Maana ya neno "Snitch"

UNAJITAHIDI KUANDIKA ILI UONEKANE UMESOMA.MBONA UNATOKA NJE YA MADA.NIMESOMA MAELEZO YAKO NASHUKURU UMENIELEWA VIZURI.
 
alafu mwisho wa kipindi akamkaangia mtangazaji mayai ya KISASA (tena amejaza matrei ya kutosha tu) kwenye jiko la gesi

huyu jamaa anatumia fursa tu lakini hamna cha utamaduni wala nini
Ha ha ha. Hapo pa kujaza matrei ya kutosha naomba nisipaongelee; Ila mkuu tuwe wakweli, Sanaa itabaki kuwa SANAA. Ndio maaana kuna watu kama "MR BEAN", the dude ukimuona kwenye uhalisia wake ni tofauti na vile anavyoigiza. Kuna picha yake moja kapigwa utafikiri James Bond. Kula yao inapatikana kwenye huo "usanii" wao
 
UNAJITAHIDI KUANDIKA ILI UONEKANE UMESOMA.MBONA UNATOKA NJE YA MADA.NIMESOMA MAELEZO YAKO NASHUKURU UMENIELEWA VIZURI.
Mkuu mi hata sjasoma wala sina ufahamu isipokuwa kidogo tu.Nilichonacho ambacho ninawasiwasi wewe huna ni critical thinking.maana watu dizaini yako mnahisi elimu ni ile tu inayotolewa kitaasisi na kutunikiwa vyeti.kinachonishangaza zaidi ni wewe hukanushi hoja yangu hata moja zaidi ya kurukaruka tu.kinachokusumbua watu wa sampuli yako wanasaikologia wanaita Cognitive dissonance,yaani akili inakuwa haiko tayari kukubali hoja ambazo zinakinzana na zile ambazo umeaminishwa na kukubali kujiaminisha kwa muda mrefu.Sio kila unachokiamini ni sahihi,jijengeee tabia ya kuchallenge Fikra zako.

P.S
Turn the damn caps lock of,that shit looks retarded AF
 
PIA ANGALIA USIMUHUKUMU MTU KWA KUMCHUKIA NA KUJIFANYA KUTAFUTA VISABABU VISIVYO NA MSINGI.ELEZEA UNAFIKI ALIOUFANYA MPOTO NA SIO UNAENDEKEZA CHUKI.MTU YEYOTE ALIYEELIMIKA UWA ANAKOPI MAMBO MUHIMU KWA WENGINE NA KUYAACHA MENGINE YASIYOFAA.KILICHOWACHUKIZA KWA MPOTO NI NINI,ACHENI CHUKI ZISIZO NA MSINGI.
 
Hakuna sehemu hata moja nimemzungumzia mpoto au kumkosoa,maisha yake binafsi mimi hayanihusu,mimi ni mpenzi wa kazi za sanaa kama wengine,ningeweza kujadili kama uzi ungekuwa unazungumzia kazi yake ya sanaa.
Mimi nilikanusha kauli yako ya kwamba waafrika kiasili tulikuwa hatuvai nguo na wazungu ndio wamezileta kwetu,kitu ambacho si sahihi,kwasababu wazungu wamekuja wamekuta tumestaarabika kuliko wao.
 
UMESHINDA.
 
Woooote mliochangia ndio ma snitches, how come mnajadili umbea, humu ni great thinkers WANATAKIWA bwana, VIGEZO na masharti yazingatiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…