sijui umepotelea wap mtoto weee
Me nipo mbona ww huonekani
Jaman..... yaaan mi ndo usiseme, sijui umepotelea wap mtoto weee
mchanganyiko wa vilevi vyote hivyo usipojikunyea wewe mgonjwa. Wakati unasukuma goli unashtuka umesukuma na choo, chezea mchanganyiko wa mrungi konyagi na bia, alafu unasukutua na bangi kidogo, kama ni usiku utaona nyota zote ziko karibu na kichwa chako, unatembea umeinama ili usizigonge
Na huyo unaoenda kumfunga kazi anayo yani harufu ya mipombe bado sigara na mdomo mirungi?Uwiii kuna watu wana kazi
hapo lazima kabebi katokeee lol
ndo ina maana gani hiyo