Maana Ya Neno "NEGRO"

Maana Ya Neno "NEGRO"

Rawasen

Senior Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
181
Reaction score
73
Habari Za Mchana Wana Jf Naombeni Msaada Nataka Kujua Maana Ya Negro Nakumbuka Nilivokua Mdogo Baba Angu Aliniambia Negro Ni Wamarekani Weusi,nikanote Ivo Mpaka Leo Lakin Juzi Nimelizungumza Hilo Neno Mahali Nikapewa Onyo Kuwa Nisilizungumze Tena Je Neno Hili La Racism Au Lah??
 
NEGRO(masculine),NEGRA(feminine) ni neno lenye asili ya kireno lenye maana ya kitu cheusi tiii.kwa marekani wazungu walitumia kuwaita watu weusi wakimaanisha kinyesi cheusi!ndo maana limekuwa na tafsiri ya kibaguzi.
 
Habari Za Mchana Wana Jf Naombeni Msaada Nataka Kujua Maana Ya Negro Nakumbuka Nilivokua Mdogo Baba Angu Aliniambia Negro Ni Wamarekani Weusi,nikanote Ivo Mpaka Leo Lakin Juzi Nimelizungumza Hilo Neno Mahali Nikapewa Onyo Kuwa Nisilizungumze Tena Je Neno Hili La Racism Au Lah??

NeGrOoo ni ChElseAaa anChUkuA kombErr mUd-Aaa huu.
 
Back
Top Bottom