Maana ya msemo 'The guilty are afraid' nini hasa?

vuga

Member
Jan 3, 2011
57
20
Nimewahi kusikia msemo "the guilty are afraid". Naomba yeyote awezaye anipe tafsiri ya huo usemi. Na ikiwezekana, anifafanulie kwa kutoa mifano. Asanteni.
 
Wakosaji (wahalifu) huandamwa na hofu. Mhalifu yeyote ukimtishia unasoma "al badr" anaanzisha fujo, tumaneno maneno, manung'uniko, fadhaa, hamaki, maluweluwe nk.
Basi, ukiona mtu anakuwa na vijisifa hivyo vinavyojitokeza aidha kwa mfululizo au inachipuka moja baada ya nyingine, muepuke. Huwa hawakawii kufanya uharibifu zaidi au hata kuzidhuru nafsi zao. Namalizia kwa kucheka... Hahahaa just hahahaa!Utani mwingine ni kama kweli vile.
 
aiseee
 
Back
Top Bottom