miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,110
miss neddy sogea hapa kidogo usikae mbali
Baba nipe hela nikwambie kingine
Last edited by a moderator:
miss neddy sogea hapa kidogo usikae mbali
Baba nipe hela nikwambie kingine
Na mshana jr na marafiki zake nawaona sana
Hapana Kiongozi usinigombanishe na miss neddy, mimi na wewe Kiongozi mshana jr hatuwezi gombana na nina uhakika hata watu wakisusa kunizika au ukute nimetupwa najua utanizika tu.Ukimaanisha miss neddy HARUFU?
Baba miss neddy alimwingiza ndani mjomba mshana jr akaniambia nisiseme alafu kanipa elfu kumi
Angalia mpesa yako mwanangu nishatuma...niambie kingine
mshana jr anamshikaga mama mdogo miss neddy sehemu zile ulinikatazaga nisiguswe na wanaume ... alafu wanagusishana midomoAngalia mpesa yako mwanangu nishatuma...niambie kingine
Usiamini chochote atakachokuambia miss chagga, hanitakii mema kabisa hajui kuwa hatukukutana barabarani kama boys II men
Halafu wewe sijui ukoje uko. Unataka utafiti anieleweje sasa
miss neddy sogea hapa kidogo usikae mbali
mshana jr anamshikaga mama mdogo miss neddy sehemu zile ulinikatazaga nisiguswe na wanaume ... alafu wanagusishana midomo
Nipe hela nisiseme
Nisiseme ukwel unachofanyaga akiwa hayupo
Mama mdogo miss neddy utaenda.weee
darling mwanao anipendi looh
mshana jr anamshikaga mama mdogo miss neddy sehemu zile ulinikatazaga nisiguswe na wanaume ... alafu wanagusishana midomo
View attachment 194515 utanifilisi wewe,
Mwanangu nani anataka kukupiga? Nilienda hapo mtaa wapili tu kuchkua vocha