Maana yake nini

the kapex

Member
Feb 4, 2011
35
2
Jamani wanasema kuuliza si ujinga neno PM huwa naliona lakini nimeshindwa kujua maana yake ninini wengine wanasema hebu ni PM kwa nia ya kutumiwa kitu fulani mie nimeshindwa kwa vile sijui maana yake na inatumikaje
 
Private Message..ni feature ya kuwasiliana kwa internal email na member mwingine wa forum privately bila kuonekana na wanaforum wengine
 
PM= Private Massage
Private Message
Prime Minister
Project Manager
 
PM = Private message
LOL = Laugh Out Loud
LMAO = Laough My Ass Out
LMFAO= Laugh My ****ing Ass Out
FWB = Friends With Benefit
DWM = Dating without Money
BFF = Be Friends Forever

Nimekuongezea na hizo nyingine zitakusaidia sana kwenye hizi social networks. Good luck
 
Back
Top Bottom