Kwa mujibu wa matokeo ya Nape Nnauye CCM imepata kura 26266 na CDM kura 22443, hii ikiwa ni tofauti ya kura 3823. Kwa wachambuzi makini wa siasa(wasio na ushabiki), ushindi huu si dalili njema kwa CCM, kwa sababu zifuatazo:
1. CCM imeporomoka kutoka kura 35674 hadi kura 26266 ikiwa na maana zaidi ya wapiga kura 9408 wameikataa CCM ndani ya miezi 11
(okt 2010-sept 2011)
2.Upinzani umepanda kutoka kura 11321 hadi zaidi ya kura 22443, ikiwa na maana kuwa imani kwa upinzani imeongezeka
3. CCM imeshindwa kuvunja rekodi yake yenyewe, kwa hiyo anayetakiwa kutembea kifua mbele si CCM bali CDM
Nasema hii ni dalili mbaya kwa CCM kwa kuchukulia mfano thabiti wa Uchaguzi mdogo wa jimbo la Biharamulo julai 2009. CCM walishinda kwa kura 17561 dhidi ya upinzani uliopata kura 16898(CDM 16700 na TLP 198), lakini ulipofanyika uchaguzi mkuu 2010, CDM waliibuka kidedea baada ya kulitwaa jimbo hilo.
Kama taarifa ya Nape ni sahihi, CCM wanaweza kufurahia kwa kuwa wameudhibiti ubunge wa Igunga, lakini wasifurahie kuwa wameshinda. Ni ishara nzuri sana kwa CDM na wapenda mageuzi kwa ujumla, hata Nape na makada wengine wa CCM wanajua hili.
CCM, TAA NYEKUNDU IMEWAWAKIA. FURAHINI KWA TAHADHARI
I STAND TO BE CORRECTED
Faizafoxy,Umeongea vizuri lakini mshindi ni mshindi hata kwa kura moja tu still ameshinda, jaribuni tena baadae. Katika analysis zako ulisahau kuwa magwanda walikuwa hawakuweka mgombea kabla ya miezi 11.
Nawapa pongezi sana magwanda kwa kujitahidi, Na nawapa pongezi sana CCM kwa ushindi. Wote watazame matokeo na wajifunze kwa hayo matokeo ili Chuaguzi zingine ziwe na changamoto zaidi.
Naamin i kuwa Serikali yoyote hufanya vyema zaidi pale kwenye upinzani mzuri zaidi, kwani wakiteleza tu, upinzani unachukuwa madaraka.
Hongera wana Igunga wote bila kujali itikadi yao kichama. Mbunge aliyechaguliwa aanze kazi ya kuwatumikia wananchi na isiwe kama wabunge wengine ambao hugombea kwa sababu zao binafsi.
Mapambano bado yanaendelea yaani ndio kumekucha sasa,CDM lazima tuchukue nchi ILA NAWALAANI SANA BAADHI YA WANAIGUNGA KWA KUIPA UNAFUU CCM,sukari na mahindi mlivyohongwa mwisho ni jana jiandaeni kusurubika mpaka 2015,mnadanganyika kwa vijizawadi?Na NYIE CUF TUNAWAOMBA MUACHANE NA SIASA AU JIUNGENI MOJA KWA MOJA CCM,hakuna mlichofanya zaidi ya kuweka kauzibe hamna tofauti na chama cha Dovutwa,huku bara hamtakiwi fanyeni maamuzi magumu.
Mtapoteza at least two seats in Arusha LGAs by-elections. That is going to be a refferrendum to CDM, Igunga was a refferrendum to CCM.Mapambano bado yanaendelea yaani ndio kumekucha sasa,CDM lazima tuchukue nchi ILA NAWALAANI SANA BAADHI YA WANAIGUNGA KWA KUIPA UNAFUU CCM,sukari na mahindi mlivyohongwa mwisho ni jana jiandaeni kusurubika mpaka 2015,mnadanganyika kwa vijizawadi?Na NYIE CUF TUNAWAOMBA MUACHANE NA SIASA AU JIUNGENI MOJA KWA MOJA CCM,hakuna mlichofanya zaidi ya kuweka kauzibe hamna tofauti na chama cha Dovutwa,huku bara hamtakiwi fanyeni maamuzi magumu.
Umeongea vizuri lakini mshindi ni mshindi hata kwa kura moja tu still ameshinda, jaribuni tena baadae. Katika analysis zako ulisahau kuwa magwanda walikuwa hawakuweka mgombea kabla ya miezi 11.
Nnawapa pongezi sana magwanda kwa kujitahidi, na nnawapa pongezi sana CCM kwa ushindi. Wote watazame matokeo na wajifunze kwa hayo matokeo ili chaguzi zingine ziwe na changamoto zaidi.
Naamini kuwa Serikali yoyote hufanya vyema zaidi pale kwenye upinzani mzuri zaidi, kwani wakiteleza tu, upinzani unachukuwa madaraka.
Hongera wana Igunga wote bila kujali itikadi yao kichama. Mbunge aliyechaguliwa aanze kazi ya kuwatumikia wananchi na isiwe kama wabunge wengine ambao hugombea kwa sababu zao binafsi.
Mshindi si mshindi kama amechakachua uchaguzi ambao haukuwa huru na wa haki. Kama kungekuwa na tume huru ya uchaguzi basi magamba wasingeweza kabisa kuchakachua kura na hivyo kuibuka na ushindi. Kama kweli kutakuwa na katiba mpya 2014 na tume huru ya uchaguzi na siyo hii iliyopo sasa (tume ya uchaguzi ya CCM) basi 2015 ndio utakuwa mwisho wa CCM katika anga za siasa Tanzania.
Hizo sababu ni za kitoto. Kama unayajuwa yote hayo kabla ya uchaguzi uliingia kwenye kinyang'anyiro kwanini, si ungesusa kama kawaida yako?
Na hao kina Mbowe na Zitto na Mdee na wengine wengi tu waliopo bungeni walichaguliwa kukiwa na tume ipi? Wacha.
Tume hiyohiyo uchwara kumbuka kuwa kuna majimbo hayaibiki hata kwa mtutuHizo sababu ni za kitoto. Kama unayajuwa yote hayo kabla ya uchaguzi uliingia kwenye kinyang'anyiro kwanini, si ungesusa kama kawaida yako?
Na hao kina Mbowe na Zitto na Mdee na wengine wengi tu waliopo bungeni walichaguliwa kukiwa na tume ipi? Wacha.
Umeongea vizuri lakini mshindi ni mshindi hata kwa kura moja tu still ameshinda, jaribuni tena baadae. Katika analysis zako ulisahau kuwa magwanda walikuwa hawakuweka mgombea kabla ya miezi 11.
Nnawapa pongezi sana magwanda kwa kujitahidi, na nnawapa pongezi sana CCM kwa ushindi. Wote watazame matokeo na wajifunze kwa hayo matokeo ili chaguzi zingine ziwe na changamoto zaidi.
Naamini kuwa Serikali yoyote hufanya vyema zaidi pale kwenye upinzani mzuri zaidi, kwani wakiteleza tu, upinzani unachukuwa madaraka.
Hongera wana Igunga wote bila kujali itikadi yao kichama. Mbunge aliyechaguliwa aanze kazi ya kuwatumikia wananchi na isiwe kama wabunge wengine ambao hugombea kwa sababu zao binafsi.
Mshindi si mshindi kama amechakachua uchaguzi ambao haukuwa huru na wa haki. Kama kungekuwa na tume huru ya uchaguzi basi magamba wasingeweza kabisa kuchakachua kura na hivyo kuibuka na ushindi. Kama kweli kutakuwa na katiba mpya 2014 na tume huru ya uchaguzi na siyo hii iliyopo sasa (tume ya uchaguzi ya CCM) basi 2015 ndio utakuwa mwisho wa CCM katika anga za siasa Tanzania.
Kwa mujibu wa matokeo ya Nape Nnauye CCM imepata kura 26266 na CDM kura 22443, hii ikiwa ni tofauti ya kura 3823. Kwa wachambuzi makini wa siasa(wasio na ushabiki), ushindi huu si dalili njema kwa CCM, kwa sababu zifuatazo:
1. CCM imeporomoka kutoka kura 35674 hadi kura 26266 ikiwa na maana zaidi ya wapiga kura 9408 wameikataa CCM ndani ya miezi 11
(okt 2010-sept 2011)
2.Upinzani umepanda kutoka kura 11321 hadi zaidi ya kura 22443, ikiwa na maana kuwa imani kwa upinzani imeongezeka
3. CCM imeshindwa kuvunja rekodi yake yenyewe, kwa hiyo anayetakiwa kutembea kifua mbele si CCM bali CDM
Nasema hii ni dalili mbaya kwa CCM kwa kuchukulia mfano thabiti wa Uchaguzi mdogo wa jimbo la Biharamulo julai 2009. CCM walishinda kwa kura 17561 dhidi ya upinzani uliopata kura 16898(CDM 16700 na TLP 198), lakini ulipofanyika uchaguzi mkuu 2010, CDM waliibuka kidedea baada ya kulitwaa jimbo hilo.
Kama taarifa ya Nape ni sahihi, CCM wanaweza kufurahia kwa kuwa wameudhibiti ubunge wa Igunga, lakini wasifurahie kuwa wameshinda. Ni ishara nzuri sana kwa CDM na wapenda mageuzi kwa ujumla, hata Nape na makada wengine wa CCM wanajua hili.
CCM, TAA NYEKUNDU IMEWAWAKIA. FURAHINI KWA TAHADHARI
I STAND TO BE CORRECTED
Mwisho wa magamba unakaribia, hamna jipya zaidi ya wizi wa kura na kuifilisi nchi.
Mimi nawashangaa watu hapa wanajadili as if CCM imeshinda na imeshinda kwa uhalali! Huwezi kujua imeshindaje na CDM imeshindwaje kwenye mfumo ambao daftari la wapiga kura ni mali ya serikali na haliwezi kuwa audited na indipendent institution! Na mimi kinachonishangaza na kunipa wasiwasi na daftari la wapigakura ni idadi kubwa ya watu wanaodaiwa wamejiandikisha kama igunga 171,000 lakini waliopiga kura ni takribani elf 50, hivi kweli hao watu 171,000 wapo kweli au ni usanii a ccm kwamba ilisajili watu in advance na kwahiyo ina kura za ziada!