Teh teh..Nasikia kwenye harusi yake alitumia Boga kama kekipia viatu anaviacha ndani ya gari, akiona watu wengi anatoka pekupeku.
Ukitaka kujua maana ya snitch...na mfano wake ni Mrisho Mpoto.
Msanii aliyejifanya kuikosoa serikali kwa kupitia sanaa kumbe ni mnafiki mkubwa mbele ya jamii hii na ni fisadi mkubwa anaye kula na mafisadi nadhani hii ninjaaa na kufanya sanaa ya unafki "usnitch".
Mziki wakweli ni ule unao fanya kutoka Moyoni.
Nilishtuka toka siku nyingi tuu thats why nilikataa nyimbo zake hazifanywi kutoka moyoni ni unafki na snitch.
Halafu akaenda honey moon hoteli ya nyota nane nje ya nchi kula bata mwezi mzima[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Teh teh..Nasikia kwenye harusi yake alitumia Boga kama keki
Siku nilipomgindua huyu jamaa kuwa hayuko kama anavyotaka tuamini ni siku alikua anahojiwa star tv.. walimtembelea nyumbani kwake.
jamaa nyumbani kwake sijaona anaaply huo utamaduni wa kiafrica wala nini, nyumba ina tiles, masofa ya maana.. nk
alafu mwisho wa kipindi akamkaangia mtangazaji mayai ya KISASA (tena amejaza matrei ya kutosha tu) kwenye jiko la gesi
huyu jamaa anatumia fursa tu lakini hamna cha utamaduni wala nini
Labda kabila lenu ndo mlikuwa hamvai nguo,sie kabila letu tunanyuka pamba for generationsMWACHENI ATENGENEZE PESA.KUFUATA UTAMADUNI HAIMAANISHI HATA VITU VIZURI VYA KISASA AMBAVYO HAVIATHIRI UTAMADUNI WAKE ASIUFUATE.TULIKUWA HATUVAI NGUO HAPO ZAMANI KWA MAANA HIYO UNATAKA ATEMBEE UCHI.ACHENI ROHO MBAYA KAMA WE SENATOR JR UMESHINDWA KUTAFUTA PESA MWACHE MZEE WA SIZONJE APIGE PESA.ACHENI ROHO ZA KISOKOROKWINYO.
UNAONEKANA HATA SHULE YAKO INA MUSHKERI HATA HISTORIA YAKO HUIJUI AU UMEKUNYWA DENGERUA.Labda kabila lenu ndo mlikuwa hamvai nguo,sie kabila letu tunanyuka pamba for generations
Historia ipi mzee,ile mnayokaririshwa huko shuleni kuwa binaadamu alikuwa nyani,kuwa waafrika kabla ya ukoloni walikuwa majuha savages wasiostaarabika,au ile inayosema kuwa waaafrika walikuwa wanavaa nyasi na kuchezea mdako almasi?.hustoria mloandikiwa na watawala wakizungu?.ukasoma ukapata na shehena ya vyeti ukajiona wewe ndo umeelimika.UNAONEKANA HATA SHULE YAKO INA MUSHKERI HATA HISTORIA YAKO HUIJUI AU UMEKUNYWA DENGERUA.
Sasa ilituondoe ubishi usiokuwa na tija hebu tuwekee ushahidi kuwa waafrika in general tulikuwa hatuvai nguo enzi hizoUNAONEKANA HATA SHULE YAKO INA MUSHKERI HATA HISTORIA YAKO HUIJUI AU UMEKUNYWA DENGERUA.
UWA SIBISHANI NA VICHWA VYA WENDAWAZIMU.Sasa ilituondoe ubishi usiokuwa na tija hebu tuwekee ushahidi kuwa waafrika in general tulikuwa hatuvai nguo enzi hizo
kumbe mtu akiwa na mawazo tafauti na wewe anakuwa mwendawazimu eeh?.angalau ungepangua hoja zangu kuonyesha kuwa siko sahihi.lakini siku zote wasiostaarabika hutumia matusi na kejeli wanapishindwa na hoka. sawa basi mkuu mimi na wendawazimu wenzangu tunakutakia siku njema.UWA SIBISHANI NA VICHWA VYA WENDAWAZIMU.
MIE SIONI MANTIKI YA KUBISHANA KAMA UNAVYODAI WEWE.SIE WAAFRIKA NGUO TUMELETEWA NA WATU WEUPE LIKO WAZI KWA WATU WENGI SASA UNATAKA KUBISHANA KWA LIPI.NAJUA UNAJUA ILA UNAPENDA MABISHANO.kumbe mtu akiwa na mawazo tafauti na wewe anakuwa mwendawazimu eeh?.angalau ungepangua hoja zangu kuonyesha kuwa siko sahihi.lakini siku zote wasiostaarabika hutumia matusi na kejeli wanapishindwa na hoka. sawa basi mkuu mimi na wendawazimu wenzangu tunakutakia siku njema.
Hahah daah yaani hii komenti yako imenichekesha na kuniskitisha kwa wakati mmoja.ngoja waje wengine watusaidie kukuelezea.Alafu mbona unajichanganya tena,mwanzo ilikuwa "wazungu" sasaiv unasema watu weupe".hyo terminology ya watu weupe haifai kuitumia kwenye mjadala wa historia,maana hapo utakuwa unazungumzia skin color badala ya ethnicity.MIE SIONI MANTIKI YA KUBISHANA KAMA UNAVYODAI WEWE.SIE WAAFRIKA NGUO TUMELETEWA NA WATU WEUPE LIKO WAZI KWA WATU WENGI SASA UNATAKA KUBISHANA KWA LIPI.NAJUA UNAJUA ILA UNAPENDA MABISHANO.
NAONA AMEKUTUMA UMSAFISHEUNAONEKANA HATA SHULE YAKO INA MUSHKERI HATA HISTORIA YAKO HUIJUI AU UMEKUNYWA DENGERUA.
ACHA ROHO MBAYA NAWE TAFUTA PESA ZAKO.WATANZANIA MMEZOEA UKIMUONA MTU ANAFANIKIWA KILA KITU MTAMZUSHIA.NAONA AMEKUTUMA UMSAFISHE